Biashara ya mabasi ya abiria kwa Dunia ya leo si ya kushadadia ma mbio yasiyo na tija bali ni akili yenye wingi wa ubunifu ndaniye kwa mambo yatakayomvutia abiria taraji.
Mfano Sauli ni wazi alifilisiwa na madereva wake kwa kushadadia sifa za kijinga za mwendo kasi hali iliyosababisha mabasi...
Ila matajiri wa bongo bwana.
wamekuwa motivational speakers kuliko uhalisia.
Tajiri wa kitanzania na mmiliki wa mabasi ya Super feo anasema yeye alianza na mtaji wa elfu 20 tu na sasa anamiliki mabasi mengi.
Kwa kweli mmekamilika kweli sio utani, ila yapo mambo yanatufanya tuwe na wasiwasi wazee wa Jangwani.
Timu mnayo na mnaonyesha kweli mnataka bao, ile move ya Boka hadi mtu akajifunga sio masihara, yule ni Usain Bolt kabisa.
Lakini kwanini Azam jana wajifunge mabao yote matatu huku nyie...
Kila siku kampuni hii, inazalisha vifo na walemavu. Nitashangaa kama LATRA. haitawatendea haki Watanganyika.
Suala la usalama na usimamizi wa kampuni hii ya mabasi limekuwa ni tatizo kubwa kwa muda mrefu. Ni zuri kwamba serikali imekuwa ikiangalia hali hii, lakini inaonekana kwamba bado hakuna...
Kulikuwa na haja gani kujenga stand ya gharama kiasi kile pale Mwenge, Kinondoni-DSM halafu hakuna cha maana kinachoendelea zaidi ya gari mbili tatu zinazopakia abiria?...
Mbunge wa Mbeya Mjini ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ameishukuru Serikali kwa kusikiliza kilio cha Wananchi wa Mbeya kwa hatua ya kuanza kuboresha miundombinu mbalimbali katika Jiji la Mbeya...
Nimekata tiketi ya bus ( Classic coach) siku tatu kabla ya safari kutoka Moro kwenda Mbeya. Tiketi inasema safari ni saa 12 asubuhi ila muda wa kuwasiri ni saa 11:30 asubuhi. Nimewasiri saa 11: 30 stendi nimeambiwa nisubiri gari. Cha ajabu nimesubiri mpaka saa 1: 10 asubuhi nakuja kuambiwa et...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) inaendelea na ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia Daraja la Kijazi (Sam Nujoma) - Mwenge - Maktaba ya Taifa (Posta) yenye urefu wa kilometa...
Haya mabasi yamekuwa yakilalamikiwa kuwa kuna uhuni mwingi unafanyika kwa abiria. Unapoenda kukata ticket wanakukatia bus jipya kwa nauli kubwa.
Ukija kupanda unakutana na ngarangara na ukiwauliza wanakuambia hilo ndo bus lililopo so uamue kusuka ama kunyoa.sasa hapo kama una dread unaona bora...
Msajili wa Hazina Nehemia Mchechu, amesema katika jitihada za kuboresha uendeshaji wa mabasi ya mwendokasi benki ya NMB imekubali kutoa mkopo kwa Serikali ambayo inamiliki kampuni ya UDART kwa 85% ili kuongeza mabasi zaidi ya 100 ya mwendokasi.
Akiongea Jijini Dar es salaam leo July 15,2024...
Habari wakuu hope mtakua mnaendelea vema na weekend
Nimekua najiuliza kwanini magari yanayobeba watoto wa shule yamekua katika Hali mbaya sana kiufanisi
N:B sio lengo langu kuwafundisha wa husika kazi na Wala sina mamlaka ya kuhoji katika hili.
Leo tar. 05 July 2024
Katika hali isiyo ya kawaida nikiwa eneo la tukio (nilimsindikiza ndugu yangu ambae nae ni muhanga wa hii habari) abiria waliotakiwa kusafiri na gari kampuni ya ALLY'S STAR T644 kutokea DAR ES SALAAM (Urafiki) kuelekea MWANZA walikumbwa na sintofahamu baada ya...
Tunaomba mamlaka ya usafiri LATRA iifunge kampuni ya mabasi ya BM yandayo Dar -Kilimanjaro/Arusha kutokana na udangajifu kwenye nauli.
Wanafunzi wa shule ya anwarite ambao walikuwa wanatakiwa kusafiri leo kwa mabasi aina ya luxury wametapeliwa kwa kulazimishwa kusafiri kwa kutumia mabasi ya...
Sekta ya usafirishaji ni moja Kati ya sekta muhimu Sana kwenye maendeleo ya nchi yetu Tanzania. Sekta hii inahusisha usafirishaji wa mizigo pamoja na abiria. Sekta hii imeonekana haina mchango mkubwa katika pato la taifa kutokana na usimamizi mbovu haswa katika Stesheni nyingi za mabasi ambapo...
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Wiki iliyopita nilitoka nyumbani Ngara hadi Mwanza nikiwa nataka Kulala nikakuta bus la saa 9 mchana kwenda Dar, nikafika Dar saa 2 asubuhi, aisee nilifurahi mno.
Zamani tulikuwa tunafika dar usiku wa manane na kuanza kusumbuka na usafiri na sehemu za...
Kwanza ndugu Kadogosa na ofisi yako ya Tanzania Railways Corp hadi hapo hongereni kwa hatua hiyo japo no kwa kuchelewa sana.
Nimepitia ratiba yenu kwa ajili ya kuanza kutoa huduma ya usafirishaji abilia, hadi mlipoamua kupachika hii banner ni mmejiridhisha sawasawa.
Mmetoa muda wa kutoka Dar...
Kampuni ya Magari ya Umeme ya uganda, Kiira Motors, inatazamiwa kusambaza mabasi ya EV kwenda Tanzania kwa Mabasi Yaendayo Haraka ya Dar es Salaam (DART).
Video ya tangazo la jaribio la kuendesha ni ya kuvutia🙌! Uzuri wa Tanzania unang'ara😍. Shuhudia Kayoola EVS Model 2024 ikifanya kazi jijini Dar
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.