Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan alifanya uteuzi wa mabalozi 23, miongoni mwa mabalozi wateule hao wamo Hoyce Temu( 43) aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka 1999, Togolani Mavura ambaye ni msaidizi wa Rais wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Macocha...