machakos

Machakos, also called Masaku, is a town in Machakos County, Kenya. Serving as the capital of the county, its urban population was 63,767 as of 2019.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbwa koko machakos - Seneta Kavindu Aibua Tishio la Mbwa Waliopotea Syokimau

    Seneta wa Machakos, Agnes Kavindu, ameiomba Kamati ya Kudumu ya Seneti kuhusu Afya kutoa taarifa kuhusu kuongezeka kwa idadi ya mbwa wanaozurura bila wenyewe katika eneo la Syokimau, Machakos County. Akirejelea tukio la Agosti 25, 2026 ambapo kijana mmoja alidaiwa kushambuliwa na mbwa watatu...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bibi Aondoka Baada ya Siku 30, Mume Adai Refund ya Sh1.16M ya Mahari, Mbuzi, Chakula na Pombe

    Mwanaume mmoja wa Machakos aliingia kwenye ndoa ya Kamba customary akiwa ametumia zaidi ya Sh1.16 milioni, lakini ndani ya mwezi mmoja, ndoa ilikuwa imevunjika. Alienda mahakamani akitaka si tu divorce, bali pia refund ya Sh1,169,650 aliyosema alitumia kwa mahari, mifugo, chakula, sherehe...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vita vya People’s Park: Gavana Wavinya Ndeti Amjibu Waziri Alfred Mutua

    Mvutano umeibuka Machakos baada ya Gavana Wavinya Ndeti kujibu madai ya aliyekuwa gavana wa kaunti hiyo na sasa Waziri wa Kazi, Alfred Mutua, kuhusu hali ya Machakos People’s Park. Mutua alikosoa hali ya hifadhi hiyo baada ya kuitembelea, akisema amehuzunishwa kuona kituo hicho cha burudani na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…