Mimi nimekutana na malalamiko mengi na magomvi mengi ya mahusiano yanayotokana na hili. Hapa ndio pale mwenyezi Mungu aliwaambia wanaume waishi wanawake kwa akili.
Usipotumia akili unaweza kuachwa sababu ya kukosa kazi na unaweza kuachwa sababu una kazi😁😁😁
Sisi ndio wanawake 😅😅
Cc...
Niko nimejilaza zangu kitandani nikiwaza na kuwazua huku nikifurahia mvua na radi zinazoendelea huko nje.
Katika kuwaza na kuwazua nikamkumbuka Clepatina wa umri wa miaka saba au nane hivi aliyekua akiishi na baba na mama yake wa kambo huko kijijini.
Mvua hizi zimenikumbusha mbali utotoni...
Changamoto za ndoa zimekuwa nyingi sana sababu ya kesi za ugumba.
Mume analalamika mkewe hashiki mimba kumbe kamuoa binti akiwa above 28 binti kashakula sana p2 huko nyuma. Kina Dr Mwaka wanapiga hela za ujanja ujanja na bado mimba hazipatikani
Kutumia Vidonge vya kuzuia mimba muda mrefu...
Ni aina ya wanawake ambao wala hutumii nguvu sana kuwapata, cha kukupagawisha tu ni kwamba huwa ni pisi kali sana, wakimya, wanavaa fresh, hawana mdomo, unaweza kusema umepata kumbe hapo ndiko wageni wa mapenzi hujifunzia na wageni wa mji hupokelewa.
Mbaya zaidi unakuta watu wanakuangalia tu...
Leo siku ya pasaka nilimuahidi rafiki kwamba nitampa kampani kwenda kanisani kwao (ni kanisa mojawapo marufu duniani) lakini pia nami niweze kujionea shghuli zinazofanyika katika siku hii pamoja na kusikiliza maneno takatifu.
misa ikiwa inaendelea ndani binti aliingia kwenda kukaa siti ya...
Kibao kimegeuka,kama ulitaka kuoa kijijini think twice.
Maisha ya vijiji vingi ni magumu sana,mabadiliko ya tabia ya nchi yamefanya mavuno shambani kutoeleweka , milo mitatu vijiji vingi ni ndoto,chai hawaijui,njaa haina ubaunsa matokeo yake mabinti wa vjijini wameuza bikra zao kwa gharama...
Taarifa ya kusikitisha kidogo kutoka Kata ya Mwana-Mutombo Kijiji cha Mwasinasi Tarafa ya Nkololo Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu, Diwani kwa jina la Rambo Kidiga anatuhumiwa kuozesha wanafunzi wawili wa kidato cha pili na pia yeye binafsi kufunga ndoa na mabinti wawili wakisadikika kuwa ni...
Kazi yangu inanikutanisha na wanawake wengi sana, umri umekwenda, mwaka jana nikasema nioe ila mpaka leo imeshindikana, nimekaa nikatafakari sababu kwa nini sijaoa ni sababu za kijinga.
1. Madam Shija
Huyu ni wife material ila baada ya kwenda kwao nikakuta nyumba yao ni kama banda la kuku na...
Nilipata wazo kuongeza kitega uchumi nje ya kazi yangu kuu na nikaona nijaribu nifungue duka dogo nitesti kana ikikataa nifunge ama ikikubali niongeze mtaji, mwanzoni niliweka binti lakini alikuwa slow na sio mzoefu hivyo biashara ilikuwa ipo ipo tu ikabidi aondoke, duka lilikaa mwezi limefungwa...
Nimehamasika kuanzisha Uzi huu baada ya kusoma Uzi wa mdau analalamika dada zake wote wamezalia nyumbani.
Bila shaka atakuwa na uchungu juu ya Jambo hili na ndivyo ilivyo kwa wazazi wengi wanaolea binti zao na mwisho kupewa majukumu mengine ya kulea wajukuu.
Hili ni tatizo kubwa kwasasa...
Weekend nilikutana na binti mmoja mrembo sana akasema anasoma IFM. Tukabadilishana namba, nikamwambia Jumapili jioni ajiandae nitamtoa out
Nikachukua bolt hadi Shaaban Robert Street chuoni kwa binti mida ya saa mbili. Cha kushangaza akaja na wenzake watatu wananukia kama majini.
Safari...
Unapozungumzia suala la ubishi, wapo watu wengi ambao ni wabishi, ila Waha ni exceptional. Ukizungumzia ubahili, wengi ni wabahili, ila Wapare ni special case. Ukigusa elimu, mikoa mingi inajitahidi, ila Wahaya ni special case.
Vivyo hivyo kwenye mapenzi, mafundi ni wengi sana, ila watu kutoka...
Wasalaam!!
Nichukue fursa hii kuwaasa wanajamii, wazazi, walezi na ndugu wenye mabinti vyuo vikuu (Degree), vya kati (Diploma) na vya chini (Certificates) lindeni mabinti zenu, jitoleeni kwa hali na mali na pia, wapeni usia na elimu ya maisha, ugumu wa maisha, na elimu ya kujitambua.
Hali ni...
DIRA2023 KWA MABINTI NA WANAWAKE; JIPE THAMANI; THAMANI YAKO HAITOKANI NA MWANAUME.
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani!
Na huu ndio ujumbe wenu, enyi mabinti na Wanawake. Hii iwe ndio dira yenu. Jipe THAMANI! Na katika thamani hiyo elewa kuwa sio lazima itokane na Sisi wanaume.
Ninyi ni Wake...
1. Usiharakishe kutoka nyumbani kwa wazazi wako kwa gia ya kwenda kuolewa.
2. Usimsubiri mwanaume mpaka aje ndio uanze kuishi. Unaweza kuishi maisha timilifu hata ukiwa huna mwanaume.
3.Achana na pombe zimewauwa wenzako wengi kwa kisingizio cha kuondoa stress na wewe unaweza kufa pia.
4...
Hii kero imezidi sijui ni mimi nakutana nao wa aina hii au ni mnyumbuliko kwa ujumla wake, ni aibu sana unakuta mdada au binti kasura kazuri kana kishepu, salale ikija kwenye kiota cha mnyanduo vipele na makovu kama yote, kwenye makalio ndio usiseme ni hatari.
Mimi na kinyaa changu naahirisha...
Dada yangu Dorothy Gwajima, wizara ya afya Ili kushindwa na hili la ukeketaji mabinti wadogo nalo limekushinda?
Kweli viongozi wengi ndani ya Serikali ni wanawake waneshindwa kuzuia ukeketaji wa Hawa mabinti?
TARIME na ROYRA Hali ya ukeketaji Sio shwari.
Hapa Dar es Salaam mabinti wanakeketwa...
Habari zenu wakuu,
Nimeenda wilaya flani kwa mara ya pili hivi na nimejionea kuna wazee wana wake wadogo, unakutata mzee ni miaka 52 ila binti ni 23.
Nimepewa stori kadhaa kwamba huku sio kama mjini tumeshazoea kuchapiana, yani huku watu waliooa hasa wazee wamejidhatiti na hii imesaidia hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.