Kama mada inavyojieleza
Nimefanya kauchunguzi kidogo nimegundua mabinti wengi wanaotoka katika familia njaa/maskini mlo mmoja kwa siku wana tabia zifuatazo:-
1.Wanapenda sana kuigiza maisha ,yani jinsi wanavyojiweka utafikiri ni mtoto wa Dangote au Bill Gate
2.Kupenda vitu vya gharama...
Wakuu! Nilichokigundua na kisichojulikana sana ni uzuri wa hawa warembo wakiyahudi aisee, sio maarufu sana lakini inawezekana kundi hili likawa katika nafasi ya juu sana duniani kwa mvuto.
Na moja ya sifa kubwa walionayo ni kupenda familia.
Na sio wavaa mahijabu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.