machinga

For the town in Malawi, see Machinga, Malawi. For the district of Malawi, see Machinga District.The Machinga are an ethnic and linguistic group based in Lindi Region on the southern Indian Ocean coast of Tanzania. In 1987 the Machinga population was estimated to be 36,000 people.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyendo

    Machinga kuwashikashika wanawake inakera sana!

    Mtu unajipitia zako mara umeshikwa bega, au unavutwa nguo, mkono au kiuno, dada hii inakutosha au hii itakupendeza kwani huwezi kuniambia nikasikia tukaelewana bila kunigusa? Machinga wa Karikaoo, Karume, Mbezi ya Kimara jumlisha na wale wapiga debe ndo kuzidi kabisa, Mwenge yaani wanakera...
  2. K

    Machinga barabarani

    Wenye maduka na wamachinga wameamua kupanga bidhaa kwenye pavement za waenda kwa miguu, na Manispaa ziko kimya. Hivi waenda kwa miguu wapite wapi?
  3. rajiih

    Hivi Rais Samia anajua namna Machinga wanavyopigwa na kuporwa Biashara zao?

    Habari wana JF poleni na Majukumu ya kikazi. Nianze na maada kama kichwa changu hapo juu kinavyosomeka. Nikiwa mmoja wa wahanga katika suala zima la wamachinga nimeona nije mbele yenu pengine jambo hili la Unyanyasaji na lenye kutia hasira, hasara zaidi linaweza komeshwa. Tumekuwa wanyonge...
  4. mahindi hayaoti mjini

    Kuondoa machinga halafu kuruhusu ujenzi holela wa vibanda vya biashara sio sawa

    Ni kweli Kariakoo ni sehemu ya biashara hilo halina ubishi, lakini ukweli mwingine pia ni makazi na matumizi ya wengi wapitao njia. Embu pita tu pale Kariakoo uone jinsi nyumba zinavyobadilishwa, vichochoro vyote sasa ni viduka, gorofa zinabadilishwa kutoka makazi kuwa maduka kimya kimya...
  5. Msanii

    Tusipopaza sauti, Viongozi wa Machinga Mwanza watadhuriwa mikononi mwa Polisi

    Mnamo tarehe 08 February 2023 kulitokea vurumai katikati ya jiji la Mwanza baada ya Mgambo wa jiji kuanza kuwashambulia wachuuzi wa biashara hapo mjini. Vurugu hizo zilipata upinzani kutoka kwa wamachinga ambao kimsingi ni wahanga wakubwa wa kamati za ulinzi na usalama wa mikoa na wilaya zote...
  6. Analogia Malenga

    Mwanza: Machinga wasema awamu ya tano hawakusumbuliwa kama sasa

    Wamachinga wa Mwanza waliandamana leo kupinga maamuzi ya uongozi wa soko la makoroboi la kuwahamisha Wamachinga hao wametaka ujumbe umfikie Rais Samia kuwa wananyanyasika na kama wanataka kuharamisha umachinga basi wawatafutie kazi nyingine za kufanya
  7. Nigrastratatract nerve

    Machinga wachachamaa Mwanza hali ni tete wanarusha mawe kwenye maduka

    Machinga wanarusha mawe maduka ya watu na wamefunga barabara wameweka mawe barabarani serikali iwasaidie wananchi Hawa. ==== Imedaiwa kuwa vurugu zilizotokea ni kati ya wafanyabiashara wadogo maarufu kwa jina la Wamachinga kukwaruzana na Mgambo ambao walikuwa na zoezi la kuwatoa kwenye maeneo...
  8. BARD AI

    Utoaji wa Vitambulisho vya Machinga waanza kukwama nchini

    Utoaji wa vitambulisho vya wamachinga umebaki kizungumkuti kutokana na kutokuwepo kwa taarifa rasmi juu ya kuhuishwa kwake, ikiwa ni miaka tangu vitolewe na Serikali. Desemba 2018, Rais wa awamu ya tano, Hayati John Magufuli alizindua vitambulisho vya machinga kila mkoa ukikabidhiwa...
  9. Execute

    Lile eneo chini ya Flyover ya Kijazi lililowekewa fensi waweke vibanda vya machinga

    Nimepita pale ubungo na kuona fursa kwa halmashauri. Chini ya flyover ya kijazi kuna eneo safi sana limewekewa fensi. Fanyeni kujenga daraja kama la manzese ili raia waweze kuingia pale ndani ya fensi kwa usalama na kununua bidhaa za machinga. Kwahivyo pale kwenye ile nafasi wekeni vibanda...
  10. Analogia Malenga

    Machinga Kariakoo walalamika kutoshirikishwa katika mchakato wa kupata EFD

    Mkuu wa Machinga eneo la Kariakoo, Steven Lusinde amesema zoezi la kuwapatia mashine za EFD wamachinga walioko maeneo ya Kariakoo linatekelezwa bila kuwashirikisha bali wamepewa taarifa na Mamlaka ya Mapato (TRA) kuwa wanatakiwa kupewa mashine hizo za kikodi. "Niseme ukweli kwamba jambo hili...
  11. BARD AI

