KERO Wakazi wa Morogoro (Mindu) huamka saa 8 usiku kusaka maji mabondeni na Makorongoni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Mindu katika Manispaa ya Morogoro wamelazimika kuchimba mashimo kwenye mabonde yaliyopo ndani ya mtaa huo ili kusaka huduma ya maji baada ya vyanzo vingi vya maji kudaiwa kukauka. Sababu ya hali inaelezwa kuwa ni uharibifu wa vyanzo vya maji na uharibifu wa mazingira kwa ujumla unaochangia mabadiliko ya tabianchi.
 
Uharibifu wa nini ndio umechangia mvua zisinyeshe??
 
Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Mindu katika Manispaa ya Morogoro wamelazimika kuchimba mashimo kwenye mabonde yaliyopo ndani ya mtaa huo ili kusaka huduma ya maji baada ya vyanzo vingi vya maji kudaiwa kukauka. Sababu ya hali inaelezwa kuwa ni uharibifu wa vyanzo vya maji na uharibifu wa mazingira kwa ujumla unaochangia mabadiliko ya tabianchi.
ni vyema wananchi kutunza vyanzo muhimu sana vya maji badala ya kuviharibu.

serikali makini ya CCM chini ya Dr. SAMIA SULUHU HASSAN italisort tatizo hilo as soon as possible muwe wastahimilivu kidogo tu,

Pole watu wa Morogoro. :NoGodNo:
 
Safi sana... mitano tena, si ndio mlitaka ? Tena watu wa morogoro huwaambii kitu khs ccm, sana sana huko vijjn !
 
ni vyema wananchi kutunza vyanzo muhimu sana vya maji badala ya kuviharibu.

serikali makini ya CCM chini ya Dr. SAMIA SULUHU HASSAN italisort tatizo hilo as soon as possible muwe wastahimilivu kidogo tu,

Pole watu wa Morogoro. :NoGodNo:
K...manyoko
 
Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Mindu katika Manispaa ya Morogoro wamelazimika kuchimba mashimo kwenye mabonde yaliyopo ndani ya mtaa huo ili kusaka huduma ya maji baada ya vyanzo vingi vya maji kudaiwa kukauka. Sababu ya hali inaelezwa kuwa ni uharibifu wa vyanzo vya maji na uharibifu wa mazingira kwa ujumla unaochangia mabadiliko ya tabianchi.
Kama amani wanayo kuna shida gani?
 
Mpaka hasira, nchi yangu imekuwa so exposed na vulnerable kiasi hiki kweli. Mpana tumeshuka viwango sana
 
Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Mindu katika Manispaa ya Morogoro wamelazimika kuchimba mashimo kwenye mabonde yaliyopo ndani ya mtaa huo ili kusaka huduma ya maji baada ya vyanzo vingi vya maji kudaiwa kukauka. Sababu ya hali inaelezwa kuwa ni uharibifu wa vyanzo vya maji na uharibifu wa mazingira kwa ujumla unaochangia mabadiliko ya tabianchi.
Uzuri hawakuandamana wamerizika na shida ya maji
 
Back
Top Bottom