mabasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bushmamy

    Arusha: Wananchi walia na kituo cha mabasi makubwa ya abiria ya kwenda mikoani

    Wananchi jijini Arusha pamoja na abiria wanaotumia stand kubwa ya mabasi wamailalamikia uongozi wa jiji la Arusha kuwa wameshindwa kuwaletea mabadiliko kwa kuwajengea stand nyingine mpya ya kisasa tofauti na iliyopo sasa ambayo ipo tangu kabla ya uhuru hadi sasa. Kutokana na udogo wa kituo...
  2. MK254

    Kenya yawa ya kwanza Afrika kuzindua mabasi yanayotumia umeme

    Yatapunguza gharama kwa asilimia 80% An electric bus from Opibus during a test drive in Nairobi. TECHCRUNCH Swedish-Kenyan company Opibus has launched the continent's one of a kind electric bus which is expected to start operations later this year. The bus is the first all-electric as...
  3. BilioneaPATIGOO

    Kampuni gani nzuri ya mabasi ya kwenda sehemu hizi?

    Mpanda au Katavi, tushirikishane kampuni gani ya basi zuri la kwenda mikoa/wilaya hizo kutokea mkoa wa Dar es Salaam. Natanguliza shukrani.
  4. Mtemi mpambalioto

    TRAFIKI POLISI SINGIDA: Mjiandae kwa maafa makubwa yatakayosababishwa na escort za mabasi

    Hii tabia ya kusimamisha mabasi kabla ya kutoka manyoni ukiwa unatoka Dodoma mpaka yafike 15 halafu mna aescort kwa kilometa kadhaa then wanaachiwa huko wapambanie msubiri ajali mbaya ya kugongana wao kwa wao kwa sababu zifuatazo 1: kwanza madereva wa mabasi wakifatana wengi wana hulka ya...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    TBT ya kibabe: Mabasi na vyombo vya usafiri Tanzania

    1. TAWAQAL EXPRESS Pichani ni basi la kampuni ya Tawaqal. Kampuni hii ilikuwa balaa. Njia ya Dar - Mbeya, Dar- Kyela, Dar - Tunduma na Dar - Songea. Kampuni hii ilikuwa na madereva mahiri kwelikweli. Miongoni mwao alikuwepo GIRIKI. Jamaa alitoka Dar saa 12 asubuhi akaingia Mbeya saa 7...
  6. GENTAMYCINE

    Mamlaka: Madereva wa Mabasi ya Mikoani 'Wanaobeti' Kufika haraka waendako Kukiona cha Mtema Kuni

    Kwa hili GENTAMYCINE nasema mmechelewa sana hata hivyo nawapongezeni kwa Kuliona na kuamua kulivalia Njuga hivi sasa kwani kuna Watu wamepoteza Maisha na wengine kupata Ulemavu wa Kudumu kutokana na Upuuzi wa baadhi ya hawa Madereva wa Mabasi ya Mikoani. Yako Mabasi mengi yenye huu Upuuzi ila...
  7. Chendembe

    Kupanda kwa nauli za mabasi yaendayo mikowani: Mamlaka zinazohusika zimeridhia?

    Naweza kuwa nimepitwa na habari kutoka Mamlaka zinazodhibiti gharama za usafirishaji. Hivyo, naomba kufahamu endapo Kuna tangazo la Mamlaka yeyote kutangaza ongezeko la nauli za mabasi nchi Tanzania. Hali imekuwa mbaya, Kuna makampuni ndani ya wezi huu wamepandisha nauli Mara mbili. Nawasilisha
  8. T

    LATRA mnafahamu kwamba mabasi ya Arusha- Moshi hayatoi tiketi kwa abiria?

    Mimi nipo eneo hili la Ukanda huu wa Kaskazini- hasa mikoa hii ya Arusha na Kilimanjaro kwa muda fulani. Kwa muda mfupi ambao nimekuwa huku, nimesafiri kwa nyakati tofauti kwa mabasi madogo (maarufu kama Coaster kwa wenyeji wa huku) kati ya Moshi - Arusha na Arusha- Moshi lakini cha kushangaza...
  9. King Kong III

    Tanzania ya enzi hizo katika picha

    Hapa Ni Tanzania Elimu Supply(TES) Enzi Hizo 1947 Mabasi ya Ekarusi Kumbakumba kwa nyuma Azania Front Tanganyika Parkers Enzi Hizo 60s Salender Bridge 1960s Dar-Es-Salaaam 1975 Hiyooooo!!! Seaview-Mawingu House 1960 Arusha-Clock Tower 1966 Dodoma City Center 1974 Bukoba City...
  10. M

    Wamiliki wa Mabasi ya Mikoani, kwanini mnatutesa na kutukomoa Abiria wenu katika dakika 20 za huduma mnazotupa mkisimama njiani?

