mabalozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyankurungu2020

    Swali fikirishi, mabalozi wetu nchi za nje hawawezi kutangaza na mpaka hiyo kazi afanye mkuu wa nchi?

    Taifa letu lina mabalozi sehemu mbalimbali nje ya taifa letu. Karibu nchi zote tulizo na mahusiano nayo mazuri tumeweka balozi. Ofisi ya ubalozi huwa ni sehemu ya taifa letu huko nje. Kwa sheria za kimataifa ofisi ya ubalozi huko China mfano ni sehemu ya eneo la Tanzania lililopo China...
  2. Maulaga59

    Sensa 2022 ingeratibiwa na mabalozi wa nyumba kumi ingeleta takwimu sahihi zaidi ya zitakazotolewa na maafisa watakaopita nyumba kwa nyumba

    Najaribu kuangalia changamoto wanazopata maafisa wa sensa wanaotumwa na serikali katika kukusanya taarifa muhimu za idadi ya watanzania. Ukweli ni kwamba kwa sababu ya mazingira ya Tanzania yalivyo kijiografia ni vigumu sana hawa maafisa kuweza kupata takwimu sahihi za kusudio lao. Kuna sehemu...
  3. Analogia Malenga

    Dodoma: Rais Samia apokea hati za mabalozi wa nchi nne

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amepokea hati za mabalozi wa nchi nne ikulu jijini Dodoma Mabalozi waliowasilisha hati zao ni balozi wa Saudi Arabia, Jamhuri ya Korea, Indonesia na Morocco. Katika Hafla ya kupokea hati kulikuwepo na kliniki ya kutoa chanjo ya COVID-19
  4. P

    Tanzania inaweza kuwa na mabalozi wawili katika nchi moja?

    Wajuzi habari za mchana wa leo. Juzi nimemsikia Raisi wa Zanzibar akiagana na mabalozi wanaokwenda kuwakilisha ktk nchi mbalimbali. Ila sikujua kama ni hawahawa wa Tz alikuwa akiagana nao au amefanya uteuzi wa mabalozi kutoka ZNZ. Nilishangaa zaidi baada ya kuona kuna balozi anakwenda Brazil...
  5. Cannabis

    Waziri wa Nishati, January Makamba afanya kikao na mabalozi wa Norway, Sweden na Saudi Arabia

    Waziri wa Nishati Mheshimiwa January Makamba amefanya kikao na mabalozi wa nchi za Norway, Sweden na Saudi Arabia nchini Tanzania. Katika kikao hicho amezishukuru nchi hizo kwa mchango mkubwa wanaoipatia Tanzania katika kuendeleza sekta ya nishati. Waziri Makamba amesema nchi hizo zimeendelea...
  6. The Sheriff

    Sudan: Serikali ya Kijeshi yawafuta kazi mabalozi 6 kwa kutokubaliana na Mapinduzi

    Serikali ya Kijeshi nchini Sudan imewafuta kazi mabalozi wake sita katika nchi za Marekani, Uchina, Qatar, Ufaransa, pamoja na Umoja wa Ulaya baada ya kutokubaliana na jeshi kutwaa mamlaka. Mamlaka hiyo pia imemfuta kazi mkuu wa ujumbe wa nchi hiyo katika mji wa Geneva, Uswizi. ====== General...
  7. masopakyindi

    Kimaendeleo Awamu ya Tano iliinyanyapaa Nyanda za Juu Kusini. Mabalozi EU watembelea

    Nyanda za Juu Kusini, Mikoa ya Mbeya, Iringa, Ruvuma, Rukwa hata Katavi imenyanyapaliwa sana na Awamu ya Tano kimaendeleo. Mikoa hii ndiyo bread basket ya nchi-wazalishaji wakubwa wa chakula. Mwaka huu wamezalisha mahindi mengi kuliko uwezo wa Serikali. Pengine Magufuli alitembelea mikoa hiyo...
  8. Erythrocyte

    Wawakilishi wa Umoja wa Ulaya(EU), Umoja wa Mataifa(UN) na Mabalozi mbalimbali waendelea kufuatilia kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe

    Pamoja na Serikali ya Tanzania kutopendezwa na Wawakilishi wa kimataifa kutoka EU , UN na Waheshimiwa Mabalozi kujionea dhuluma dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe Mahakamani , lakini Wazungu hao wameendelea kupuuza wito huo wa Wizara ya mambo ya nje na kuendelea kumiminika kwenye...
  9. Light saber

    Kuna uwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya, ubalozi wa Marekani, ubalozi wa Canada, ubalozi wa Uingereza na ubalozi wa Sweden .

