For the town in Malawi, see Machinga, Malawi. For the district of Malawi, see Machinga District.The Machinga are an ethnic and linguistic group based in Lindi Region on the southern Indian Ocean coast of Tanzania. In 1987 the Machinga population was estimated to be 36,000 people.
Safari ya kudai haki haijawahi kuwa rahisi:
Wenye ajira kudhani wasio na ajira ni wapuuzi hiyo si sahihi.
Kwanini rais ang'ake kusikia tishio kwenye kuendelea na urais baada ya 2025?
Kwanini Makalla asiwe tayari kuachia ngazi na kwenda kujiajiri?
Kwanini yasipunguzwe maslahi serikalini...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema zoezi la kuwapanga vizuri Wamachinga katika Jiji la Dar es Salaam limeenda salama pasipo usumbufu wowote na kusema kwa sasa ameagiza maeneo walipoondoka Machinga yasafishwe na yafanyiwe ukarabati.
"Maelekezo ya Rais Samia yalikuwa zoezi...
Kero ya machinga huko barabarani hapati rais peke yake, kero ya machinga hapati waziri mkuu peke yake, kero ya machinga hapati RC, DC au mkurugenzi peke yake!
Kero hii ya machinga wanaipata wanainchi wengi wastaarabu wanaozingatia kanuni na sheria za inchi.
Kero ya machinga tunaipata sisi...
Wataalamu wa serikali ya awamu ya tano wa Jiji la Arusha wameona wawapange wamachinga kwa mfumo huu
1. Soko la Mbauda litakuwa la nguo za mitumba.
2. Soko la Machame Luxury litakuwa la vyombo na vifaa vya umeme.
3. Soko la Ulezi litakuwa maalumu kwa nguo za dukani.
4. Soko la Kilombero...
Machinga wa Arusha wanajengewa sehemu ya biashara baada ya kuondolewa maeneo yasiyo rasmi. Hata kama hatumpendi Rais Samia kwa hili tumpongeze sana tu. Uongozi siyo maguvu, kelele na matusi bali mipango tu
Kwanza tuweke maana halisi ya Machinga, Machinga kwa asili yake ni mtu anae nadi na kuuza bidhaa zake kwa kutembeza. Ingawa hivi karibuni maana halisi ya Machinga haipo tena. Kimsingi Machinga halisi ukiachana nae dakika 20 uwezi kumpata tena. Maana ya Machinga kwa sasa ni mfanya biashara mdogo...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amesema wamachinga waliogoma kuhama wataondolewa kwa lazima na vibanda vyao kuhamishwa. Kesho 30/10/2021 ndio siku ya mwisho kwa wamachinga wote kuhamia maeneo rasmi.
Kadhalika Makalla amesema ataongea na wadau wa Usafiri ili daladala zote zinazoishia...
Habari wadau JF,
Watanzania tubadilike twende na wakati kwa nini tuko kama watu kale binafi siungi mkono Machinga wala Migambo wajiji siko upande wowote ila kwa akili hizi mazingira tunayatengeza wenyewe kwakutokuwa wabunifu na kwenda na wakati kunamswali mengi sana waga najiuliza kwanini...
Wadau nawasabahi,
Tunaziomba mamlaka zote zinazohusika na zoezi la kuwaondoa machinga kuwa zoezi hili liwe la kudumu kwani mazoezi kama haya huwa ya nguvu ya soda kutokana na kufanyika kisiasa zaidi unaweza kukuta 2030 wanaruhusiwa kufanya biashara zao hata ndani ya viwanja vya ndege.
Muhimu...
Machinga ni watu Wenye mchango mkubwa katika maendeleo ya Taifa lolote , hakuna Taifa liloendelea kiuchumi bila kuwa na informal sectors, mfano mzuri ni nchi ya China kwenye miaka ya 1990s Mji wa Beijing ulikuwa na Machinga guys wengi ndo hao baadae wakakua kiuchumi Waka transform kuwa wafanya...
Kuweka rekodi sawa, Duniani kote hakuna nchi iliyoendelea kupitia MACHINGA, eg. US, UK, UAE, Qatar, Kuwait, Botswana, SA.
1. Hawalipi Kodi.
2. Ni bomu linalosubiri kulipuka kwa usalama wa biashara rasmi na mji kwa ujumla.
NB:
Warasimishe biashara kwa kujiunga vikundi na kuvisajili Kisha...
Huu ujumbe umwendee Humphrey Polepole, wenye chuki wote na Mama Samia wakiongozwa na kile kikundi kilichotaka kuigeuza Tanzania nchi ya kikabila na kikanda!
Kwanza poleni sana! Naona mnateseka sana pale Mama Samia anapofanikiwa jambo! Mnajaribu kuzua mambo juu ya mambo ili kumtingisha Mama wa...
Machinga ni yupi?
Nimeanza na swali baada ya kuona post ya mdau akielezea athari za kiuchumi baada ya machinga kuondolewa katikati ya jiji na mikoa mengi au hapa miweke sawa kwa lugha ya Rais wetu kuwapanga wamachinga toka sehemu isiyo kuwa rasmi kuwapeleka sehemu rasmi sasa hapo kutokana na...
Kasi ya kuwahudumia wananchi kutatua kero zao inapungua kutokana na rasilimali watu, fedha, vifaa na muda kuelekezwa kwenye kitatua shida ambazo zimezalishwa na viongozi tuliowapa madaraka na kuwalipa kwa Kodi zetu.
Wakati mmachinga wa kwanza anaanza kuweka biashara sehemu isiyo sahihi viongozi...
Nimeana Zungu na wengine wameitisha mkutano kupitia Zoom kujadili kadhia ya machinga kuondolewa baadhi ya maeneo kwa lengo lakutaftiwa maeneo mengine.
Swali ninalotaka kujiuliza, hiki kiburi cha hawa viongozi kwenda Zoom kuwajadili machinga wanakitoa wapi?
Kwamba walishindwa kuwatetea Bungeni...
Tuachane na wale wanaotaka jambo la kuwapnag machinga liende vibaya kwa maelngo yao ya kisiasa. Ni lazima miji yetu ipangike, kila mtu afanye biashara kwa ustaarabu.
Tuisaidie serikali ya Rais Samia kufanikisha jambo hili kwa kuacha kununua bidhaa za machinga wanaokaa kwenye maeneo ambayo...
Naomba kutoa pongezi zangu za dhati kabisa kwa viongozi wote walioratibu zoezi hili la kuondoa machinga katika maeneo yasiyofaa!
Ni nadra sana kuona zoezi linafanyika kwa hekima kubwa kama hili! Pasipo unafiki busara kama hii imekua adimu kwa mda mrefu sana!
Hakuna asiyejua kwamba tatizo la...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amewataka watendaji wa mitaa kulinda maeneo yao, kuhakikisha wamachinga waliohamishwa hawarudi tena maeneo hayo, wakikuta kibanda watajua watendaji wanahusika.
Amesema wamachinga wakirudi katika maeneo waliyohamisha itamaanisha yeye hatoshi kwenye...
MACHACHE HAYA YATAIOKOA SERIKALI NA MACHINGA WAKE.
Anaandika, Robert Heriel
Awamu ya tano ilisitisha Ajira za kila mwaka, ilikuwa awamu ambayo serikali ilipunguza kuajiri Kwa Asilimia kubwa Hali iliyoleta Malalamiko Kwa wasomi waliohitimu vyuoni.
Katika kutatua changamoto hiyo ya Ajira, ndipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.