mabasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Mabasi ya Arusha, Moshi na Tanga kupita Madale?

    Nimesikia baada ya stendi ya Mbezi kuanza kutumika mabasi ya mikoa tajwa hapo juu yatapitia Goba, Madale, Tegeta, Bagamoyo kuelekea mikoa husika. Lisemwalo lipo kama halipo basi linakuja. Karibuni kwa yeyote mwenye taarifa.
  2. Miss Zomboko

    Kituo kipya cha mabasi Dar kuanza kutumika Desemba 20

    KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhandisi Joseph Nyamhanga, amewataka viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam kuhakikisha Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani cha Mbezi Luis, kuanza kutumika ifikapo Desemba 20, 2020. Ametoa maagizo hayo leo Desemba 7, 2020, alipotembelea...
  3. L

    Tahadhari: Msilipue ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi Mbezi Louis

    Baada ya muda mliopewa kwisha jana tarehe 30/11/2020, na ujenzi kutokukamilika bado unaendelea japo kuwa nje ya agizo la Mh. Rais. Ushauri wangu ni kuwa msilipue kazi bora kuomba muongezwe muda kuliko ku-force halafu mwishowe mkaharibu au ubora ukapotea. Hiyo ni stendi ya kimataifa ni sawa tu...
  4. Analogia Malenga

    Wenye mabasi wapoteza bilioni 196/- kwa kutotumia tiketi kwa njia ya mtandao

    ZAIDI ya Sh bilioni 196 zinapotezwa na wasafirishaji wa mabasi kila mwaka kutokana na kutotumia mfumo wa ukatishaji tiketi kwa njia ya mtandao (POS) uliobuniwa maalumu kwa utoaji wa huduma ya usafiri. Aidha hatua hiyo pia imekuwa ikiipotezea serikali zaidi ya Sh bilioni 38 kila mwaka...
  5. Bushmamy

    Dar: Mabasi ya Mikoani na nje ya Nchi, yaanza kutumia Kituo kipya cha Mbezi Luis

    Niko hapa Mbezi Mwisho hatua chache kabisa karibu na stand mpya ya Mbezi baadhi ya Mabasi yaliyotoka mkoani yameshaanza kuingia kituo kikuu cha mabasi Mbezi. ===== Kituo kipya Cha Mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi Cha Mbezi Luis kimeanza rasmi majaribio leo ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
  6. sinafungu

    Wizara ya Kazi ichunghuzeni kampuni ya mabasi ya Shabiby

    NI Kampuni yenye jina kubwa na ni konge ktk huduma za usafirishaji hapa Nchini, mmiliki wake ni mbunge wa GAIRO na ni kiongozi anayeheshimika. Nasukumwa kuandika hili kwa matukio ya uonevu anayowafanyia WAFANYAKAZI WAKE. Wako wengi wanafanya kazi katika kampuni hii...
  7. Analogia Malenga

    Rais Magufuli na Rais Chakwera waweka jiwe la msingi Kituo Kikuu cha mabasi Mbezi, Rais Magufuli ataka Wakandarasi walipe fidia ya kuchelewesha mradi

    Rais Magufuli leo akiwa na mgeni wake, Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera wanaweka jiwe la msingi kituo kikuu cha mabasi ya mikoani inayoendelea kujengwa eneo la Mbezi Louis, Dar es Salaam. === MAGUFULI: Mkataba ulikuwa umalizike mwezi wa saba, leo ni mwezi wa kumi na waziri alikuwa...
  8. U

    Maendeleo ya Ujenzi wa Kituo cha Mabasi cha Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam, kazi Inaendelea kwa kasi kubwa

    Matumizi Sahihi ya Rasilimali Zetu Huleta Matokeo Mazuri Kwetu Sote
  9. MGANGA WA KIENYEJI

    Kero hii ya abiria kushushwa kwenye mabasi ili wakaguliwe vitambulisho check point ya Vijinga, Wiliya ya Mkinga Mkoa wa Tanga itaisha lini?

    Hii ni kero ya muda sasa katika Check Point ya Vijinga, Wilaya ya Mkinga, Mkoa wa Tanga, kwa abiria bila kujali vikongwe au wazawazito au wagonjwa wote kushuka chini wafikapo Check Point hiyo ili kukaguliwa vitambulisho vya kura au uraia. Kwa kweli mantiki yake haionikani kwani kwa mtu yoyote...
  10. Miss Zomboko

    Wamiliki wa mabasi walalamikia gharama za usafirishaji wa abiria kuongezeka. Waiomba Serikali kupitia upya sheria ya usafiri

    CHAMA cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA), kimesema kuna umuhimu kwa serikali kupitia upya na kushirikisha wadau kikamilifu kuhusu kanuni za sheria ya usafiri, ili kuondoa tozo zitakazoongeza gharama za uendeshaji kwa usafirishaji wa abiria. Kwa mfumo mpya, kwa sasa tiketi za usafiri...
  11. Erythrocyte

