Habari za weekend, Wakuu.
Husika na mada tajwa hapo juu, Waswahili wanasema kimfaacho mtu chake,
Ninauza iyo machine ya kukamulia Juice ya MIWA, ipo Tanga kwa Bei ya 850K,
Ipo katika hali nzuri inatumia umeme, na toka nimeinunua nimeitumia kwa mwezi mmoja Tu,
Karibu Sana.