mabibo sokoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Mabibo Sokoni (Dar): Mitaro iliyokuwa imeziba kwa taka yaanza kuzibuliwa

    Nimepita katika eneo la Mabibo Sokoni, ambako awali kuliripotiwa kuwepo kwa mitaro iliyokuwa imejaa majitaka na kuziba kutokana na mrundikano wa taka. Katika kufuatilia nimebaini kuwa wahusika wameanza kuchukua hatua za kuzibua mitaro hiyo. Mitaro hiyo ilikuwa kero kubwa kwa wananchi, hususan...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mifereji ya maji taka Mabibo Sokoni (Dar) iboreshwe

    Hapa ni Mabibo Sokoni, hii ilikuwa 15/10/2026 na hali bado haijabadilika hadi hivi sasa. Ni hatari kwa wafanayabiashara sokoni lakini pia wateja.
  3. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Ubungo iliwaza nini kumega kipande cha barabara, Mabibo Sokoni na kugeuza Parking?

    Kwa mara kadhaa nimekuwa nikipita eneo la Mabibo Sokoni, maarufu kama Soko la Ndizi. Kwa muda mwingi, kuanzia unapokata kona kutoka barabara ya Morogoro Road, kumekuwa na msongamano mkubwa wa magari. Unaweza kutumia hata nusu saa au saa nzima kupita eneo ambalo kwa kawaida linapaswa kuchukua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…