“Serikali tunataka kubadilisha taratibu za usafiri ndani ya Mji wa Unguja, tunataka kuleta mabasi ya kisasa yanayotumia gesi au umeme ili kupunguza kuchafua hewa.
“Tunataka kuendelea ili tusiwe tunapakiwa kama mizigo, duniani kote mambo yamebadilika hasa katika miji mikubwa, wanaleta mabasi ya...