    CHADEMA Mbeya yaandaa usafiri wa Mabasi kwenda Dodoma kumsindikiza Tundu Lissu kurejesha fomu NEC

    Taarifa zinadokeza kwamba hii ndio sababu halisi ya Mamluki wa ccm ambao ni polisi Mkoani Mbeya kumkamata Mbunge wa Mbeya Mjini Mh Joseph Mbilinyi mithili ya Jambazi Sugu na kumzuia kuchukua fomu
  12. TODAYS

    Salamu kwa wamiliki wa mabasi popote mlipo

    Moja kwa moja kwenye mada. Kwa mtindo huu wanaotumia madereva wenu hakika utadumu ila hautaweza kuhimili soko. Dereva anataka kuwahi kufika Arusha au Mwanza saa 1700hrs, uko njiani ni fujo na hasara anayokuingizia ipo hivi; njiani kuna matuta makubwa (humps) na zile rasta (rumbles) anachofanya...
  13. Rodwell mTZ

    Pongezi kwa Serikali yetu, hatimaye ajali za mabasi zimeisha

    Hamjambo wanaJamii Forum wenzangu. Napenda kuitumia nafasi hii kuipongeza serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi madhubuti wa Rais wetu John Pombe Magufuli kwa kutilia mkazo kudhibiti mwendokasi wa mabasi yaendayo mikoani, kwa kumulika vitochi na kuratibu muda wa kuondoka na kufika na sasa...
  14. Rusumo one

    Kero Stendi Kuu ya mabasi Shinyanga

    Kichwa cha habari hapo juu chajieleza, natokea Mpanda na kuingia stendi kwa basi la kampuni X muda wa kutoka tukazuiliwa na traffic polisi mweusi mrefu ambaye amelewa chakari ambaye alikuwa anatoa maelekezo ya hovyo na katukalisha kwa dk 40 bila sababu za msingi hii haipo poa pombe zake...
  15. sijaelewa

    Huu mwendo, bado kuna utaratibu wa ving'amuzi vya mabasi?

    Habari wanaJF nipo safarini ndani ya basi fulani ya Njombe, Mmmmhh huo mwendo, unanipa mashaka kama bado kuna utaratibu wa ving'amuzi maana huwa vinalia kila dereva akifika spidi 80 kwa saa. Kwenye hili basi hakuna hata kubeep, mara kutaka kumpita basi mwenzake mara break za ghafla. Nisaidieni...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kwanini Serikali iliamua kununua mabasi ya mwendokasi yenye injini za CUMMINS wakati si imara wala madhubuti?

    Mabasi yetu mazuri na yaliyo badilisha muonekano na mfumo mzima wa Usafiri yanatumia injini za CUMMINS. Injini za CUMMINS ndizo ziko KWENYE mabasi yanayoingia nchini kutoka China. Injini za CUMMINS hazidumu kwa muda mrefu ndio maana huwezi kuliona Basi la Yutong lenye namba za usajili zinazo...
  17. Babu Kijiwe

    Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma ni kama airport za mbele, Rais Magufuli afanya kweli

    Mhe. Rais Magufuli inatosha, wapinzani watakufa kwa presha jamani. Millard Ayo aimulika kila kona, angalia hapa. Kadi za CCM zipo kila shina, mwone kiongozi wa shina katika mtaa wako
  18. M

    Mabasi ya Al-Saedy Dar- Iringa: uhuni, dharau na kunyanyasa abiria vimekithiri

    Kampuni ya mabasi ya Al-Saedy yanayofanya safari zake Dar-Iringa wanafanya uhuni na dharau kwa abiria bila kufikiri madhara yake. Abiria wanakatiwa tiketi gari ya saa moja na nusu, mnafika stend ratiba inabadilishwa mnaondoka saa tatu. Nyingine ratiba inaonyesha kuondoka saa tatu, wao wanaondoka...
  19. CARIFONIA

    Tanzania inaweza kuwa ndiyo nchi inayoongoza kwa kuboresha miundobinu ya masoko na vituo vya mabasi ya abiria kwa nchi za East Africa

    Kwa juhudi zilizochukuliwa na serikali ya TZ katika uboreshaji wa miundombinu ya masoko na vituo vya mabasi ya abiria na thubutu kusema kwa sasa TZ ndio inaongoza kwa kua na miundombinu bora katika nyanja za masoko na vituo vya mabasi ya abiria kwa nchi za East Africa. Ukizingatia project hizi...
  20. Mzukulu

    Nani aliyewaambia na kuwadanganya hawa Wahubiri kuwa abiria wa mabasi ya mikoani ni wakosaji, mapepo na tunahitaji kuhubiriwa nao tukiwa safarini?

    Uko zako ndani ya Basi la Mikoani na kwa bahati nzuri unaweza kukuta ama umebahatika Kukaa na Mrembo Kiti Kimoja na unaanza zako Kumuingizia Voko zako au labda Kondakta wa Basi husika ameweka Sinema Moja Kali na Matata yenye iliyo na Mvuto halafu unakuta katikati ya Safari kuna ama Abiria...
Back
Top Bottom