Serikali kila siku inajidai ina fedha za kutosha, inakusanya mapato mengi kuliko serikali zote, Leo kimewakuta nini hadi kilio kila kona.
Ni nashauri tokeni hadharani muwaambie wananchi kwamba Yale mliyokuwa mnajimbwambafai kwa wananchi ilikuwa ni uongo na hadaa.
Wachumi walikuwa wanahoji kila...
Baada ya Tanzania kupitia waziri wake Kangi Lugola kuweka order ya kununua vifaa vya kulindia amani kuelekea 25 October mabeberu wamecharuka haraka na kupelekea Rais kumtumbua Lugola ili kunawa mikono kuwa yeye hakuwa na taarifa juu ya uagizwaji wa zana hizo
Sasa swali ni je,hawa mabeberu wana...
Ni tabia iliyozoeleka kwa watawala wetu wa serikali ya awamu ya tano kujihami na kuwaita wazungu wa nchi za nje, kuwa ni mabeberu, wanapokuwa wametukosoa katika uimarishaji wa demokrasia, uhuru wa wananchi kujieleza na tunashauriwa tuzingatie haki za binadamu.
Lakini kitu cha ajabu ni pale...
Uganda's President Yoweri Museveni is in London this week to attend the UK-Africa Investment Summit 2020. The event was hosted by British Prime Minister Boris Johnson who told the attending 16 African heads of state that the continent is the future of trade and business and that the UK was keen...
Awali:
Erick Kabendera mwandishi wa Kujitegemea wa Habari za uchunguzi inaendelea leo Mahakama ya Kisutu.
Kabendera anashtakiwa kwa Makosa matatu ikiwemo kukwepa Kodi, Utakatishaji Fedha na kujihusisha na genge la uhalifu.
UPDATES
MAHAKAMA YAOMBWA KABENDERA KUMUAGA MAMAKE
HOJA SITA ZA...
December 16, 2019
Mwanzilishi wa JamiiForums akizungumzia kuhusu tuzo aliyopewa hivi karibuni na jinsi mtandao huu unavyokabiliana na hali ngumu ya kutenda kazi hasahasa tukiangazia mazingira ya sasa Tanzania.
Hofu inajengwana na waandishi wenyewe lakini kama mitandao inafuata sheria na kanuni...
Benki ya dunia yasema ukuaji wa uchumi wa Tanzania kuongezeka 2020 japo si kwa 7%
Uchumi wa Tanzania utakuwa kwa asilimia 5.8 mwaka 2020 ikilinganishwa na makadirio ya asilimia 5.6 mwaka huu na ukuaji utaongezeka hadi asilimi 6.1 mwaka 2021 , kulingana na ripoti ya benki ya dunia siku ya...
Aman iwe juu yenu wakuu,
Rais Magufuli akiwa njiani Wilaya ya Nzega kuelekea Shinyanga amewahutubia wananchi wa Wilaya ya Nzega na kuwapongeza viongozi wote walioshinda katika Uchaguzi wa Serikari za Mitaa.
Aidha, katika hotuba hiyo Raisi Magufuli akigusia kuhusu Uchaguzi wa Serikali za mitaa...
Mabeberu meusi yameingia kwenye vita na Tanzania, vita ya kiuchumi imenoga tunaonewa wivu kila kona hadi na weusi wenzetu, hii inamanisha kwamba tupo pazuri mnooo,haijawahi kutokea tangu uhuru
Hii ni ripoti ya Tume ya Haki za Binadamu Afrika ikiisuta awamu ya tano.
Serikali ya awamu ya tano, imerudisha neno beberu lililotumiwa na mwalimu wakati wa harakati za ukombozi wa Afrika.
Baada ya kupata uhuru tukawaita "wakoloni" haijalishi mtu huyo alitutawala ama la.
Wakoloni ni " waingereza, reno, Belgiji, Jerumani, Waarabu"
MAGUFULI ameanza kuita WAZUNGU...
Dunia inaenda kwa kasi sana, ukizubaa unaachwa!
Wakati wa vita baridi neno Mabeberu lilitumika sana hapa Tanzania. Enzi zile beberu alikuwa ni mtu yoyote asiye mjamaa, mpinga mapinduzi, anayeamini katika soko huria na uliberali.
Polepole neno mabeberu lilianza kufifia baada ya kuanguka kwa...
Mzuka!
Yatosha nasema yatosha. Nimeweka tofauti zangu za kiitikadi nakumuunga Jemedari anayetuboreshea maisha yetu na kutupeleka uchumi wa kati. Lakini mabeberu wanataka kumkwamisha. Sitakubali Rais wangu adhalilishwe nitakuwa mzalendodaima. Nakinukisha muda si mrefu na hadi jumatatu ndege yetu...
Mimi nilikuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wanafuatilia kwa makini sana sakata la Ebola tanzania. Hawa mabeberu waliuaminisha ulimwengu kuwa tz kuna Ebola na kushindana katika kutoa matamko kwa raia wao. Mimi nijuavyo Ebola kama pembe la ng’ombe halifichiki cha kushangaza mpaka leo sijackia...
Enzi zile mitumba iliitwa kafa Ulaya, sehemu pekee uliyoweza kupata kama Ulaya ilikuwa kanisani au kwenye kambi za wakimbizi.
Waliokwenda Ulaya na kuloea waliitwa walibezwa. Vijana wachache walioondoka Tanzania ilikuwa ni kwa scholarship au ku store away na meli.
Siku hizi majina ya kafa Ulaya...
Uwanja wa Diplomasia tumefuatilia baadhi ya mijadala mitandaoni na kuona watu wakiuliza kwa nini Waziri Mkuu alikaa nyuma ikiwa yeye alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika Mkutano wa Russia-Africa pale Sochi?
*JIBU NI HILI.*
Kwa...
Katika hali isiyo ya kawaida Mbwana John Sammata alikuwa anaweka historia nyingine lakini mabeberu wakamnyima kwa kutumia VAR.
lile ni goli kabisa la wazi na baada ya hapo Genk walikata tamaa na kujutia kucheza UEFA.
WAMELALA KWA GOLI 4-1 , LAKINI NA BADO NI USHINDI MKUBWA KWA SAMATTA NA SIMBA...
Inaonekana anatumiwa na mabeberu kukushushia credibillity kwa wanyonge.
Wewe ushafanya utafiti kabla ya maamuzi kwamba tunaweza KULIPA, KUSAFIRISHA AU KUBANGUA KOROSHO WENYEWE
Ulisema, hela tayari zipo benki ya wakulima, zishaingizwa.
Ulisema ikibidi wanjeshi hata kwa meno watabangua. Nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.