Natumia laini ya Voda, mara zote lazima ni Google kuingia kwenye mtandao fulani. Sasa, Mimi binafsi, huwa nakerwa na mtindo huu ambao BBC wameanzisha, nadhani kwa kushirikiana na Vodacom.
Mada iliyohewani hivi sasa ni: "Nilijiuza Kimwili Kukidhi Kiu Yangu ya Mihadarati" imeambatana na picha ya...
Angalia tamthilia za kituruki za Azam TV; tangu Sultan, Wounded Love na hata sasa Ertugrul utagundua kitu kimoja tu.
Kwamba tamthilia hizi ni simulizi za historia ya nchi yao ya Uturuki. Kihistoria Uturuki ilikuwa sehemu ya himaya kubwa ya Ottoman ambayo ilianza mnamo karne ya 13.
Himaya hii...
Humu mada nyingi nizakuachwa. Umri sio tatizoo tatizoo ni kuwa makini katika uchaguzi .
Mke mwema huja mwenyewe asilimia kubwa tatizo hao mnawapuuzia mnaishia kupata wanawake ambao bila hela wewe sio kitu.
Mwanamke anayekupenda niyule ambaye ukiishiwa anakujali hata kimawazo hakukimbii.
Wakati...
Hi guys
Hapa duniani si kila binadamu unaemuona ni binadamu kweli, haya mambo nimeyafahamu baada ya mm kufanya research yangu mtandaoni, kwa kusoma shuhuda za walokole kama kina rachel mushala wa facebook, waliomtumikia shetani na baadae kuokoka, pamoja na kuchanganya akili zangu.
Majini huwa...
Ni siku nyingine tena imepita, tumerudi salama majumbani mwetu, kuungana tena na wapendwa wetu, familia na watoto pia. Baadhi yetu hatujarejea, tuko mishe na viti virefu, baadhi tuna sababu za msingi na nyumbani wanafahamu na tumewapa taarifa, wanatusubiri watupokee kwa upendo, kwa furaha kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.