Maana nyepesi ubeberu au beberu kama inavyotumika kwa muktadha wa siasa ni ADUI au UADUI.
Je, tujiulize hapa kwetu tz hatuna mifumo ya kibeberu makazini, kwa wakulima au kwenye biashara?
Kimsingi ukifuatilia hata kwenye biashara ya mchicha ambao huwatunawaona wakinamama wakipitisha mchicha...
Hii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao.
Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema.
Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari...
Ni maoni ya wananchi wanyonge sehemu mbalimbali nchini wanaofurahishwa na jinsi wakuu wa wilaya na mikoa wanavyoonekana kwenye TV wakifoka kwa hasira huku wameambatana na askari polisi wenye silaha kuwakamata vibaraka wa mabeberu wanaouza sukari kwa shillingi 4000 hadi 7000(Chanika) kwa kilo ili...
Shirika la Fedha Duniani leo limeidhinisha fedha kwa ajili ya nchi za Kenya na Uganda.
Fedha hizi ni kwa ajili ya kusaidia kupambana na makali ya kiuchumi yaliyosababishwa na janga la Corona.
Kenya imepatiwa Dola za Marekani milioni 739 huku Uganda ikipewa Dola milioni 491.
======
The IMF...
Wanabodi,
Asubuhi ya leo, nimepata tena fursa, kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo ni makala za kuhamasisha uzalendo na huendeshwa kwa mtindo wa maswali, yakifuatiwa na hoja, kisha majibu uyatoe wewe msomaji mwenyewe. Mada ya leo ni kuhusu hatua mbalimbali...
Msimamo usioyumbishwa! Hiyo ndiyo picha aliyoitengeneza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, baada ya kueleza waziwazi mashaka yake juu ya mashine zinazotumika kupima sampuli za wagonjwa wa Corona.
Akizungumza kutokea Chato, mkoani Geita wakati wa hafla fupi ya...
WHO imeendelea kuikandia dawa ya ‘Covid organica ambayo rais Magufuli ameahidi kuiagiza ili kunufaisha waTanzania, kwa kuwa dawa ya Corona ni fursa kubwa sana ya kiuchumi, mabeberu wameendelea kuiponda dawa hiyo wakati wakijiandaa kuiachia dawa yao ambayo itakuwa approved na WHO ili matrillioni...
Huu ndio ujumbe alio utoa mbunge wa Bunda mh Ester Bulaya kwenye ukurasa wake wa Twitter baada ya hotuba ya Rais.
Nanukuu
"Ni bora sisi tuendelee kuwatumikia mabeberu kuliko kukutumikia wewe"
Hizi ndio kauli za viongozi walio chaguliwa na wananchi na kupewa dhamana ya kuwawakirisha bungeni...
Niliangalia ile hotuba ya Profesa Kabudi United Nations General Assembly kimoyomoyo nikasema tumekwisha aisee, yaani kamera ilikuwa iki pan na ku-zoom kwa mabeberu unaona jinsi yanavyokunja uso kwa WIVU haswa pale profesa wetu bobefu la sheria na diplomasia liliposema kwamba ndani ya miaka...
Afrika huenda ikawa kitovu kipya cha mlipuko wa virusi vya corona, Shirika la Afya duniani WHO limeonya.
Kumekuwa na ongezeko kubwa la visa vya ugonjwa huo wiki iliopita.
Kumekuwa na zaidi ya visa 1000 na zaidi ya maambukizi 18,000 kote barani Afrika kufikia sasa , ijapokuwa viwango hivyo viko...
Habari,
Niwape pole kwa mapambano makubwa ya kujiepusha na athari zinazotokana na ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na virusi vya corona.
Moja kwa moja tuangalie mambo yanayofanywa na jamii ya wazungu kama tunavyofaham,iwe ni Wa kutoka bara LA america au ulaya.
Jamii hii na mataifa yao...
Mtoto wa Mbowe anaeitwa James Mbowe amesema kuwa ugonjwa wa korona ni janga la kitaifa na halipaswi kufanyiwa mchezo wala mzaha.
Amesema kitendo cha Mh. Makonda ni kitendo cha kushangaza kwa kuwa amejivika usemaji wa familia ya Mbowe kuwa anamshukuru Mungu kwa kuwa ugonjwa wa korona umepiga...
Zim to give back farms taken under land reform programme
20:20 10/03/2020 Crecey Kuyedzwa
Zimbabwe has announced plans to give back land controversially taken over under its controversial fast track land reform programme, which started in 2000.
The programme, which was criticised for being...
Ukimsikiliza kwenye video clip hapo anasema Tanzania haiwezi kumpigia magoti beberu. Bunge la mwaka 2019;
Jana alikuwa huko Ubeberuni kumpigia magoti Under Secretary Of State Tibor Nagy ili kuboresha mazingira ya biashara na usalama, kwa ahadi ya fair and free elections.
My Take:
Prof Kabudi...
Ni wazi kwamba China isingeliweza kutumia mbinu ya kuzima maandamano ya Hongkong kwa nguvu kama ilipotumia nguvu kubwa kuzima maandamano ya Tianamen kati ya juni 3 na juni 4 mwaka 1989 iliyopelekea kuuawa kwa watu zaidi ya 1000
China imeona hatari kubwa ya kugawanywa kulingana na vugu vugu...
Wanabodi,
Wanabodi, Ijumaa ya leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikiulizia kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa?
Bandiko hili ni la swali moja...
Kama yasemwayo kuhusu mabeberu kutaka kusaidia kufanikisha mabadiliko yana ukweli wowote,binafsi naunga mkono kwasababu zifuatazo:
Wizi,rushwa ufisadi na kulindana
Kikundi hiki cha watu ndio kimetawala hii nchi tangu uhuru na baadhi yao wana tuhuma nyingi za wizi,ufisadi na ubadhirifu wa...
Zile kauli za kwamba "wameichezea sana hii nchi", au "wametunyonya sana" au ziwe ni historia.
Mabeberu wote wana tabia kubwa moja, nongwa.
Ukisema kitu kimoja hadharani wao wanakirekodi na kukiweka ili kije kuwa ni kumbukumbu juu yako wewe mwenyewe.
Hivyo jitihada zote za serikali ya awamu...
Hawa watu hawapendi sisi tule bata wanaamini sisi ni nyani wa kula mizizi tu wanaamini raha so Dunia wameumbiwa wao
Trump alivyotuita Choo hatukutaka kusikia ukweli wa vile moyo wake usemavyo tukamlazikisha atamke unafiki wa mdomo wetu
Vijana wajinga mbumbumbu nimewashangaa kujadili kauli za...
Nimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani
Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu
====
Edit:
Azam TV wamei-cover habari hii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.