mada

Mada is a term from both Hindu theology and Hindu mythology. It is one of the Arishadvargas.

View More On Wikipedia.org
  1. Dhana ya Adam na Hawa kuwa wa mwanzo kwenye dunia na hadithi ya Nuhu ni mada ambazo zimekuwa na hukakasi nyingi za kifikra na kidini

    Watu wamekuwa wakibishana kuhusu uhalisia wa hadithi hizi na jinsi zinavyolingana au kutofautiana na maarifa ya kisayansi na historia. Kwa mfano, wengine wanachukulia hadithi ya Adam na Hawa kama tafsiri ya kiroho zaidi kuliko kama historia halisi, huku wengine wakiiona kama ukweli wa...
  2. I

    Farhia Middle leo amekwama kumuondoa Jaji Warioba katika mada ya Muungano

    Farhia Middle katika kipindi cha Dakika 45 ITV alikuwa anamuhoji Warioba kuhusu miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Katika mahojiano hayo Farhia alijitahidi sana kumuondoa katika hoja ya msingi na kujaribu kuingiza mambo ya katiba na mengine yaliyokuwa nje ya mada. Lakini Mzee...
  3. T

    Utani wa watu ninaoupenda hapa JF pamoja na watu na mada utakazowakuta

    wakuu Mambo ni vipi. Mimi huwa napenda sana kusoma mada mbali mbali hapa Jf Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, Leo nitazungumizia utani wa watu hapa Jf na watu na mada ambazo utawakuta. 1 . Ni Accumen Mo na mgalatia Maghayo Hawa ndugu zangu mimi huwa wananifurahisha sana...
  4. Fahamu hii kuhusu kosa unalofanya...

    πŸ€πŸ™πŸ™....kosa linalorudiwa zaidi ya mara moja ni uamuzi. Kosa linalorudiwa zaidi ya mara mbili ni tabia. Kosa linalorudiwa mara tatu zaidi ni tabian
  5. Kwa kuangalia uchangiaji wa mada nimegundua watumiaji wengi wa JF hutumia device za maofisini mwao

    Ukifuatilia uchangiaji wa mada kwa siku za kawaida za wiki na za weekend utaona mada nyingi hupata wachangiaji wengi kwa siku za ijumatatu mpaka ijumaa. Ijumamosi na jumapili wachangiaji huwa wachache na mada hazitembei sana. Hii imenifanya kuhitimisha kwamba wachangiaji wengi wa JF wanalogin...
  6. FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

    πŸ”°ππ„π—π“ π”ππŸ”° πŸ† #CAFCL ⚽️ Young Africans SCπŸ†šCR Belouizdad πŸ“† 24.02.2024 🏟 Benjamin Mkapa πŸ•– 1:00 Usiku Kikosi kinachoanza dhidi ya CR Belouizdad Mpira umeanza Dakika ya 1 Dakika ya 5 0-0 Dakika ya 10 Musonda anakosa goli la wazi Yanga SC wanapata Kona Dakika ya 11 Lomalisa anapewa kadi ya...
  7. Usijadili wala kuchangia mada usiyoieleweka au iliyokuzidi uwezo.

    ....
  8. Yaani unanikataa kisa nina pigo za kichungaji!

    Rejea kichwa Cha habari hapo juu Kuna Dem nimemfukuzia kama mwezi Moja hivi ila alichonijibu et Mimi Nina pigo za kichungaji Kiukweli Mimi sio mchungaji wala Nini ila sijajua kajifikiria nini kunitamkia hivyo halafu mimi mbona mtu fulani simple tu Kiukweli kanikata mzuka kabisa hapa nawaza ni...
  9. Kigoma Region Tanzania: Mambo mbalimbali kuhusu mkoa wa Kigoma na viunga vyake

    Uzi huu ni maalumu kwa wakazi na watu wenye asili ya Mkoa wa Kigoma na watanzania wote kwa ujumla. Utapata kushiriki habari na kuungana na marafiki wa Kigoma kupitia hapa. Ukishazaliwa Kigoma au ukiwa na asili ya Kigoma basi Ubongo wako umeshakubeba kabla ya elimu yako (wewe ni wa tofauti...
  10. Mada zilizopo JamiiForums zinaonesha kama taifa vitu tunavyopenda au ni umri tu?

