madaktari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Serikali yaongeza posho kwa madaktari, wauguzi

    Serikali ya Tanzania imesema imeongeza posho za madaktari anapoitwa nje ya saa za kazi, posho ya sare za wauguzi na ile ya kuchunguza maiti kuanzia mwaka wa fedha 2024/2025. Hatua hiyo imekuja ikiwa ni miaka mingi imepita tangu madaktari na wauguzi chini, kuomba ongezeko hilo. Hayo yamesemwa...
  2. R

    Mwanasiasa anajadiji kuadhibu Madaktari kwa kutibu wagonjwa katika vituo zaidi ya kimoja kweli? Kwanini tumekuwa na viongozi wanaowaza kuadhibu tu?

    Yapo mambo yameshawekwa wazi kwenye taratibu za ajira. Kila mfanyakazi ana masaa ya kazi na baada ya muda huo yupo huru kufanya kazi zake. Tanzania tuna upungufu wa madaktari bingwa. Wanataaluma ya udaktari wa binadamu wameweka utaratibu wao wakusaidiana kuokoa maisha Mfumo wa afya wa nchi...
  3. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Hivi madaktari wasasa mbona mnageukana?

    Jf wasaalam 🙏 Nina hoja kadhaa wa kadhaa naomba nisikilizwe na kupewa majawabu. Kwa Sasa tumeshuhudia wimbi kubwa la ma doctor hasa kwenye mitandao ya kijamii wakitumia Account zao kutupa elimu za namna Gani ya kuishi huku tukitunza afya zetu. Ni jambo jema na tunawapongeza sana Kwa kutumia...
  4. Kingsmann

    Chama cha Madaktari Tanzania (MAT): NHIF walikiuka makubaliano ya kamati ya kitita cha mafao cha mwaka 2023.

    MREJESHO WA KIKAO CHA DHARURA KATI YA NHIF NA CHAMA CHA MADAKTARI TANZANIA- MAT Utangulizi, Tunapenda kuwafahamisha madaktari nchi nzima kuwa mnamo tarehe 10/07/2024 tulipokea barua ya mwaliko kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya-NHIF yenye kumb.Na.EA35/269/01A/184,lengo kuu likiwa kufanya...
  5. Sir John Roberts

    KERO Hospitali ya Taifa Muhimbili (Mloganzila) Madaktari wanafunzi ni Janga. Watu wanakufa kwa uzembe

    Hii hospitali kama serikali na uongozi hautachukua hatua za haraka watanzania wengi wataendelea kufa kwa uzembe wa madaktari wanafunzi ambao hawasimamiwi ipasavyo na wakuu wao kazi. Nimeshuhudia mgonjwa wangu akiambiwa hana tatizo lolote la nyonga baada ya kumpeleka akiwa amepata ajali na...
  6. Expect Quality

    Nchini China na Madaktari wa roboti

    Nchi ya China imeendelea kuwekeza katika huduma za afya, hospitali kubwa zaidi ya Artificial intelligence ambayo inaweza kuhudumia wagonjwa 3000 Kwa siku, ambayo kwa kawaida Madaktari wanaweza kuchukua zaidi ya miaka 2 kufanikisha
  7. M

    SoC04 Nafasi ya madaktari kike na wahudumu wa kike hukatika katika utoaji wa huduma za afya

    Serikali inapaswa kuongeza idadi wa madaktari wa kike ,ili Wawa hudumie Wana wake pale wanapofika hospitalini. Kufanya hivyo kutapunguza unyanyasaji wa kijinsia na kuongeza ufanisi wa kazi. Kwani ni vyema mwanamke akihudimiwa na mwanamke mwenzie ,hasa pale mgonjwa anapotakiwa kupata...
  8. and 300

    Kwanini tunajali Maafisa Habari kuliko Madaktari?

    Kuna nchi Afisa Habari ana muhimu zaidi kuliko hata Madaktari wanaookoa maisha ya Mama zetu Vijijini. Waandishi/ Maafisa Habari, wanapewa posho kila kikao, audience kibao. Hivi ni lini tutaheshimu na kuwathamini Madaktari wa binadamu Kwa maslahi na vifaa kazi? PIA SOMA - Kwanini Serikali...
  9. Replica

    Uvinza: Halmashauri yachukua hatua kupitia video iliyosambaa lakini yashangazwa na aliyechukua video ikidai ameleta taharuki

    Halmashauri ya wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma imechukua hatua ya kumpumzisha daktari wa zamu ili kupisha uchunguzi baada video ya Mwanamke anaedaiwa kujifungua na kukosa huduma kwa zaidi ya saa moja katika Kituo cha Afya Kata ya Basanza kusambaa mtandaoni. Halmashauri baada ya kufatilia...
  10. X

    ChinaTech: Timu ya madaktari wa China wafanya upasuaji wa kwanza duniani kwa mgonjwa aliye Beijing, China wakiwa Rome, Italy(km 8100) wakitumia roboti