    Yaani inawezekana vipi dakika hizi hizi 20 mnazotupa tukiwa tumesimama Mombo au Msamvu au Singida Sisi Abiria wenu tuweze kuzigawa Kiustadi kwa Kula, Kukojoa na Kunya wakati tukifika tu haya maeneo tunakuwa Abiria wengi na waliotutangulia pia Kihuduma? Kwani mkisema tu kuwa muda wa Kula na...
  11. C

    Usafirishaji parcels kwa njia ya mabasi ya Zuberi ni tatizo

    Jamani yaani hawa Zuberi ni tatizo kama utapotrlewa na mzigo. Basi mwezi wa kumi si nikatumiwa mzigo toka Dar Yaani mzigo ulifuatiliwa mwezi mzima na haukupatikana Boss wao yule zuberi mwenyewe ana kiburi cha kimataifa! Hana ushirikiano kabisaaaa Nawashauri mnapotumia mabasi ya zuberi kutuma...
  12. BilioneaPATIGOO

    Nataka kununua mabasi ya kusafirisha abiria mkoa mmoja hadi mwingine

    Palipo na nia pana njia Ni ndoto yangu ya muda mrefu ya kuwa na kampuni kubwa ya mabasi ya usafirishaji abiria. Hivyo basi pamoja na maombi yenu ninaomba pia tusaidiane kushirikishana je ni ruti ipi ambayo ina uhitaji mkubwa wa mabasi au ruti ipi ambayo nitapiga hela kisawasawa. Baada ya...
  13. Suzy Elias

    Mmiliki wa mabasi ya Sauli watakaokufilisi ni madereva wako

    Mabasi ya Sauli yanayofanya safari zake kuelekea mikoa ya Nyanda za juu Kusini hakika yalijipambanua ni ya uhakika na salama. Ajabu kwa siku za hivi karibuni ndiyo mabasi yanayoongoza kwa ajali za ovyo ovyo zinazosababishwa na uzembe wa madereva. Mliopo karibu na mmiliki wa mabasi ya Sauli...
  14. MK254

    Wakenya bana...tiketi za SGR zimeisha, mabasi ya mikoani yamekodiwa yote kuelekea msimu wa Krisimasi

    Yaani tuna desturi ya kuchapa kazi mwaka wote kisha tunajiachia msimu wa Krisimasi kwa raha zote, kula bata kwa kwenda mbele, ndio utamu wa kuwa kwenye nchi yenye uchumi bora na ya wachapa kazi. ===================== The standard gauge railway (SGR) passenger service from Nairobi to Mombasa is...
  15. F

    Joto la dunia, Serikali iamuru mabasi yasafiri usiku

    Kwa hali ya joto inavyozidi kuwa mbaya kila uchapo huku mgao wa maji ukizidi makali yake na huenda Tanesco nayo iko mbioni wakati wowote kuanzia sasa kutangaza mgawo wa nishati ya umeme, hali ambayo itafanya watu wasiomudu majenereta kuyakimbia majumba yao usiku na mchana, nina maoni kwamba...
  16. Latebloomer

    Masalange; Kero ya usafiri katika mabasi iliyofumbiwa macho

    MASALANGE; KERO YA USAFIRI KATIKA MABASI ILIYO FUMBIWA MACHO! Masalange au kama wanavyo penda kuitwa, Maafisa usafirishaji kwa kimombo " BUS AGENTS" ni watu ambao wamekuwepo katika kila Stendi za mabasi ili kurahisisha upatikanaji wa usafiri kwa abiria waendao maeneo mbali mbali nchini na nje...
  17. babukijana

    Vioja na Mabasi

    Unajua katika maisha watu tunapitia mambo mengi sana. Na bila kuyaongea yataendelea. Kwenye Mada Siku bana nikalamba bus Dom to Sgd enzi hizo 80s pale vumbi tu njia nzima. Tumekula njia mdogo mdogo na lile ngala ngala sijui Azan express sijui shalua luxure sikumbuki e banaee Manyoni hiyo...
  18. B

    Wizi wa laptops kwenye mabasi

    Huu wizi umekithiri. Tahadhari inahitajika. Kuna ushirikiano mkubwa kati ya makondakta na wezi. Nimeshuhudia wizi Happy nation na Frester. Kuweni makini
  19. M

    Utaratibu wa mabasi ya Abood kuingia gereji Morogoro una faida gani?

    Mabasi ya kampuni ya Abood yanayotokea popote, yakifika Morogoro, lazima yapitie kwenye yard yao. Abiria wote mnashushwa nje ya geti. Basi linaingia ndani, sijui linaenda kufanyiwa nini? Halafu baada ya dakika kadhaa linatoka. Abiria mnapanda tena kuendelea na safari. Hapo nje hakuna sehemu...
  20. La Quica

    Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

    Asee wakuu kumbe kuna watu wana jax sana hii nchi. Nimeona huko Twitter kuwa huu ni usajili wa mabus 20 mapya ya Abood. Tutafute hela wakuu.
Back
Top Bottom