Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Mindu katika Manispaa ya Morogoro wamelazimika kuchimba mashimo kwenye mabonde yaliyopo ndani ya mtaa huo ili kusaka huduma ya maji baada ya vyanzo vingi vya maji kudaiwa kukauka. Sababu ya hali inaelezwa kuwa ni uharibifu wa vyanzo vya maji na uharibifu wa mazingira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.