mabomu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    Magaidi wenye itikadi za kidini walipua mabomu na kuua nane Somalia

    Magaidi wa alshabaab ambao hufanya maukatili kwa imani za kidini walipua mabomu na kuua nane..... Police said today that eight people were killed in a roadside bombing claimed by al-Shabaab in central Somalia where a major offensive is underway to retake territory from the jihadists. The...
  2. MK254

    Al Shabaab walipua mabomu Somalia na kuua 19 na kujeruhi 52

    Al Shabaab wamelipua mabomu Somalia hakukaliki. Nineteen people have been killed in twin car bombings in central Somalia claimed by Al-Shabaab, a local militia commander in the Hiran region said. Two cars packed with explosives were simultaneously detonated in Mahas, a town in Hiran where a...
  3. MK254

    Putin apapatika na kufanya vikao baada ya mabomu kulipua kambi tatu Urusi ndani ndani

    Wana wamembip tu wala hajaguswa vizuri tayari keshaanza kuita vikao ndani kwa ndani, baada ya kambi za ndani ya Urusi kulipuliwa tena ndani kabisa mleee! Alishasema Urusi ikishambuliwa atafanya makubwa, haya tuone. Russian President Vladimir Putin on Tuesday called a meeting with his security...
  4. MK254

    Jeshi la Marekani lakamata meli ya Iran iliyosheheni mabomu

    Inapaswa tuwe na mbabe mmoja tu basi... The U.S. Fifth Fleet has indicated in a statement that the 'USS The Sullivans' and a Coast Guard ship intercepted the vessel during the day on November 8 "while transiting international waters". Thus, it has indicated that another U.S. ship and bomb...
  5. BARD AI

    Bungeni: Milipuko ya mabomu Mbagala yatafuna Tsh. Bilioni 17.4

    Waziri George Simbachawene amesema Serikali ilitumia kiasi hicho kuwapa pole waliothirika na milipuko iliyotokea Aprili 29, 2009 katika Kambi ya JWTZ KJ 671 na kuua zaidi ya watu 29. Amesema wananchi 12,647 waliathirika na mlipuko huo uliosababisha huku watu kujeruhiwa na familia nyingi kukosa...
  6. BARD AI

    Somalia: Watu 100 wauawa kwenye mlipuko wa mabomu ya kutegwa kwenye magari

    Rais wa Somalia amesema kuwa takriban watu 100 waliuawa katika mashambulio mawili ya mabomu yaliyofanywa kwenye barabara kuu ya Mogadishu na idadi ya vifo huenda ikaongezeka. Katika taarifa yake, Rais Hassan Sheikh Mohamud akiwa katika eneo la milipuko amewaambia waandishi wa habari kwamba watu...
  7. MK254

    Urusi yaomba magharibi ibembeleze Ukraine isitumie mabomu hatari

    Urusi inadai imepata intelijensia kwamba Ukraine wanafanya maandalizi ya kutumia 'dirty bombs', aina mabomu hatari ambayo yanaweza kufanya maangamizi makubwa na maafa. Juzi hapa hawa hawa Urusi walitishia kwamba wapo radhi kutumia nyuklia kulinda maeneo ambayo walijimegea kutoka kwa Ukraine, leo...
  8. MK254

    Wafia dini wanne wajilipua mabomu Somalia na kuua watu tisa akiwemo mwanafunzi

    Hawa jamaa wa alshabaab ambao humpigania na kumlinda "mungu" na uislamu wamejilipua mabomu na kuua tisa akiwemo mwanafunzi kule Somalia.... Nine people were killed and 47 wounded Sunday in an attack on a hotel in Kismayo, southern Somalia, claimed by the Al-Shabaab Islamist group, the region's...
  9. MK254

    Ufaransa pia kutuma vifaa vya kuzuia mabomu ya Urusi yanayotupwa uraiani

    Hii yote ni kwa ajili ya kuzuia mashambulizi ya Putin ya mabomu anayopiga hadi bembea za watoto, ameikimbia frontline kaenda kushambulia makazi ya watu. Nchi yote ikilindwa vizuri dhidi ya haya mashambulizi, mapigano yatandelea vyema frontline kule ambako anapokea kichapo balaa. French...
  10. MK254

    Uingereza kuipelekea Ukraine Makombora ya kujikinga dhidi ya mabomu ya Urusi yanayoshambulia uraiani

    Anga yote ya Ukraine hivi karibuni italindwa, ili tuendelee vizuri kwenye frontline bila kuwaza wananchi uswazi. ======== Britain on Thursday said it would supply Ukraine with air defense missiles to defend itself against Russian assaults and will for the first time provide rockets capable of...
  11. MK254

    Ukraine wapokea kifaa cha kwanza kitakachosaidia kwenye kupangua mabomu ya Urusi yanayotupwa uraiani

