Baada ya mikwara kila siku kwamba Nancy Pelosi akithubutu kuingia Taiwan, basi China itafanya jambo la kweli, wameishia kuandaa maandalizi ya kufyatua makombora kwenye bahari, wanasubiriwa wafanye kweli maana kwenye Taiwan, Marekani ana mkataba kabisa wa kulinda, hivyo atahusika moja kwa moja...