    Wakuu habari za Jumatatu? Leo nimeamka zangu asubuhi nikiwa nasema kama na TT wa kwenye treni wakinizingua kama wiki ile iliyopita Ati kwamba chenji hakuna niende nikalipie getini nitampa njia sahihi ya kufanya kazi yake. Hii kitu inaniudhi sana sijui ndio kweli sarafu hazipo kwenye mzunguko...
  11. Kijana wa Kisrael aandika barua kugoma kujiunga na jeshi la nchi yake kupigana na Hamas. Hii imekaaje?

  12. Mada ya kuulizia walipo watu mashuhuri ndani na nje ya Tanzania

    Kuna wakati tunashindwa kujua walipo watu maarufu. Pengine kwa sababu ya shughuli nyingi za Kitaifa tunashishwa kuwasikiliza kwenye vyombo vya habari pindi wanapokuwa wanazungumza. Binafsi, kuna watu kama John Mnyika: Huyu ni Katibu Mkuu wa CHADEMA. Zamani mwanzoni mwa miaka ya 2000 hadi 2015...
  13. M

    Hili jukwaa ndo linaongoza kuwa na mada mpya

    Habari wakuu nimetembelea jukwa zote kwa mwezi mzm nimegundua hili la mapezi linakimbiza Sana Nyuzi Kama kula tunda kimasihara
  14. Naona kama mada zote zimeshajadiliwa Jamiiforums

    Siku hizi nikitaka kujua kitu au kupata information zake naenda Google na search kisha namaliza na neno jamiiforum na kweli aisee lazima ukute kitu hiko lilishajadiliwa humu ndani kweli jamiiforum ni zaidi ya kisima cha maarifa. Jaribu ku search biashara yoyote au ujasiriamali wowote pale...
  15. Uchawi vs akili

    Uchawi na akili ni vitu viwili tofauti. Uchawi ni imani katika nguvu za kiroho au za kichawi, wakati akili ni uwezo wa kufikiri na kuelewa. Uchawi Ni imani katika nguvu za kiroho au za kichawi. Huweza kutumika kwa madhumuni mbalimbali, kama vile kusababisha madhara, kushawishi matukio, au...
  16. Hizi ndio mada chokonozi za Media za Tanzania, kazi ipo!

    Jisomee Mwenyewe halafu toa maoni yako.
  17. Hizi mada za mahusiano mitandaoni tuwe na Tahadhari nazo

    Unakuta humu Jamiiforums anakuja mtu na mada yake ya Mbususu, ngono, alimla Demu gani, na mambo kama hayo ya ufusika. Halafu watu wanakuja na kuanza kusapoti huo ufusika... Sasa mimi najiuliza, Je kama huyo mwanamke au Demu anayezungumziwa humo ni Dada yako, mtoto wako wa kike, ndugu yako wa...
  18. Nakazia, wasipewe simu kubwa

    Salaam jukwaa la MMU Ni kweli mtoa mada kaongea kishamba kwamba wasipewe simu kubwa ila mimi niko naye bega kwa bega kwa sababu hizi. 1. Hawa wa kutokea kolomije wa darasa la saba sio lazima sana wanavo fika mjini kuwaanzishia simu labda iwe ndogo, kama ni simu kubwa atashika yangu tena kwa...
  19. Ni story gani au mada gani uliikuta kwenye chombo cha usafiri ukaishia kucheka?

    Hello πŸ‘‹ Tunatumia usafiri sana sana usafiri wetu daladala, mwendokasi, bajaji nk Nisikuchoshe kuna tukio nishashuhidia na kusikia nikaishia kucheka mpaka mwisho wa safari Ya kwaza ilikuwa mwaka 2015 nikiwa kwenye daladala kipindi cha uchaguzi tukifika kituo fulani sasa pembeni kulikuwa na...
  20. Kama umekutana na shida ya kusaidia au kusaidiwa pita hapa

    Suala la kumsaidia mtu au watu katika maisha ni jambo la kawaida kwa wanadamu, yaani ni kawaida kwa wanadamu kusaidiana. Kuna baadhi ya watu tendo la kumsaidia mtu au kitu kwao ni kama tendo la ulazima, kwani hata ujizuie vipi lakini msukumo unaotoka moyoni ni mkubwa. Msukumo huo unaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…