Huku Israel ikipiga maeneo ya kijeshi yanayoratibiwa na makundi ya Iran, naye Urusi amepiga mabomu kwenye maeneo ya raia na kuua watoto kule Syria.
Syrian state news agency SANA reported Israeli strikes coming from the disputed Golan Heights shortly after midnight Friday, killing three...
Kulitokea suala la Umeme tukaambiwa na wajuzi wa Mambo kwa ilikuwa ni matter of time bomu hilo kulipuka kwa hiyo shida kutokea ni matatizo ya Awamu ya Tano.
Kukatokea suala la ugumu wa Maisha na vitu kupanda Bei tukambiwa hivyo hivyo na kuongeza kwamba bwana Yule hakuacha pesa Hazina ila baadae...
Kumbe nchi hii ndogo kwa eneo ina mabomu mengi hivi ya nyuklia?
Pamoja na kuzungukwa na maadui wengi, hawajawahi kutumia silaha hizo kuwaangamiza. Hii ni nchi inayojali utu. Ni nchi yenye ujasusi wa hali ya juu.
Hii nchi imesaidia kulinda usalama mashariki ya kati kwa kuhakikisha iraq, iran...
Wafaransa washenzi sana, walipoitawala Mali waliamua kufanya majaribio yao ya nyuklia kwenye ardhi ya Algeria miaka ya 1960s ili athari zitakazotokana na nyuklia ziwaathiri waafrika tu.
Yaani majaribio wafanye kwa faida ya Ufaransa, lakini madhila ya miaka na miaka hadi kesho yaendelee...
Mabingwa wa kurusha mabomu makubwa ya kudondosha kutoka Syria wametua nchini Urusi ili kuisaidia nchi hiyo katika vita yake dhidi ya Ukraine, watu hawa hudondosha mabomu ya petrol ana chlorune kutoka kwenye ndege.
Aina hii ya mabomu hufanya uharibifu mkubwa hasa yanapodondoshwa kaatika makazi...
Wakati nasoma Saiyansi nilikutana na topic moja inahusiana na Projectile motion ambayo inafundisha mahesabu ya kurusha kitu ili kiangukie mahali ulipokusudia
Nitopic ngumu ambayo huwezi kufundisha mtu ambaye hajasoma masomo hayo akaelewa kwa urahisi
Naamini tunafanya hivyo ila kama bado...
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa huo, Rashid Hadid Rashid amesema hakuna mabomu yaliyokutwa katika boti iliyookotwa kando kando mwa fukwe ya bahari ya Bwejuu kama ilivyodhaniwa na baadhi ya wavuvi walioisogeza boti hiyo ufukweni
RC...
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amewaonya watu wake mapema leo Aprili 2, 2022 kuwa wanajeshi wa Urusi wanaoondoka katika maeneo yao wanatengeneza kile amesema ni "mazingira ya maafa" nje ya mji mkuu kwa kutega mabomu ya ardhini katika eneo zima hata karibu na nyumba za watu na maiti.
Ametoa...
Kwa masikitiko tunawatangazia kifo cha panya magawa kilichotokea huko nchini Cambodia.
Chanzo cha kifo cha panya Magawa kimetokana na uzee kwani alikua na umri wa miaka minane.
Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya kipenzi chetu panya magawa.
Pia soma
Panya Magawa astaafu kazi ya kufichua...
Polisi wametumia Mabomu ya Machozi kutawanya Waandamanaji waliokusanyika karibu na Makazi ya Rais Jijini Khartoum, kuonesha hasira zao dhidi ya Makubaliano yaliyomrejesha Waziri Mkuu, Abdalla Hamdok Madarakani.
Licha ya Kiongozi wa Jeshi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan kumrejesha Hamdok na...
Kila linapotokea suala la upungufu wa mvua basi kwa wanaCCM ambao sio waaminifu basi wao huwa ni fursa ya kuwaibia na kulipora taifa la Tanzania.
Huko nyuma sababu ya kujinufaisha wao na matumbo yao, kuna wanaCCM walisema wataleta kampuni ili lizalishe mvua kwa kutengeneza mawingu yanayotokana...
Nimesoma Twitter, Zitto Kabwe akitoa maoni kuhusu umeme.
Zitto anasema katika miaka mitano iliyopita hatukuongeza uzalishaji wa umeme wa maji na ukweli ni kwamba uzalishaji ulipungua. HILO LILIKUWA BOMU LA KWANZA LA SERIKALI YA WAMU YA 5 ambalo lazima kuna siku lingelipuka. Hili hapa...
Jamaa wamepata mzuka na kulianzisha upya. Wanajilipua kwenye masoko na ndani ya kandamnasi, haya mafundisho ya kidini yataitesa dunia.
========
Somali military officers on a street in the capital Mogadishu on April 25, 2021. PHOTO | AFP
At least two people were killed and five wounded...
Mamlaka katika Mji wa Beni zimetangaza utaratibu wa wakazi kubaki nyumbani katika muda utakaopangwa (curfew) baada ya mabomu mawili kulipuka Jumapili ya Juni 27, 2021.
Bomu la kwanza lililipuka Kanisani na kujeruhi wawili na saa chache baadaye bomu la kujitoa muhanga lililipuka nje ya baa. Mji...
Iko siku hao tunaowaita machinga watakuja kulikataa hilo jina Na kudai wapewe jina lingine Na wanasiasa. Sasa hivi neno wamachinga linatumika fuko kuukuu kubwa la kuwafichia vijana wasiokuwa Na ajira, wasiokuwa Na pembejeo za kilimo, wasiokuwa na zana za kuvulia wala maeneo ya kuchungia Mifugo...
Mlipuko wa bomu uliotokea Mei 21, 2021 katika mkutano wa hadhara wa Wapalestina Magharibi mwa Pakistani umeua watu 6 na kujeruhi 3 akiwemo kiongozi wa chama cha kidini chenye msimamo mkali.
Bomu la pikipiki lililipuka wakati watu wakitawanyika mwishoni mwa mkutano uliofanyika katika Jiji la...
Wananchi wa Vijiji vya Nyiboko, Borenga, Machanchari na Maremboto vilivyopo Kata ya Kisaka wilayani Serengeti wameliomba Jeshi la Wananchi (JWTZ) kukagua na kuondoa mabomu yaliosalia maeneo ya makazi baada ya Watoto kuokota bomu ambalo halijalipuka mara baada ya kuhitimisha mafunzo ya kivita...
Nakumbuka siku hiyo wakati ukitokea mlipuko wa mabomu maeneo ya Gongo la mboto, nilikua sinza, ghafla nikaanza kuona miale ya moto juu ya anga, binafsi nilihisi labda tayari kimenuka.
Naanza kutafuta namna ya kuwatafuta watu wangu wa karibu naona simu hazitoki, nikasema ehee.
EBwana wee siku...
Polisi nchini Marekani wanasema wamekamata gari lililokuwa na mabomu na bunduki likiwa limeegeshwa karibu na jengo la bunge siku ya Jumatano wakati wafuasi wa Rais Donald Trump walipovamia jengo la bunge, mtandao wa CNN umeripoti.
Mtu mwingine aliingia ndani ya jengo la bunge akiwa na bunduki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.