    TRA kukusanya Kodi kwa Machinga wote Kariakoo

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza kuwasajili wafanyabiashara wadogo ‘wamachinga’ waliopo katika Soko Kuu la Biashara Kariakoo Akizungumza na wanahabari leo Jumatatu Desemba 12, 2022 Meneja wa Mkoa wa Kikodi, Alex Katundu amesema tayari machinga 5273 wameshasajiliwa ili kuingizwa kwenye...
  12. Suzy Elias

    Warioba: Siyo wakulima pekee wenye matatizo bali hata wafugaji na machinga nalo hilo ni janga!

    Waziri Mkuu Mstaafu mzee Sinde Warioba ameunga mkono hoja ya matatizo ya Wakulima na ameitaka Serikali isikwepe wajibu wake wa kuwatimizia matakwa yao na isipumbazwe na kundi la wapiga masifu ya hovyo. Vilevile mzee Warioba ameitaka Serikali kushughulikia tatizo la Wafugaji na Machinga kwa...
  13. BARD AI

    Meya Mstaafu DAR: Deni la Machinga Complex halilipiki na halitalipika

    Aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar es Salam 2015-2019, Isaya Mwita akizungumza na Mwananchi nyumbani kwake Kigamboni Dar es Salaam alisema makubaliano ya awali kati ya NSSF na Jiji la Dar es Salaam juu ya ujenzi huo ilikuwa ni mkopo wa Sh9 bilioni na kuwa kabla ya kumaliza ujenzi gharama ilifika Sh12...
  14. N

    Machinga wapata neema Dodoma

    Mwaka mmoja uliopita agizo la kuwapanga Machinga lilitolewa. Mwaka mmoja baadaye soko la kisasa Dodoma limekamilika limegharimu Tsh Bilioni 9 na sasa limeanza kutumika. Lengo la soko hilo ni kuwaepusha Machinga na ajali zilizotokana na kufanya biashara pembezoni mwa barabara pia...
  15. mirindimo

    Dodoma, soko la Machinga mnagawia mtu aweke baa. Hapo mnatengeneza nini?

    Kuna saa utafikiri tunawaza kwa kutumia makalio, soko la machinga unaanza kugawia muuza bar kwanza kabla ya machinga ili pombe zitangulie hapo mnatengeneza nini? Halafu mnakuja mnalalamika kwenye TV kua maadili yame momonyoka? Mna ya momonyoa wenyewe halafu mnalalamika wapuuzi kabisa. Hii...
  16. ryan riz

    Wamachinga wamkumbuka Magufuli na Antony Mtaka kwenye Ugawaji wa Maeneo Soko jipya la Machinga Dodoma kwa kuwekwa wasiokuwepo na wao kukosa

    Ikiwa zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya soko jipya la machinga linaendelea, ila limegubikwa na sintofahamu tokana na zoezi hili Kipindi cha awali wamachinga wanaofanya biashara soko la jioni Nyerere square waliandikishwa kwa usimamizi madhubuti wa aliyekuwa mkuu wa mkoa Antony mtaka...
  17. JanguKamaJangu

    Marufuku Machinga kuwapo mtaani kuanzia Septemba 24, 2022

    Katika kutekeleza maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuwapanga wafanyabiashara wadogo maarufu machinga katika maeneo maalum, Halmashauri ya Jiji la Dodoma imesema ifikapo Septemba 24 mwaka huu, hakuna machinga atakayeendelea kubaki mtaani baada ya kukamilika ujenzi wa mradi wa soko la wazi...
  18. R

    Biashara nje ya uwanja wa Mwamposa ina baraka ya serikali?

    Wakuu mpo njema? Swali langu ni kuhusu wafanyabiashara ambao wameweka kambi kwenye kituo cha daladala pale Kawe karibu na anapofanyia mikutano Mwamposa. Sasa hivi sehemu ile imejaa wafanya biashara wadogo (machinga) na mama ntilie wa kutosha. Mazingira ya hapo kweli hayaridhishi, ukiangalia...
  19. saidoo25

    Machinga hatutaki ''Mamluki''

    Mwenyekiti wa shirikisho la wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kama machinga Mkoa wa Mbeya Jerry Mwatebela amesema uchaguzi uliofanywa Ili kuwapata viongozi wa soko la airport ya zamani ni batili kutokana na kughubikwa na utata katika zoezi Zima la uchaguzi huo. Akizungumza mbele ya...
  20. Nyendo

    Serikali kuwawekea mazingira bora ya biashara Machinga

    Serikali kuwasaidia Wamachinga wawe na mazingira bora ya kufanyia biashara zao, Aidha Serikali kuwakutaisha Wajasirimali wadogo( Machinga) na Taasisi za mikopo.
Back
Top Bottom