Habari,
Kama taifa ni vyema tukaishi kwa misimamo thabiti. Ni vizuri tukaanza kuwajibishana bila kuoneana aibu ili kuleta fundisho kwa vizazi vya sasa na vile vinavyokuja.
Napendekeza viongozi wafuatao washitakiwe haraka, maana wamelitia taifa hasara.
1. Waziri wa maliasili na katibu mkuu wa...
Rais Mohamed Abdullahi Mohamed amemuondolea Waziri Mkuu, Mohammed Hussein Roble, Madaraka ya kuajiri na kufukuza kazi Watumishi akidai Kiongozi huyo amekiuka Katiba.
Amesema kusitishwa kwa madaraka ya Waziri Mkuu kutaendelea hadi baada ya kumalizika Uchaguzi. Kitendo hicho kinaendelea...
Amesikika Samia Suluhu Hassan akisema hatuna rais mwanamke. Akiendelea kasema rais mwanamke tutamweka 2025.
Amesema huyu tunayemwona sasa kaingia kwa kudra za Mola tu.
Ni wazi kuwa mheshimiwa huyu kesha nogewa kama mwonja asali vile. Tamaa yake iko sasa kwenye kuendelea kuwa rais 2025. Hii...
Wadau nawasalimu wote Kila mmoja kwa imani na itikadi yake.
Baada ya salamu napenda kujikita katika kufafanua mada Kama kichwa Cha uzi kinavyojieleza.
Wote Ni mashahidi katika awamu ya tano tuliona jinsi vyombo vya Dola hasa tiss na polisi vilivyotumika kumlinda RAISI magufuli hasa...
Ni takribani miezi miwili na nusu tangu Bunge letu tukufu la Jamhuri ya Muungano liliopotisha Bajeti kuu ya Serikali ya mwaka 2021/2022 ambapo na mambo mengine lilipisha watendaji wa kata kulipwa posho za madaraka na Halmashauri na malipo hayo yakawekwa kwenye mabaadiliko (Ammendement) ya...
Naandika kwa uchungu na kwa hisia thread hii nikiwanyooshea kidole viongozi wa kisiasa kuuwa ndoto na vipaji vya vijana wanao taka kuibuka ktk siasa.
Hii sio sawa na haikubaliki moja ya sifa ya kiongozi bora ni yule anajuwa anatakiwa kuandaa kundi vijana kwa ajili yalushika nafasi nyeti za...
Kwa heshima kubwa Mheshimiwa Rais SSH nawasilisha kwako ombi maalum kwamba, kwa mamlaka uliyo nayo na kwa kutumia ofisi zilizopo kikatiba mwachie huru Ndg. Freeman Aikael Mbowe.
Hoja yangu naijenga katika misingi ya kuliponya Taifa na majeraha ya chuki na kutokuelewana.
Mhe. Rais nakariri...
"Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15"- @MsigwaGerson
#MsemajiWaSerikaliPress...
Rais wa zamani wa Zambia Edgar Lungu anatajwa kuwa miongoni mwa viongozi wa kiafrika waliopenda kuabudiwa , ilifikia hadi Mawaziri kumpigia Magoti .
Picha ya Chini akisindikizwa kuondoka Ikulu baada ya kukataliwa na wananchi kwenye sanduku la kura
Kwenye maisha ya kila siku tunapaswa...
Haya yanayozungumzwa juu ya ukosefu wa haki yanatia doa na dosari nchi yetu.
Jeshi la polisi limekuwa ni mtuhimiwa namba moja kwa ajili ya uonevu.
Ipo mifano hai huko barabarani jinsi rushwa ilivyotamalaki. Lakini pia kuna vituo km Oysterbay na Central DSM, kule wamejaza mali za watu kama...
Habarini wapendwa wadau wa jf.
Kiukweli kabasa chama Cha ccm kwa Sasa nchini mwetu kimegeuka kero na kinatia hasira Sana kwa maneno na matendo yao, chama hiki hakijali Tena haki za watanzania walioupande wa upinzani unafikiri Hawa si watanzania, hasa linapokuja swala la madaraka wanaona wao...
1. Kesi za kubumba kama vile ugaidi, uhaini, kukamatwa na madawa ya kulevya, uhujumu uchumi n.k.
2. Kufunga watu bila kesi zenye mashiko (detention without trial - kumbuka mashehe wa Zanzibar);
3. Makosa ya mtandaoni na faini kubwa kubwa. TCRA ni agent wao mkubwa wa ukandamizaji.
4. Kutangaza...
Nikiacha tamko la IGP kuwa tuwapuuze wale wanaopinga kuchanjwa Covid ambao Mh. Waziri wa Afya amewaita Vibwetere, Azim Dewji akiwashambulia kuwa wanaingilia fani zao na kwenda Mbali zaidi kwa UVCCM na baadhi ya wabunge kuwashambulia kwa maneno mbalimbali.
Sitaki kuwauliz hawa wote kuwa miaka ya...
Wasalaam
Bunge
Ili uwe mbunge lazima uwe mwanachama wa chama cha siasa,chama kina kupa dhamana,kama sivyo basi itokee utashi wa Raisi akuteue!!.. Mfumo wa Bunge letu na wabunge wenyewe ni tishio kama siyo kichekesho!!..hakuna sheria wanazotunga kwaajili ya serikali na wananchi na siyo...
Kila nikimtazama mambo yanayoendelea kwa mfano hili la kukataa katiba mpya wazi wazi tena bila sababu za msingi, ni wazi kabisa kua chama hakiko mbali kuondoka ni suala la muda tu.
Huwezi kukana mwongozo wa kitaifa ambao unajua kabisa moyoni mwako mazingira ya sasa yanaendani na mwongozo...
Ni aibu sana kusikia watu wanatuma salamu za eid wanajibiwa kwa matusi. Page za viongozi zimejaa matusi badala tutakiane baraka Kama Taifa.
Siku ya ibada takatifu Kama Leo ili viongozi wa kitaifa wawe wanaozungumza na wananchi na waumini kuwaeleza mipango ya kesho, kinyume chake hata wao...
Nadhani ipo nafasi ukitika katika utumishi unachobaki nacho ni kama binadamu mwenye imani kwamba Mungu yupo nikumshukuru Mungu nakuendelea kumtukuza kwa uhai na madaraka uliyopewa.
Ukipewa madaraka, ukapewa maarifa ya mema na mabaya, ukapewa maarifa ya kujua pumzi si mali itokayo kwa mwanadamu...
Ubora wa Katiba yetu ya mwaka 1977 na yaitwayo madaraka makubwa ya Rais.
Funzo kwa wenzetu nchi ya haiti na kumpunguzia rais wao madaraka.
Je, watungaji (constitutional framers) wa katiba ya 1977 ya JMT walikosea kumpa rais wetu madaraka makubwa?
Kufuatia mauaji ya rais wa nchi ya Haiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.