    Mrusi ameshindwa frontline hadi ameamua kushambulia maeneo ya bustani yenye bembea za watoto, alishambulia kwa mabomu 75, ila 41 yalipanguliwa maana yalielekezwa kwenye miundo mbinu ya kijeshi, ila Ukraine hawakua wamejiandaa kwa mabomu ya kupiga uraiani, maana hawakutegemea Urusi wanaweza kuwa...
  12. MK254

    Ukraine kupewa vifaa vinavyozuia mabomu yanayotupwa uraiani na Urusi

    Urusi wameonyesha walivyo desperate baada ya kushindwa kupambana kijeshi wameamua kutupa mabomu kwa raia, sasa Ukraine kupokezwa vifaa vya kuzuia hayo mabomu, mapambano yabaki baina ya wanajeshi sio kukimbilia kuua raia. What can the air defense shields do? The IRIS-T SLM can defend from...
  13. MK254

    Wapiganaji wa Al-Shabaab wajilipua mabomu Somalia na kuua tisa

    Jamaa wana uzombi sana....roho ngumu yaani. Al-Shabaab militants have claimed responsibility for two suicide car bombings targeting the Lamagalaay area of Beledweyne, Hiran Region, Oct. 3. The blast killed at least nine people, including senior government officials. Heightened security...
  14. MK254

    Wananchi wa Crimea waombwa wachukue tahadhari ya mabomu, maana ukombozi unakuja

    Wananchi walioko Crimea wameagizwa wachukue tahadhari ya mabomu, maana vita vitahamia huko muda usio mrefu na kutakua na umwagikaji wa damu balaa kwenye jitihada za kumfukuzia adui Urusi aliyeingilia nchi ya watu, wanajeshi wa Ukraine wanajitoa mhanga, wanauawa kishujaa kwa ajili ya vizazi vyao...
  15. MK254

    Wanajeshi wa Urusi walipukiwa na mabomu yao wenyewe

    Siku zote ukiwa dhalimu lazima yakukute..... Russian troops were blown up by their own mines while responding to a fake call from pro-Ukrainian partisans early Monday morning, according to Mariupol officials. The deaths come after more than six months of fighting as Ukraine continues to defend...
  16. MK254

    Wanajeshi wa Urusi wamekuwa frustrated hadi wanapiga mabomu kwenye mashamba ya ngano

    Warusi wana hasira kwa kutamaushwa na vita ambavyo vinawagharimu sana, mpaka wanapiga mabomu kwenye mashamba sasa..... Nearly 600 hectares of various sorts of grain have burned down as a result of Russian attacks in the Zaporizhzhia region on Tuesday. "During yesterday’s Russian missile...
  17. MK254

    Hatimaye Putin amepata mwanya wa kutokea, aanza kupiga mabomu vinu vya nyuklia vya Ukraine

    Baada ya kushindwa kuiparamia Ukraine, ageuza hasira zake kwa vinu vya nyuklia akijua kwa kuvilipua atasababisha madhara makuba kwa mamilioni ya watu, anapiga mabomu maeneo yote ya karibu na hivyo vinu ili abembelezwe aache.... Ukraine said several shells landed near a facility where...
  18. Miss Zomboko

    Somalia: Mabomu yarushwa karibu na Ikulu ya Rais

    Vitongoji vya makaazi karibu na Ikulu ya Rais wa Somalia mjini Mogadishu vimeshambuliwa kwa mabomu leo, muda mfupi baada ya Bunge la nchi hiyo kuidhinisha Baraza la Mawaziri lenye wajumbe 75 lililoteuliwa hivi karibuni chini ya Waziri Mkuu Hamza Abdi Barre. Mamlaka zimesema hakuna majuruhi...
  19. JanguKamaJangu

    Watoto wanne wauawa kwa mashambulizi ya mabomu Gaza

    Watoto wanne na Wanamgabo kadhaa wa Palestina wameuawa katika mashambulizi ya mabomu yaliyotokea Ukanda wa Gaza ikiwa ni siku ya pili tangu kuanza kwa mashambulizi kutoka kwa vikosi vya Israel. Israel imeonya kuwa mashambulizi yake hayo yanaweza kuendelea kwa muda wa wiki moja, ambapo...
  20. MK254

    China kuanza zoezi la kulipua mabomu baharini, huku Pelosi ametua Taiwan bila shida

    Baada ya mikwara kila siku kwamba Nancy Pelosi akithubutu kuingia Taiwan, basi China itafanya jambo la kweli, wameishia kuandaa maandalizi ya kufyatua makombora kwenye bahari, wanasubiriwa wafanye kweli maana kwenye Taiwan, Marekani ana mkataba kabisa wa kulinda, hivyo atahusika moja kwa moja...
Back
Top Bottom