mabalozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Replica

    Rais Samia Suluhu awaapisha Mabalozi Ikulu. Asema Tozo za Miamala zitaendelea ila zitarekebishwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan awaapisha Mabalozi 13, Ikulu Dar es Salaam ========== Anaeongea kwa sasa ni waziri wa mambo ya nje, balozi Mulamula ambae anamshukuru kwa Imani kubwa ambayo amewekeza kwao na wizara ya Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki...
  2. Shujaa Mwendazake

    Mwigulu awahakikishia Mabalozi kuwa Serikali iko katika hatua za kupunguza viwango vya kodi zinazotozwa

    Waziri wa Fedha Mh Mwigulu Nchemba amewahakikishia Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini na Jumuiya ya Kimataifa kwamba Serikali iko katika hatua za kupunguza viwango vya kodi zinazotozwa ili kusisimua uchumi na kuondoa malalamiko yaliyotolewa na jumuiya hiyo.
  3. fasiliteta

    Ni Wakuu wa Wilaya au Mabalozi wa Serikali katika Wilaya

    Naendelea kujiuliza hizi course za POLITICAL SCIENCE zinakazi gani kama tunaokoteza okoteza tu viongozi kwa kuangalia umaarufu wao! Kwann wasibebe wasomi/malecture ama watumishi wa serikali kwa nafasi hizi Zaid ya kuwajaza wauza sura,wasanii na wapiga picha na kushinda instagram muda wote...
  4. Course Coordinator

    Uteuzi wa Hoyce Temu kuwa Balozi na uelewa wetu kuhusu mabalozi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan alifanya uteuzi wa mabalozi 23, miongoni mwa mabalozi wateule hao wamo Hoyce Temu( 43) aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka 1999, Togolani Mavura ambaye ni msaidizi wa Rais wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Macocha...
  5. R

    Kwanini uteuzi wa Togolani Mavula na Hoyce Temu umezua mjadala?

    Mavula: Kwanini uteuzi wa Togolani Mavula na Hoyce Temu umezua mjadala? Nimejiuliza why particularly Togolani Mavula anatokea kwenye thread heading, likewise Hoyce Temu kumbe ni hivi: Huyu Togolani Mavila ana historia ya kuwa na ukaribu na Ombeni Sifue aliyekuwa Katibu Mkuu ofisi ya Rais...
  6. Mpinzire

    Uteuzi wa Mabalozi 23 leo, Hakuna aliepangiwa kituo cha kazi au mimi sijaelewa?

    Leo kupitia page ya kurugenzi na mawasiliano Ikulu nimeona statement ya uteuzi wa wabarozi 23 uliofanywa na Mh Rais Samia, lakini sijaelewa mpaka sasa kuwa katika wote 23 hawajapingiwa vituo vya kazi? Kwanini? Anafanya alimradi abadili ama ye anateua wakati akisubiri wa kumtoa?
  7. Egnecious

    Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi 21

    Rais Dkt Magufuli afanya uteuzi wa mabalozi 15 kujaza nafasi zilizowazi
Back
Top Bottom