Habari za muda huu na ni matumaini mko wazima wa afya.
Straight to the matter, hiki kituo kipya cha mabasi ya mikoani hapa Dar es Salaam yaani Magufuli Bus terminal hakikuwa tayari kuanza kutumika. Ilitakiwa kipewe muda kidogo ili kiwe sawa.
Leo nimefika toka Morogoro muda huu kwa mara ya...
Najiuliza tu kwa sababu mambo yote yahusuyo stendi hiyo yaliratibiwa wakati Jiji la Dar es salaam likiwa chini ya Chadema na Lord Mayor Dsm akiwa mh Isaya Mwita.
Naomba kuelimishwa
Maendeleo hayana vyama
cc: Mzee Mgaya, Mchungaji Erasto
Kuna tangazo linasema safari zote zitaanzia stend mpya Magufuli. Tangazo linazidi kusema mabasi makubwa wakodishe mini bus kuwasafirisha abiria kuwaleta stend mpya au wawaelekeze abiria kuja Mbezi.
Sasa swali:
1. Anayekwenda Mtwara na yuko Mbagala, naye aje Mbezi? maana tangazo linasema stend...
KWA KAULI YA JPM,
Nawaskitikia sana Waliochukua fremu za biashara ndani ya stend kwa gharama kubwa IMEKULA KWAO.
Machinga na Mama lishe watauza bidhaa ile Ile kwenye kibaraza cha fremu uliolipia mwenyewe kwa pesa zako,
Wateja hawataona umuhimu wa kuingia ndani ya frem lako,Na watauziwa...
Baada ya kufungua daraja la juu la Kijazi sasa Rais Magufuli amewasili Kituo kikuu kipya cha mabasi ya mikoani tayari kabisa kwa kukifungua rasmi.
Watu ni wengi sana.
Up dates;
====
WAZIRI JAFO AAGIZA MKURUGENZI WA JIJI KUANDAA BANGO LA STENDI YA MAGUFULI
Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI...
Rais Magufuli leo anaanza ziara ya siku tatu mkoani Dar es Salaam ambapo atafungua miradi mbalimbali.
Kituo kikuu kipya cha mabasi ya mikoani Mbezi ni moja ya miradi itakayofunguliwa leo.
===
MATUKIO MBALIMBALI YALIYOJIRI:
Rais Magufuli amewasili Ubungo tayari kabisa kufungua barabara za...
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa muongozo kwa watumiaji wa Magari ya mwendokasi ili kujikinga na maambukizi ya #CoronaVirus.
Wasafiri wanaotumia magari ya mwendokasi wanatakiwa kuvaa barakoa hususani asubuhi na jioni, kukaa umbali wa mita moja kati ya mtu na...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Kunenge amesema Jumatano hii ndio siku ya mwisho kwa kituo cha Ubungo kutumika na kuanzia Alhamis kituo kipya cha Mbezi kitaanza kutumika.
Naye kamanda Mambosasa amesema wapiga debe wa Ubungo hawatakiwi kuonekana stendi mpya ya Mbezi na kwamba stendi hiyo...
Huu ni uzi maalum wa kujulishana ubora wa huduma wa mabasi yanayotuhudumia nchini kwetu Tanzania na nje ya mipaka yake.
1. SCANDINAVIA EXPRESS (Kielelezo/mfano wa kampuni Bora kabisa ya usafirishaji abiria, vifurushu na pesa Tanzania)
Kampuni ya mabasi ya Scandinavia Express ni kampuni pekee...
Wakuu shwari?
Naomba mwenye taarifa zaidi kuhusu haya mabasi ya Kimotco Express. Kuna ndugu yangu amekata tiketi kwenye basi hilo kutoka Arusha kwenda Mbeya, nauli TSH 55,000. Kwa wale ambao wamewahi kusafiri na mabasi ya Kimotco Express hasa ruti ya Arusha to Mbeya, vipi kuhusu huduma zao kwa...
Naona Kama nchi Sasa inakopelekwa si kuzuri, kila Jambo analoona Waziri au kiongozi wa chama linakuwa sheria. Nimemsikia polepole na Waziri chanel ten wakitoa maelekezo kwa mabasi yote kukaa stand muda mrefu watu wale nakujisaidia.
Najiuliza Hawa watu wanajua hizo stand zina hadhi gani...
Kuna hoja ameiwasilisha Polepole kwenye television (chanel 10) kipindi cha papo kwa papo nakuungwa mkono na Mhe Waziri kwamba mabasi badala ya kwenda kwenye hoteli zenye hadhi na chakula salama wawapo safarini Basi mabasi hayo yasimame kwa muda mrefu stand watu wale chakula nakupata huduma...
Habari njema kwa wasafiri na abiria wa mikoa ya nyanda za juu kusini magharibi.
Kampuni ya mabasi ya NEW FORCE yaanzisha Safari za mchana. Hii Ni habari njema Sana.
Pruuuuu mpaka Maka
Kwa kawaida ninavyoenda Moshi na Arusha huwa natumia mabasi ya Dar Express, kiukweli vile visu viko very comfortable.
Je, Dar - Mbeya - Tunduma kuna mabasi ya Scania? Haya ya Mchina mtu unafika ukiwa umechoka.
Bujibuji na Erythrocyte ushauri Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Serikali yetu hebu tusaidie wanyonge na hii tabia inazidi shamiri sna kwa wale ndg zetu wanao safiri mikoa ya mbali #Dar_to_mwnza, #Dar_to_mbya, #Dar_to_kgma, #Dar_to_Arusha kuna tabia na utaratibu wa mabasi walio jiwekea bila kuhofia abiria wao na sio rafiki kabisa wanapaki mabasi yao sehemu ya...
Habari Wanajamvi...Heri ya Mwaka Mpya !
Nipende kuleta kwenu mtiririko wa matukio na hali halisi niliyoshuhudia katika kuelezea sekta ya usafirishaji (abiria) nyanda za juu kusini (Iringa,Njombe,Ruvuma na Mbeya).Kutokana na uchangiaji wa moja kwa moja wa sekta hii kwenye uchumi na uhitaji wa...
Mamlaka ya Usafiri wa Ardhini ( LATRA ) imetangaza kwamba hadi kufikia January 6 mwaka 2021 mabasi yote yawe yameanza kutumia tiketi za mtandao, vinginevyo watafungiwa kutoa huduma hiyo .
Bado haijajulikana sababu hasa za wenye mabasi ya abiria kulazimishwa kufuata utaratibu huu mpya huku...
Wadau naomba kuzungumzia kuna hili jambo kwa sasa limezidi kushika kasi kuhubiri ndani ya daladala imekuwa sehemu nyingi hasa mabasi ya Tegeta toka mjini yaaani mnakosa utulivu kwenye mabasi na mwisho wa siku wanachangisha sadaka sasa najiuliza hii hali vipi wadau
Kusema kweli kwa sasa wateja wa mabasi ya mikoani kupitia njia ya Morogoro rd. Watapata tabu sana.
Kwanza naipongeza serikali kwa juhudi zake katika mradi huo lakini location si rafiki kwa wateja wote.
Unatokea Mbagala,Mbande, Kisewe, Vikindu, Kisemvule, Gongo la Mboto na Chanika n.k...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.