    Kuna uwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya, ubalozi wa Marekani, ubalozi wa Canada, ubalozi wa Uingereza na ubalozi wa Sweden wapo nje na wao wanasubiri chumba cha Mahakama kifunguliwe, ili waingie pamoja na watu wengine..
  10. LAZIMA NISEME

    Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika ateta na mabalozi walipowasili mahakamani 10-9-2021 katika kesi ya Mbowe

    Kumekuwepo na maswali mengi juu ya Wanadiplomasia hawa kujihusisha na Mambo ya Ndani ya Nchi na kwamba wanakiuka mkataba wa Viena waliotia saini mwaka 1961 juu ya maswala ya kuingilia shughuli za ndani za dola nyingine, kuonekana leo kwa Mnyika akitoa maelezo ya mwenendo wa Kesi ya mwenyekiti wa...
  11. Erythrocyte

    Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu yaendelea kuvutia Mabalozi na Wawakilishi wa Jumuiya za Kimataifa

    Kesi hiyo inayoendelea leo kwenye Mahakama ya Uhujumu Uchumi chini ya Jaji Mpya Mustapha Siyani , kama kawaida imehudhuriwa na Mabalozi na wawakilishi wa Jumuiya za Kimataifa . Tayari Mheshimiwa Mbowe amefika ndani ya Mahakama hiyo kwa usikilizaji wa kesi dhidi yake na wenzake watatu ...
  12. B

    Barua ya wazi kwa baadhi ya mabalozi wa nje wanaowakilisha mataifa yao nchini Tanzania

    NINASTAAJABISHWA sana na mwenendo wa kushtusha wa baadhi ya Mabalozi walioko Tanzania kwa kusigina kiwazi wazi maadili ya kazi zao. Tanzania ni nchi yenye upendo mwingi. Watu wake ni wakarimu sana na wanawaamini wageni, ikiwa ni pamoja na Mabalozi wa Mataifa ya kigeni hapa nchini. Mabalozi...
  13. M

    Hivi kesi ya Mbowe leo imeishaje pale Mahakama Kuu

    Nimefungua thread nyingi za wana CHADEMA na tangu asubuhi zilikuwa ni taarifa za kuwepo kesi hii. Baada ya hapo nikatarajia thread nyingi kuhusu mahakama ilichosema. Sijaona chochote badala yake kuna taarifa nyingi za vituko na matukio ya yaliyotokea mahakamani. Mara wamekuja mabalozi tele...
  14. S

    Hivi Azam katika taarifa yao ya habari ya saa mbili usiku huu, wameonyesha uwepo wa wakilishi wa Mabalozi wa Nchi za nje?

    Naangalia Azam News hapa(UTV live) ambapo taarifa ya habari ndio inaendelea. Katika taarifa yao, wameripoti kesi ya Mbowe inayoondelea Mahakama Kuu ila katika picha za Mahakamani, sijaona uwepo wa Wawakilishi wa Mabalozi waliohudhuria hiyo kesi. Je, uwepo wao si muhimu, ni bahati mbaya tu au...
  15. YoungD

    Mhe. Samia Suluhu Hassan awakaribisha mabalozi wapya na kupokea Hati zao............ #wote wanaishi Kenya!!

    Yaani tanzagiza huwa full vituko. hivi mbona hawa mabalozi wote hawawezi ishi hapo fishing village?? sasa ina maana baada ya kuwasilisha Hati zao, walirudi moja kwa moja hadi Nairobi. cc MK254 Nairoberry KENPAULITE Tony254 Kafrican
  16. Q

    Mabalozi wapuuza onyo la Balozi Mulamula kutohudhuria kesi ya Mbowe

    Baadhi ya mabalozi nchini waliofika mahakamani leo kufatilia kesi inayomkabiri Mh. Mbowe.
  17. BAK

    Kesi ya Mbowe dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali yaanza kusikilizwa

    Leo Jumatatu tarehe 30 Agosti, 2021 Kesi ya Kikatiba ya Mhe. Freeman Mbowe dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali imeanza kusikilizwa Mahakama Kuu. Walikuwepo wawakilishi wa Balozi za Marekani, Uingereza na Sweden Mahakamani. Kesho Jumanne 31 Agosti, 2021 Kesi ya Ugaidi. Naibu...
  18. Zanzibar-ASP

    Balozi Mulamula usiwatishe mabalozi. Mahakama ni eneo la umma, huru na salama

    Siku ya jana nimemsikia Balozi Mulamula akitoa onyo na vitisho dhidi ya mabalozi, maafisa wa kidiplomasia wanaoziwakilisha nchi zao na taasisi za kimataifa hapa Tanzania kuhusu hatua yao kuhudhuria mahakamani kusikiliza kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. Balozi...
  19. Influenza

    Rais Samia awaapisha viongozi mbalimbali aliowateua, yumo Mtendaji Mkuu wa Mahakama na Mabalozi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anawaapisha Viongozi mbalimbali aliowateua wakiwemo; 1. Prof. Elisante Ole Gabriel kuwa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania 2. Balozi Mteule, Lt. Jen. Yakub Hassan Mohamed kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uturuki 3. Balozi Mteule...
  20. Erythrocyte

    Mabalozi wa kigeni wanaohudhuria kesi ya Mbowe waonywa

    Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Africa Mashariki, Mulamula, ambaye amewataka mabalozi hao kufuata sheria na taratibu za kidiplomasia , hakufafanua taratibu hizo kama zinawakataza mabalozi kuhudhuria kesi mahakamani au la. ======== Waziri wa Mambo ya Nje...
Back
Top Bottom