Hello JF,
Suala la Machinga kufanya biashara mjini Kariakoo na sehemu nyinginezo limekua ni tatizo la miaka nenda rudi bila ufumbuzi wowote, imekua kero kwa wapita njia na wafanya biashara wengine,,,,,,,
Binafsi sidhani kama kuwafukuza waende sehemu nyingine ni suluhisho, wataenda kwa muda...