Kawaida mabeberu na vyombo vyao kama CNN wakijikanganya na kuingia kwenye kumi na nane za Wakenya, huwa wanakiona cha moto na kutengua kauli zao. Naona Marekani wameanza shughuli dhidi ya Watz kwa kusindika kura kwenye uchaguzi uliopita, ila sasa mataga wanajibu bila mikakati.
Ombeni msaada...
Chungu ya Mabeberu imemfikia Uhuru Kenyatta uzalendo umemshinda ayataka mataifa ya ulaya kuacha kuingilia maswala ya ndani ya nchi yao (Kenya)
'Mtuheshimu ndio tuwaheshimu', Rais Kenyatta aonya nchi za nje dhidi ya kuingilia masuala yake ya ndani
Chanzo: BBC SWAHILI.
MY TAKE; Uhuru Kenyatta...
Taasisi moja ya utafiti ya nchini Denmark imechambua hoja za Prof. Kabudi na serikali ya Dr Magufuli juu ya matumizi ya fedha za msaada kupigana na COVID-19. Tanzania inadai maombi ya siku tatu yalifutilia mbali novel coronavirus, sasa Bunge la Umoja wa Ulaya linahoji pesa zimetumikaje au...
Nchi ishakua pochi la wachina watu wanyonyaji wadhurumati mfano hai wafanyakazi wao wanawatumikisha viwandani na magodown mzee baba chukulia mfano tu hapo tangu tuwe na ujamaa nao hawa watu tumefaidika na nini nchi yetu hadi leo
Tuache masihara anae fanya kazi kwa huyo mnaemuita beberu na...
Kuna msamiati mpya umetungwa hususani na watawala wetu wa serikali ya awamu ya 5 kwa kuwaita nchi za wazingu kuwa ni mabeberu, pale wanapotoa "constructive criticism" yenye lengo la kututaka tujirekebishe ili nchi yetu ipate ufanisi wa hali ya juu.
Hata hivyo ajabu ni kuwa wazungu hao hao...
Amani iwe nanyi tena wadau!
Nimetoka kutazama mjadala mzito unaoihusu Tanzania katika Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la EU.
Napenda tu kusema yafuatayo
1. Tanzania tuna hali mbaya sana. Wajumbe wa kamati hii wameijadili vibaya sana Tanzania na wengine kupendekeza hatua kali zaidi zichukuliwe...
According to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump Administration requested $329 million for such assistance in FY2021.
Kwa ufupi ripoti ya hali ya kisiasa...
Wanajamvi,
kuwaita wafadhili wako na wahisani “mabeberu”, na kuitumia hiyo kauli mbiu kwenye siasa, ni sawa na kuwalisha chuki wananchi dhidi ya wafadhili, kwa maslahi ya kisiasa, yale ya binafsi pamoja na chama. Huu ni ushamba mkubwa na wa hatari kabisa kwa maslahi ya Taifa la Tanzania...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la Swali, Gazeti la The New York Times, la Marekani, ambalo ni la tatu duniani kwa ukubwa, lasambaza uongo kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze tuu au ni uongo tukanushe?
Kwenye bandiko hili, natumia kanuni ya...
Hii video imenikasirisha sana. Nimeipost hapa kwa sababu inawahusu Wakenya, Watanzania na Waafrika kwa ujumla. Lazima tufahamu kuwa beberu sio mtu mzuri. Kwenye video beberu anakiri wazi kwamba wao watafanya juu chini kuhakikisha kwamba Africa inabakia kuwa masikini.
Uchaguzi mkuu wa mwaka huu ni mchuano baina ya Wazalendo tunaoipenda nchi yetu, tuliotayari kuzilinda rasilimali zetu dhidi ya Mabeberu na mawakala wao.
Kwanini Mabeberu wanachuana na Wazalendo katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu?. Tafakari sababu hizi kumi kisha uchague upande wa kuunga mkono...
TUWE MAKINI NA HILA ZA MABEBERU, TUSIJEINGIA KINGI
Na, Robert Heriel
Jana nimekumbuka habari za mabeberu na hila zao, nikashtuka sana, nilikaribia kuwa na hofu, Sikujua hofu ile ilisababishwa na nini. Lakini nikiri kusema, akili yangu inaniambia kuwa Mabeberu wapo inchaji mpaka sasa.
Kitabia...
12 October 2020, Index number: AFR 56/3051/2020.
1. EXECUTIVE SUMMARY
Tanzania has been independent since 1961 with President John Magufuli as the country’s fifth president, elected into office in October 2015.
On 28 October 2020, Tanzanians go to the polls in general elections. Under...
Naanza kwa kukiri kuwa mimi sio mwandishi mzuri ila uzi wa Pascal Mayalla umenifanya nijitutumue kuandika.
https://www.jamiiforums.com/threads/mebeberu-wana-malengo-na-tanzania-waanza-uzushi-wa-fujo-baada-ya-jpm-ccm-kush.
Nilitaka nitumie neno wazungu au mataifa ya Magharibi badala ya...
Niliongea na jirani yangu ambae ni kada kindaki ndaki, aliniambia upinzani hauwezi kutangazwa mshindi hata ukishinda. Nilimuuliza ni kwanini iwe hivyo? Jibu lake ni kuwa CCM na watu wake walijitoa mhanga katika ukombozi wa bara la Afrika na wamewekeana kiapo na vyama vyote vilivyopugania uhuru...
Siku ya leo, taasisi ya kimataifa ya fedha duniani (IMF) imetangaza kutoa msaada wa kifedha kwenda kwa nchi 28 maskini zaidi hapa duniani. Katika orodha hiyo, Tanzania imekuwa ni nchi mojawapo.
Japokuwa sote tunajua misaada hii haiji hivi hivi, mara zote nchi husika 'hupiga magoti na kuwalamba...
Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeidhinisha msaada wa dharura kwa nchi 28 maskini zaidi ulimwenguni ili kuzisaidia kupunguza madeni na kukabiliana vyema na athari za janga la coronavirus.
Tangazo hilo ambalo limekuja baada ya lile la mwezi Aprili lililozilenga nchi 25, linakusudia kuzisaidia...
Tanzania’s biggest opposition parties will proceed with plans to name a single presidential candidate for elections later this month, even as the country’s electoral body temporarily barred their most likely flag bearer from campaigning
Wakuu kama mnavyojua Bloomberg ni chombo cha habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.