Wananchi wa Kigamboni wanasema hata kama mbunge wa sasa wa jimbo hilo Dkt. Ndugulile hatapitishwa na CCM kugombea bado atakumbukwa daima na wapiga kura.
Wamesema Dkt. Ndugulile alisimama kidete kuwatetea barazani na bungeni ili manyang'au wasipole ardhi yao.
Wamedai waziri mstaafu Prof...
Mabeberu kazi wanayo. Kila tukipiga chenga wao wanafuata nyayo.
Inafikirisha kuwa hata huko Isingiro Uganda mgonjwa wao kwanza aliyepatikana jana, eti naye kapita 'kinyoka nyoka' mpakani akitokea Tanzania kinyume cha utaratibu:
----
The East African region Monday recorded a spike in...
The World Bank is to officially declare Tanzania a middle income country as of 1st July 2020. Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa inakuwa na mataifa mawili kwenye kundi la MICs.
Swali: Itakuwaje kuhusu East African Community - European Union Economic Partnership Agreement? Maana Tanzania iligoma...
1. Anaishi karibu sana na Mabeberu.
2. Anaenda nchi za Mabeberu.
3. Anategemea uungwaji mkono wa kisiasa na Mabeberu.
4. Anahisi Mabeberu ndio watu wakuleta maendeleo.
5. Siasa zake sio za maendeleo.
Inasikitisha sana kuona taifa kama Kenya limekua mstari wa mbele kuwatukuza mabeberu, kiasi kwamba wameamua kuikabidhi nchi yao kwa mabeberu yanayoshirikiana na wakenya wachache kuila na kuitafuna nchi, huku majorty ya Wakenya wakihishi kama wapo jehanamu ndani ya nchi yao wenyewe.
Sasa sahau...
Mara nyingi nimesema sana humu JF kwamba kuna wakati nazishangaa sana kauli za wanasiasa wetu zinazotolewa kama vile hawana uwezo wa kufikiri. Sasa hili la Bashiru, Katibu Mkuu wa CCM kupiga kelele mbele ya jumuiya kwamba haelewi kwa nini hadi wakati huo wanachama 12 wajitokeze kugombea uraisi...
Katibu mkuu wa CCM ashangaa watu ama wanachama 12 kujitokeza ndani ya CCM kuutaka urais.
Anashangaa nafasi ni 1 ya urais watu 12 wanatafta nini? Awatuhumu wengine kua wanatumwa na mabeberu kuvuruga chama na kuleta mvurugano nchini.
Anasema hao wanachama wa CCM 12 wanaoutaka urais wanataka...
Kenya imenaswa kwenye mtego wa Corona. Wazungu wameamua kutumia COVID-19 Kama kitega uchumi.
Wakikukopesha pesa wanakulazimisha uzitumie kupima COVID-19. Test kits ni za gharama Sana, Wana uhakika wataikamua Kenya kwa miaka mingi ijayo. Mpaka Sasa haijapima hata watu laki nne!.
Je, itachukua...
Na Sammy Awami BBC News, Dar es Salaam
18 Juni 2020
Rais wa Tanzania John Magufuli amekuwa akikosolewa kwa mashambulizi yake ya mara kwa mara dhidi ya "mabeberu" na tangazo lake la hivi karibuni kuwa maombi na sala vineondosha virusi vya corona katika taifa hilo.
Lakini suala hilo la...
CCM toka mwaka 2015 walitumika sana kuzuia kuenea kwa upinzani hasa kuzuia mikutano ya kisiasa ya upinzani na kuruhusu mikutano ya CCM pekee nchi nzima.
Ilitarajiwa kufika mwaka 2019 upinzani wote uwe ushakufa either kwa hila au kwa pesa, ndio kulichachamaa ununuzi wa wabunge na madiwani na...
Lazima kuna kitu hakiko sawa akilini mwa viongozi wetu na mashabiki wengi wa siasa wasio na uwezo mkubwa wa kufikiri kwa makini. Leo nasoma bajeti ya serikali, nakutana na maneno kwamba bajeti yetu pia itategemea msaada kutoka kwa washiriki wetu wa maendeleo (development partners).
Sasa mimi...
Habari wana JF
Ndugu zangu hizi takwimu zitolewazo na nchi husika mimi naona bado zina ukakasi sio tu kwa Africa hata kwa mabeberu inawezakana vip nchi kama Uingereza na Spain toka ugonjwa uingie huko hakuna aliyepona hata mmoja hii inaingia akilini kweli. Hivi kwenye ugonjwa huu mbona mabeberu...
Baada ya usingizi kukata nikaamua kuingia kwenye mtandao maarufu wa
Coronavirus Update (Live): 6,844,705 Cases and 398,141 Deaths from COVID-19 Virus Pandemic - Worldometer unaotoa taarifa za corona kwa kila nchi. Nimestaajabu kuona wanasema Tanzania bado tuna wagonjwa 305. Nachojua ni kuwa...
Rais Magufuli amenukuliwa akisema haya..
Wakati tunaingia madarakani tuliambiwa Tanzania kuna ugonjwa wa Zika, aliyetangaza na aliyetumiwa kutangaza nikamfukuza kazi (bahati mbaya ni Mgogo); Baada ya kumfukuza yule Mgogo aliyesema Tanzania kuna Zika na waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi...
Nadhani kuna somo watakuwa wamelipata...hawatutishi tishi,hawatubabaishi. Hatuhitaji misaada yao nasi hatuwapi ya kwetu.
Huu ni wakati wa kuacha kushirikiana na WHO,IFM,WB,USA na West Countries ambazo zinadhani zina uwezo wa kulingana nasi.
Walitegemea tungekufa kwa Corona kumbe ndo kwanza...
Inasemwa kuwa nchi yetu iko kwenye vita ya kiuchumi na maadui wakuu vitani humo ni 'mabeberu'.
Wapo watanzania na wasio watanzania wanaotajwa kutumiwa na 'Mabeberu' kutukwamisha kwenye vita ya kiuchumi tuipiganayo Kama taifa.
Inasemwa kuwa 'Mabeberu' hawafurahii kuiona Tanzania ikipiga hatua za...
Gazeti la pili kwa uuzaji nchini Hispania El País limechapisha habari isemayo "John Magufuli the African Bolsonaro" kutokana na njia anayotumia kupambana na janga la virusi vya corona. Gazeti hilo limetaja viongozi kama Donald Trump (Rais wa Marekani) na Jair Bolsonaro (Rais wa Brazil) kama...
Nasema hivi kuanzia saa moja usiku TV stations mbalimbali hurusha taarifa zao za habari na naomba muangalia vizuri sana tena kwa makini.
- Wapo watakaotangaza habari ya kupigwa pini mipaka ya Kenya kwa huzuni sana
- wapo watakaotangaza wakijifanya wana huzuni lakini facial expressions zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.