mabinti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Iringa: Mabinti waliokimbia kwao kisa maisha magumu warejeshwa kwenye mstari

    Vijana waliokuwa wanaishi katika mazingira magumu ambao baadhi yao walikuwa na mzigo mkubwa wa kutunza familia zao na hata mabinti kukimbia vijiji kwenda kufanya kazi za ndani, hivi sasa maisha yao yamekuwa tofauti baada ya kufikishiwa elimu ya ujasiliamali na elimu ya Saikolojia. Elimu hiyo...
  2. Kichwamoto

    Historia yangu ya kupenda na kupendwa na Mabinti Waislam

    Hello JF members Mugona Vihi? Niende kwenye story, Mimi ni Mkristo, ila katika maisha yangu na safari ya mahusiano, macho yangu na nafsi yangu imetokea nawapenda na navutiwa sana na wadada na mabinti waislam na wao pia huvutiwa na mimi na huwa nadumu nao kwenye mahusiano. Tofauti na hawa...
  3. GENTAMYCINE

    Watoto wetu wa Siku hizi 'wamerogwa' au 'wamelaaniwa' na nani hasa kimalezi, kiuwajibikaji na kimaadili?

    Yaani kabisa (Mtoto) Mvulana au Msichana wa Darasa la Tano hadi la Saba anafuliwa Nguo zake, anaamshwa kwenda Shule, akila anaacha Vyombo mezani House Girl avitoe na anaamshwa Asubuhi kujiandaa kwenda Shule? Na kinachonishangaza na Kunisikitisha zaidi unakuta Wazazi Wao kipindi cha Utoto...
  4. KENZY

    Mabinti wa kisukuma shida nini..?

    Niliamua nijirushe kwenye sherehe ya harusi huko kijijini usukumani,baada ya purukushani za sherehe namengine kadharika ukafika ule muda wa usiku mmbovu, dj akaamua aliamshe dude!. Disko vumbi likalipuka baada ya dj kuanza kulindimsha spika kwa uhakika,wadada wa kisukuma nao wakachangamka huku...
  5. Ubungo Mataa

    Hawa mabinti wawili watanitoa roho

    Wana bodi, heshima kwenu. Kadri muda unavyozidi kwendaa ndio nazidi kuchanganyikiwa, sielewi.. moja haikai, mbili haikai. Niko kwenye mahusiano na mabinti wawili kwa muda miaka 3+ sasa.. Mmoja ni mzuri sana, mrembo, presentable na udambwiudabwi wa kila aina kwenye masula ya mapenzi na mambo ya...
  6. mgt software

    Kati ya Mabinti wazuri waliopata umaarufu na wakapata hasara uwezi kumkosa Tunda na Wema

    Wana JF Wasalaam. Nianze kwa kusikitika kwa kumkosa Warumi, ambaye alikuwa anatupa burudani motomoto za vibweka vya wauza nyago Dar, tumekosa vitimbi vingi safari hii. Leo katika viwanja vya mastaa katika operation pitisha macho, nawaona mastaa wawili wanaooenda kupoteza kutokana na umaarufu...
  7. Idugunde

    Kurudisha mabinti waliopata mimba shuleni ni kunyoosha mikono juu na kulikabidhi taifa letu kwa wakoloni mambo leo kwa ajili ya mkopo wa bil 600

    Fikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti ambao hawajawahi kubikiriwa, hatakuwa na ushawishi mbovu kwao ili waonje utamu wa ngono? Tumejustify...
  8. sky soldier

    Vijana waliokuwa wanatorosha mabinti miaka ya zamani wana afadhali kuliko wa sasa

    Nakumbuka zamani nikiwa mdogo miaka ya 90 mwishoni na 2000s miaka ya mwanzoni nlikuwa naskia sana binti wa fulani katoroshwa na kijana flani, House girl wa nyumba flani katoroshwa, dada yake flani katoroshwa, n.k. hapo ni kwamba wanaenda kuanza maisha kama mme na mke, hadi mje kuwaona tena basi...
  9. kiwatengu

    Wanawake (Mabinti) wanaovuta sigara

    Wakuu, naona kama hii kitu inaongezeka kwa kasi, kuna Wadada siku hizi wanapiga fegi (sigara) bila uoga kabisa. Hatari ya Wanawake kuvuta sigara ni kubwa kuliko wanaume. Kuna sehemu nimekaa hapa kuna mabinti wanne, wawili wabongo na wengine wazungu wapiga fegi unstoppable. Na kila mwanamke...
  10. Mtu na nusu

    Wazazi, mnajua kama vijana na binti zenu wameoa na kuolewa huko vyuoni?

