JESHI la Polisi kitengo cha Usalama barabarani, limetoa mafunzo kwa mafundi magari waliyokuwa ndani ya Kituo cha Mabasi cha Magufuli, Mbezi Luis, Dar es Salaam kwa lengo la kuwafundisha jinsi ya kutambua vifaa ambavyo vipo kwenye magari hayo.
Mafunzo hayo yametolewa leo Mei 29, 2021 na Mkuu wa...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu ameagiza kuanzia Julai Mosi mwaka huu, kuanza uhakiki wa tiketi za kielektroniki katika usafiri wa mabasi yaendayo kwa haraka kwa kutumia mfumo wa posi ili kudhibiti upotevu wa mapato.
Amesema kuwa...
Toilet paper - Siwezi kujisafisha na yale maji ya vyoo vya kuchimbia dawa.
Vidonge vya Fragyly (endapo tumbo likizingua) na panadol (kichwa kikiuma)
Sinunuagi chakula njiani, huwa kinapkwa asubuhi nakiweka kwenye hotpot
Maombi, haya ni muhimu kabla na baada ya safari.
Kuchaji simu / power...
Kuna hizi buses ... Kwa mikoani ni buses gani zinakimbiza sana? Maana kuna jamaa ana sema zhing tong ndo balaa. Mi nafahamu haya mabasi tupeane uzoefu kwa mbio ni buses zipi zina nguvu/speed
1. Yu Tong
2. Higer
3. Golden Dragon
4. Scania
5. Zhang Tong
6. Marco polo
Sina mambo mengi naomba bwashee yoyote mwenye picha ya stendi kuu ya mabasi pale Moshi aitupie hapa.
Manispaa ya Moshi kwa muda mrefu imeongozwa na Chadema nataka kujiridhisha na ubunifu wao.
Hapa Iringa Chadema walijitahidi wakatujengea Stendi ya kisasa pale Igumbilo ila sijajua kule Mbeya kwa...
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma amesema ofisi yake haina taarifa rasmi za maandamano ya BAWACHA hivyo atakayeandamana atakutana na mkino wa dola.
Kamanda Muroto amewataka akina mama hao waliopanga kuandamana waje na computer na madaftari ya kuchukulia notisi ili waandike kile watakachokutana...
Serikali haiwezi kufanya biashara. Hasa hizi za kwetu.
Kama Waziri Mkuu anaona madudu kwenye mradi wa mwendokasi.
Kama Serikali imeshindwa kufanya miradi ya reli ya Kati na TAZARA, vivuko, ndege na sasa Mabasi ya mwendokasi kujiendesha ni wakati wa kubadili mtazamo.
Wajiondoe waruhusu sekta...
Waziri mkuu mh Majaliwa ameshauri mabasi mabovu ya mwendokasi ni bora yauzwe kuliko kuyaacha yakioza pale yard
Waziri mkuu amesema hayo baada ya kushuhudia mabasi takriban 50 yakiwa yamelala kabisa kwa ubovu na yakizidi kuchakaa.
Chanzo: ITV habari
Ramadhan Kareem!
Waziri mkuu wa JMT leo ametembelea biashara ya UDART katika eneo la Gerezani amekuta mfumo wa kutoa tiketi na kuhakiki wa kielektroniki hautumiki badala yake tiketi zinaprintiwa, zinawekwa pembeni, abiria akigaiwa tiketi hakuna uthibitisho kama ni ya serikali kweli au za wajanja nje ya Serikali...
Waziri Mkuu, Majaliwa kamsimamisha Mkurugenzi wa fedha. tetesi ni ile ni mali ya watu binafsi sasa Majaliwa anaingiliaje hapo? Nakumbuka kulikuwa na utata wa nani anamiliki mara zabuni haikufuata taratibu etc.
JE NI MALI YA NANI? KAMA UBIA UKOJE? NANI WENYE SHARES?
Nimekuwa kimya kwa siku mbili tatu ili kujipa muda kuifuatilia na kutafakari FILAMU inayochezwa na CAG akishirikiana na wanamapinduzi wanaopambana usiku na mchana kuifuta LEGACY ya MWAMBA HUYU KUTOKA CHATO. Nilichokibaini kwenye report ile ya ndugu kichele ni kwamba ,inajaribu kutengeneza...
Hivi karibuni, mfanyabiashara na Mbunge wa Jimbo la Gairo, Ahmed Shabiby ameingiza mabasi 12 ya kisasa aina ya Yutong.
Inaelezwa kuwa, mabasi hayo ni ya aina yake nchini kwani yana mfumo wa kisasa wa ubebaji wa abiria. Ndani ya mabasi hayo, unakutana na viti vyenye mpangilio tofauti na mabasi...
Watu 15 wameripotiwa kufariki dunia nchini Kenya baada ya mabasi mawili kugongana maeneo ya Kizingo katika barabara Kuu ya Malindi kwenda Mombasa. Majeruhi wamepelekwa hospitali ya Malindi
Kamishna Kutswa Olaka wa Kilifi amesema basi la Muhsin lilipoteza uelekeo na kuligonga gari la Sabaki...
Ikiwa bado tu hayati Magufuli hajazikwa, Machinga na wafanyabiashara wadogo katika stendi ya Magufulu kwa mabasi yaendayo mikoani tayari wameaanza kushikishwa adabu na mgambo wa jiji
Kiufupi hawatakiwi kufanya biashara zao ndani na nje ya stendi. Namba inasomwa kweli kweli
Wana JF,
Baada ya Serikali kutoa tamko la kukata ticket kieletroniki sasa wafanyabiashara wa Mabus kwa kushirikiana na brokers au madalalie wa ticket. Kibaya zaidi hupewi ticket baada ya kutoa fedha.
Leo nimejifunza kitu gari no. T 195DAV KVC Safari karibu abaria wote hawana ticket. Jambo...
Baadhi ya Malengo na faida mfumo wa ukataji wa tiketi za bus kielektroniki nchini
▪️Kuwa na udhibiti katika sekta ya usafirishaji.
Wasafirishaji kuwa na ushindani wenye tija, Mfano kwa sasa nauli zinazowaongoza ni za mwaka 2013 lakini hawazitumii. Basi la daraja la juu (luxury) anauza bei ya...
Chama cha wamiliki wa mabasi nchini(TABOA) kwa kauli moja kimetangaza kusitisha kutoa huduma kuanzia jumatano wiki ijayo kwa kugomea mfumo wa ukataji tiketi wa mtandao wakidai mfumo huo ni kandamizi na unawaumiza wamiliki na kufIkia hatua ya kutaka kuwafilisi.
====
Dar es Salaam. Wamiliki wa...
Tumetoka hapa Nyegezi Stand muda si mrefu.
Aisee, haya mabasi yanakimbizwa hatari. Naona kuna ligi flani inafanywa barabarani.
RTO wa mikoa husika chukueni hatua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.