    China, marking the longest-distance remote robotic surgery on humans. The world's first transcontinental live telesurgery Huenda ikakushangaza na ukajiuliza wamewezaje? Huu ndio upasuaji wa kwanza kufanywa duniani madaktari wakiwa bara lingine na mgonjwa akiwa bara lingine. Huu ni mfumo wa...
  11. Tiger B

    Kuna jambo haliko sawa mwilini mwangu, lakini madaktari wanalichukulia poa

    Umuofia kwenu Wakuu. Ni zaidi ya wiki sasa mwili wangu ni dhaifudhaifu. Yaani balansi ya mwili haijakaa sawa, japo ninaweza kufanya mambo yangu bila tatizo. Nimepima vipimo zaidi ya 10 mpaka sasa. Miongoni ni full blood picture ambayo ilionesha kinga za mwili ziko chini, ie white blood cells...
  12. Doto12

    Mke wangu ana wiki 4 mwezi sasa tangu kujifungua, hatuna mpango kupata mtoto hivi karibuni

    Mada imejieleza wakuu. Mke shemji enu na WiFi wifu. Ana mtoto mwezi sasa ushauri wa madaktari naomba asizae tuseme asibebe mimba miaka minimum 2yrs itatakiwa. Kwa sasa anaonekana amesha pata ujauzito. Tulitumia p2 ikawa bado mwezi unayoyoma haoni period. Nilitumia p2. Je, atumie tena p2...
  13. UMUGHAKA

    Nina mashaka na elimu walizonazo Madaktari pamoja na Wataalamu wa lishe!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Nimekuwa nikiwasikia watu wanaojiita "Madaktari" pamoja na watu wanaojiita "Wataalamu wa lishe" wakizungumza au wakitoa ushauri wa namna ambavyo mtanzania anapaswa kula ili kuyakimbia magonjwa ya FIGO,INI pamoja na KANSA!. Wataalamu " Uchwara " hao...
  14. peno hasegawa

    Madaktari Bingwa wa Rais Samia ni akina nani?

    Kuna madaktari nimewasikia wako mtaani ,wanajulikana kama Madaktari Bingwa wa Rais Samia. Mwenye uelewa wa jambo hili tafadhali. Kuna kundi jingine wanajiita wezi wa mama Samia wako songea. Haya makundi ni ya kitaalamu au ni makundi ya kisiasa?
  15. L

    Madaktari Bingwa wa Rais Samia Waleta Tabasamu Na kuwabubujisha machozi ya Furaha Wagonjwa Mbalimbali Mikoani

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan alikuja na mpango kabambe na uliokonga na kugusa mioyo ya mamilioni ya watanzania wa kuwapatia tabasamu, furaha, kicheko na matumaini wagonjwa mbalimbali walioko mikoani .kwa...
  16. Mohamed Said

    Picha ya Dr. Bushiri Tamim Daily News Mgomo wa Madaktari

    DR. BUSHIRI TAMIM PICHA MBELE YA DAILY NEWS YUKO KAZINI MADAKTARI WENZAKE WAKO KATIKA MGOMO Nilikuwa nimefadhaika sana kwa kukosa picha ya Daily News ikimuonyesha Dr. Tamim akiwa kazini wakati madaktari wenzake wamo katika mgomo. Nilikusudia kuweka picha hii kwenye taazia yake na nilipoikosa...
  17. M

    Tabia ya Madaktari kutojuza chanzo na jinsi ya kujikinga magonjwa

    Kwanini asilimia kubwa ya madaktari siku hizi hawatoi taarifa za ndani kuhusu ugonjwa, kama jinsi ya kujikinga na Chanzo cha ugonjwa. Wamekuwa wakitoa dozi tu wakati mwingine hata tatizo hujuzwi vizuri
  18. R

    Msaada: Ng'ombe kuacha kutoa maziwa ghafla inatokana na nini? Nifanye nini arudi katika hali ya kawaida?

    Madaktari wa Mifugo: Ng'ombe amekata maziwa ghafla to zero level All of a sudden amekata maziwa. Mchungaji anasema uchangamfu aliokuwa nao umepungua. Inaweza kusababishwa na nini? And what is the remedy? Wakati alikuwa natoa lita 6 asubuhi na 5 jioni.
  19. Execute

    Serikali iajiri madaktari watano kwenye milioni kumi aliyokuwa analipwa Hayati Ali Hassan Mwinyi

    Ni jambo la uhakika kwamba sasa hivi serikali imepata ongezeko la takribani milioni 10 aliyokuwa analipwa hayati Mwinyi. Napendekeza waajiriwe madaktari watano ili kuhudumia wananchi kutokana na hospitali binafsi kugomea bima ya afya.
  20. Swahili AI

    Je, pombe aina hizi huua minyoo tumboni?

Back
Top Bottom