    Leo nimefanikiwa kupiga story na mfanyabiashara wa duka la madawa lililopo karibu na chuo kimoja kikubwa tu hapa nchini. Katika stroy zake nimegundua dawa inayonunuliwa kwa wingi hapo dukani Ni P2, na wateja wake ni wanachuo. Story yake imenirudisha nyuma kidogo wakati nikiwa chuo, kulikuwa na...
  11. tamuuuuu

    UDOM: Wanafunzi wamkamata mkufunzi anayewapa 'Sup' ili afanye nao ngono

    Wanafunzi wa UDOM wamemkamata mkufunzi anayewapa supplementary ili apate kigezo cha kuwatafuna. Ushahidi wa kila kitu hadharani. Si UDOM tu hata vyuo vingine ipo hivyo. Hata mimi nimempoteza mchumba wangu anayesoma DUCE mwaka huu ktk mazingira haya. Sijajua alipigwa sup ama alikubaliana naye...
  12. Mto wa mbu

    Wazazi jitahidini kuwaelimisha mabinti wa shule waache tamaa

    Wakuu hope mko poa. Me ni graduate, nilipomaliza chuo kazi hamna, niliamua kufungua bihashara, namshukuru mungu bihashara inaenda poa kwakweli. Kwakua sijaoa nakuwa na uvivu wa kupika, hapa kazini kwangu Kuna mmama alikuwa anauza chakula, nilimuomba awe ananiletea chakula Cha jioni ntakuwa...
  13. sky soldier

    TBT: Jinsi nilivyotumia maburungutu ya pesa ya kigeni isiyo na thamani kuzuzua mabinti

    Leo ni thursday (alhamisi) sio mbaya kukumbushia kidogo mambo kadhaa, tbt throwbak thursaday. 2011 nilikuwa nimemaliza form six nikiwa na miaka 20, Mitihani tumemaliza mwezi wa pili, vyuo tunaingia october, hapo nina miezi 8 yani. Warembo napishana nao mtaani, naishia tu kuwapa hi, nimefulia...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    Wito wangu kwa Wanawake: Achaneni kabisa na usafiri wa bodaboda, sio salama kwenu

    NI saa saba na dakika tano, mataa ya Mwenge, ajali mbaya sana inatokea, mabinti wawili wakiwa kwenye bodaboda, wanapata ajali mbaya sana na kufariki dunia hapohapo. Last week nilihudhuria msiba wa mrembo mmoja aliyefariki kwenye Kona ya Target akielekea Juliana, alikuwa kwenye bodaboda. Sweet...
  15. M

    SoC01 Mimba za utotoni kikwazo kwa mabinti wengi vijijini

    Mimba za utotoni kikwazo kwa mabinti wengi vijijini Habari wanajamvi, Naomba kuwasilisha kwenu andiko hili kuhusiana na changamoto ya mimba za utotoni. UTANGULIZI Tunapozungumzia mimba za utotoni tunamaanisha ni ile hali ya kuwa na ujauzito kwa binti yeyote ambae hajatimiza umri wa miaka 18...
  16. Restless Hustler

    Mtindo mpya wa mabinti/ Wanawake kujipatia wanaume/ Waume

    Wanapost elimu bandia kwenye mitandao ya kijamii; kujifanya wanawashauri Wanawake wenzao kuwaheshimu na kuwavumilia wanaume/ waume zao. Wanaweza kuwasilisha kwa njia ya maandishi au video fupi (clip) na wakati mwingine hunukuu Maandiko Matakatifu na kwa mwanaume asiyejua kutofautisha dhahabu...
  17. Sky Eclat

    P Diddy na mabinti zake watatu wakiwa kwenye Venice

    Mabinti hawa wamekaribishwa katika event ya siku tatu ya Dolce and Gabana na baba yao ameamua kuwapeleka. Hawa wawili wa nyuma ni mapacha na yule wa mbele ni mkubwa kwa mapacha na mama yake ni mwingine. Wa mbele ni Chance ana miaka 15, Mapacha ni Dalilah na Jessie James miaka 14.
  18. incredible terminator

    Ku - date na mabinti wa 18-28 ni mateso tupu hamna furaha kabisa

    Habari wakuu, Kwa uzoefu nilioupata kutokana na kupitia mahusiano mbalimbali hatimae leo nimeona nilete hitimisho kuwa kudate na mabinti hakuna furaha kabisa, yaani hawa watoto maisha yao katika mahusiano yamejaa vioja na mateso chungu nzima, yaani ni mahusiano ya wasiwasi tupu, Kwanza haupati...
  19. Kasomi

    Tabia za Mabinti wa Kidigital

    SIFA YA MABINTI WA JF YETU 1. Ukimwambia mambo anaitika kwa herufi P na K 2. Ukimuomba picha anakwambia «wewe mbona haujatuma?» 3. Ukiuliza maswali matatu kwa pamoja anajibu moja tu! mengine uvivu kutype. 4. Ukimwambia naomba tufahamiane anasema anza wewe, na ukimaliza ili yeye aanze basi...
  20. kacnia

    Sababu ya wazee kufia guest wakiwa na mabinti wa kizazi kipya hii hapa (based on research)

    Katika jamii kumekuwa na matukio ambayo yamekuwa yakijirudia mara kadhaa, matukio ya wazee kufia guest wakiwa na mabinti, niliona ni muhimu nifanye utafiti ili hatimaye nijue nini sababu ya vifo hivyo, Hivi sasa kumekuwa na ari kwa wanajamii kufanya sex za kiwango cha kimataifa huku wakitumia...
Back
Top Bottom