Habari!
Ikiwa ndugu, mtoto au rafiki kakupigia simu kisha akasema nilikuwa nawasalimia tu lakini baadaye akaanza kujichekesha na kuomba elfu tano hiyo maana yake ni kwamba lengo la kukupigia halikuwa kuwajulia salamu bali kuomba pesa .
Vivyo hivyo lengo la Elimu ya Tanzania ni kujenga Taifa la...
Nimekuwa napitia mada nyingi sana humu JF na kila mada ni CHADEMA tu tangu ujio wa Lissu na Lema!
Hakuna cha CCM wala CUF, hii inaonyesha kuwa CHADEMA ni chama kikubwa sana sana nchi hii.
Hongera sana CHADEMA, songeni mbele sana!
Hivi ni vitu vitakavyowafanya nyote muone mmepata muda mzuri na kujuana. Mada hizi zitakusaidia kuepuka mada ambazo zitapunguza kasi ya mwanamke kukupenda. Mfano, kumuambia kuwa unampenda mapema sana hata kabla hujamjua vizuri tabia yake na kuamua kama unaweza kuishi naye. Na kwa wale wanaojiona...
Habari zenu wapwa.
Nisiwachoshe.
Wote mnaona jinsi kumekuwa na wimbi kubwa la nyuzi za Ushoga hasa za kujifanya kupinga na kulaani Ushoga.
Ndugu zangu msidanganye,publicity ni publicity hakuna publicity mbaya.Kitendo tu cha kuandika neno Ushoga tayari umeu promote.Hata ukiandika MASHOGA WAULIWE...
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Angalizo: Andiko hili linawahusu watu wote wenye umri kuanzia miaka 18 waliyokwenye ndoa. Iwe ndoa ya kimila, kidini au kiserikali. Isihesabike niliandika ili kuhamasisha ngono, bali kwaajili ya waliyoruhusiwa kufanya tendo la ndoa.
Nami...
Wakuu,
Poleni na tozo na hivyo baada ya kupeana pole kwa maumivu hayo basi ni wakati muafaka kabisa wa sisi wana tozonia kushea pamoja mada moto moto zilizowahi kuwa posted hapa Jf mada ambazo zinasisimua mno, zina burudisha ,kuelemisha ,kutoa maonyo na miongozo.
Tafadhali weka link yake hapa...
Habari!
Hii mada imejadiliwa mara nyingi na sehemu nyingi.
Je, mahari inayotolewa ili kijana aozeshwe ifutwe?
Kama ifutwe toa sababu, kama uendelee toa sababu.
Hivi kuna mtu wa Nchi hii anafuatilia na kuanzisha Mada JF ya nayoendelea Afrika Mashariki yanayohisiana na vita au heka heka ya kuagiza Yesu Africa?
Au nikiumbelel na kumuhemuhe au ubwege wa kuwazu yanayotuhusu mfano rushwa, mahari kwa watoto wetu na kabira zetu na mila zetu, tozo za vocha...
Habari za wakati huu ndugu zangu wa jamiiforums. Mimi Infantry Soldier nipo mzima wa afya.
UTANGULIZI: MUUNDO WA MFUMO WA ELIMU NCHINI TANZANIA KWA UFUPI.
Mfumo wa elimu wa kitaifa kwa hapa Tanzania una ngazi kuu nne. Kwanza miaka saba ya elimu ya msingi ya lazima (kuanzia umri wa miaka sita)...
Kwa hapa JF huwa kuna utaratibu wa members kuchangia mada inapowekwa hapa Jukwaani.
Majukwaa yapo mengi ukiachana na yale ya kitaalam Kama Sheria , tech na maengine yapo majukwaa ambayo yanahitaji uelewa wa kawaida tu. i.e General Knowledge.
Sasa kuna members ambao ni maarufu huchangia mada...
Balozi Dk Wilbroad Slaa anatarajiwa kuongoza kongamano la tafakuri tunduizi ya kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kifo cha hayati John Pombe Magufuli.
Kongamano hilo litakalofanyika Ijumaa Machi 25, mwaka huu katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT), Mwanza pia linalenga kufanya...
Kuna mada mbalimbali ambazo kwa namna moja au nyingine ukikutana nayo mbele yako hakuna atakaye weza kukupindua. Ni mada gani?
Nikiri kuwa 'mabishano/majibizano ya hoja' ni sanaa na katika sanaa hii kuna watu wanakipaji haswa katika hilo. Kuna watu hawezi kuwsshinda inapokuja jambo. Na kuna...
Na Thadei Ole Mushi
Uganda ipo mbioni kupoteza umiliki wa Uwanja wake wa ndege wa Entebe baada ya wakopeshaji nchini China kukataa ombi lao la kujadili tena mkopo wa Dola za Marekani 200 milioni uliochukuliwa miaka sita iliyopita ili kupanua Uwanja huo wa Entebe. Gazeti la Mwananchi Leo...
1. Nitajuaje kuwa maziwa yamekuwa safi tayari kunywewa na binadamu kwa ngombe aliyezaa?
2. Yana athali gani binadamu kunywa madanga?
3. Kwanini huwa yanamwagwa ukikamua?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.