Afrika iliweza kushuhudia wiki chache zilizopita bunge la Uganda likipitisha muswada wa kutokomeza ushoga kimafia, Wengi tukaona Uganda awe mfano wa kuigwa na tukawapongeza sana kwamba ndio taifa la kuigwa katika suala la kulinda maadili yetu ya kiafrika.
Kilichobaki ilikuwa ni kumpasia pasi...
Ni takribani miaka miwili sasa tangu nuache kuandika maoni yangu hapa Jamii Forum. Hata hivyo leo nimeona nirudi tena kwani kuna vitu vya kukera vimeanza kujitokeza.
Wakati hayati Magufuli alivyochukua nchi nilivutiwa sana na mambo aliyokuwa anayafanya. Nilikuwa mstari wa mbele kumtetea pale...
Mtoto wa kiume wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni Muhoozi Kainerugaba alitangaza siku ya Alhamisi kwamba nchi yake itatuma wanajeshi kuilinda Moscow ikiwa itakabiliwa na vitisho.
"Niite 'Putinist' ukipenda, lakini sisi, Uganda tutatuma wanajeshi kuilinda Moscow ikiwa itawahi kutishiwa na...
Wakuu wakati wa Corona sikuamini uwepo wa hiyo kitu wala habari zake nilikuwa sisikilizi na Barakoa nilikuwa sivai.
Naamini hata Hayati JPM alikuwa na msimamo kama wangu.
Ulikuwa ni ugonjwa unaosambazwa kwa njia ya taarifa ya habari na sio vimelea.
Ushahidi: Habari za kimataifa na kidunia...
Tozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu
Kuwaridhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki
Huu ni uzandiki wa kisiasa.
Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora zingejenga mashule.
Wasalaam wana JF
Nilipokua mdogo niliambiwa kua uyaone. Nimekua sasa, hakika ya ulimwengu na malimwengu ni mengi na ya kustaajabisha.
katika kipindi fulani niliaminishwa kwamba kuwa mnyonge ndiyo alama ya uzalendo na kwamba asiye utaka unyonge ni kibaraka wa mabeberu au ni beberu kuu lenyewe...
Tunaambiwa kuwa Tanganyika na Zanzibar ziliungana Kwa sababu ya kuwepo Kwa mahusiano ya karibu na ya kihistoria baina ya nchi hizi mbili katika nyanja mbalimbali kama vile undugu wa damu biashara na utamaduni.
Ukiangalia uhalisia haya ni matango pori Tunalishwa kwani sababu zote zilizoelezwa...
Tanzania imefungua ukurasa mpya wa demokrasia kwa kurejesha haki ya wananchi kushiriki mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa.Tunachosubiri kuona ni je kweli kuna utashi wa kisiasa kuruhusu mikutano hii au ni shinikizo la wakubwa?
Maana yake kama ni utashi wetu basi ruhusa hii itatolewa bila...
Rais Samia mpe Profesa kabudi Wizara ya Mambo ya Nje ana uwezo mkubwa sana wa kuwatikisa mabeberu
Usifikirie kuwa wazungu wanatipenda hapana sio kweli pamoja na kuifungua nchi tumeishia kuaibika kwa kukamatiwa ndege yeti
Rudisha utawala wa aina ya awamu ya 5 utanishukuru baadaye ondoa ushikaji...
Kitendo cha wachezaji wa timu ya Taifa ya Iran kugomea kuimba wimbo wao wa Taifa eti wakiunga mkono maandamano yanayoendelea nchini Iran kupinga serikali ya Iran na sera yake ya stara kwa wanawake. Hiki ni kitendo cha usaliti na ukosaji wa uzalendo wa hali ya juu mno! Wananchi wa Iran wanaelekea...
Huwa waafrika wengi ujinga na upuuzi wetu tunaufichia kwa Kuwalaumu Wazungu.
Rais na akili zako unamchagua mtu awe Mkuu Jeshini ameshafariki Miaka 11 ago. Wewe una akili kweli? Utasema walikuingiza chaka. Bado huna akili. Kwa nafasi nyeti kama hiyo.
Tangu dunia iumbwe binadamu kiasili niwashindani (competitive nature) kuna ushindani mkubwa sana katika, utafiti, uzalishaji, ubunifu, utamaduni na vita. Kuna nchi duniani nimaarufu kwa uzalishaji wa silaha za ulinzi na kushambulia. Hapa tutaangalia ushindani wa hawa mafahari wawili yaani Urusi...
Wamemwekea vikwazo lukuki wakiamini kuwa uchumi wa urusi utakufa ghafla, kinyume chake uchumi wa nchi zao ndio unaoanguka!! Usicheze na nchi yenye maliasili zinazohitajika kwa lazima kwa maisha ya kiila siku: mafuta na gesi!!! Usicheze na nchi inayojitegemea na kutegemewa kwa chakula!! Hapo...
Nilimsikia Rais wetu Samia akihutubia mkutano wa kimataifa huko Quatar hivi majuzi. Alilalamika kuhusu kutokuwa na usawa wa ugawaji wa chanjo duniani.
Nikacheka kimoyoni nikasema hata Rais wetu kaingia mkenge au kaamua kushiriki hila za mabeberu kutuundia magonjwa na kisha kujidai ukarimu...
Mpaka leo Marekani inakalia kwa nguvu sehemu kubwa tu ya ardhi ya Syria na wanachimba mafuta huko kwa kuwatumia waasi!! Hutawasikia umoja wa mataifa ukilalamikia hilo!! Marekani iliingia Syria kwa nguvu kwa lengo la kumng'oa rais Saad wa Syria. Urusi ilialikwa na syria ili itoe msaada na urusi...
Hizi ndo akili za wazungu. Kwa nini tusiwaite mabeberu wao wanaamini Bado wanatutawala.
Napenda hii movie ingechezwa kipindi cha uncle tungeona rangi zote.
Ujinga huu huu ndo uliochelwesha bwawa la nyerere Kwa miaka nenda Rudi bila magu ingekuwa historia Hadi Leo.
Tunahitaji watawala jasiri...
Mabeberu yanalalamika kuwa mtu wa Putin ndio ameshinda kura za kuwa Prime minister nchini Italy. Binti mrembo aliyechaguliwa kuwa Prime minister anaitwa Giorgia Meloni.
Hapo kabla, Uingereza ililalamika na kulialia kuwa Georgia Meloni ni hatari kwa Italy na EU kwa ujumla...lakini wa-Italy...
Habari!
•Trafiki wanachukua pesa mchana kweeupe kwenye madaladala na Bajaji.
• polisi wa doria za pikipiki (tigo) nao wanachukua rushwa mchana kweeupe bila woga kutoka kwa bodaboda.
•Mahakamani nako rushwa iko waziwazi.
•Ofisi za halmashauri rushwa nje nje. Nenda pale depo ya Jiji karibu na...
The Decline And Fall Of The Western Empire
Almost everyone sees it, and almost no one wants to discuss it: America and Western Europe are spiraling out of control. And the speed of the descent is crescendoing rapidly.
By
Jonas E. Alexis, Assistant Editor
-
August 30, 2022
Almost everyone sees...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.