madaraka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Spika Ndugai anapoonya ulevi wa madaraka wakati yeye yako juu ya katiba unamchukuliaje?

    Binafsi huwa simuelewi
  2. Ritz

    Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

    Wanaukumbi, Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyetambua umuhimu wa Katiba Mpya; tunapishana sehemu ndogo sana ‘timing’ na vipaumbele vya kitaifa kwa sasa viwe ni 1. Katiba Mpya au kupambana na 2. Janga la Corona na 3. Kuinua Uchumi na hali za wananchi masikini? Sisi Watanzania tumechagua...
  3. Last emperor

    Enzi za Dkt. Bashiru kabla hajaonja ladha ya Madaraka

    Nawasalimia wana jukwaa la Great Thinkers! Kuna usemi unasema siku hizi ogopa Mungu na Technolojia. Hii imekuja kuwaumbua watu wengi sana ambao walisema mambo tofauti na mambo ambayo walikuja kuyaishi baadae. Dk. Bashiru Ally alikuwa muumini mkubwa sana wa katiba mpya na alipinga kwa nguvu...
  4. Melchizedek

    Lust for governance in Tanzania

    lust for governance in Tanzania 👉 CCM is known to give fake promises to it's citizens! It started on employment ! It was postponed but after some days other leaders came with ' vijana wajiajiri!' 👉 For this also many citizens will put thier faith, thinking she will have time for what she...
  5. Opportunity Cost

    Kumbukizi: Mwalimu Nyerere alituasa kutoyapa madaraka baadhi ya Makabila tukapuuza, Bila Shaka tumejifunza

    Moja kwa moja kwenye mada. Naomba nitoe angalizo kwamba hili sio bandiko la ukabila wala matusi bali ni kumbukizi aliyotuasa mwaliko hapo zamani za kale akiwa hai. Ndugu zangu hayati mwalimu Nyerere si tu alikuwa baba wa Taifa bali alibeba maoni ya mambo mengi,kwa mfano aliwahi nukuliwa...
  6. Erythrocyte

    Antony Mtaka awataka Ma - DC Wapya kuepuka balehe ya Madaraka

    Alitoa kauli hii kabambe mara tu baada ya kumaliza kuwaapisha wateule wapya kwenye nafasi ya Ukuu wa Wilaya Mkoani Dodoma. Bila shaka kauli hii kali ililenga kuwakumbusha Viongozi hao wapya wasitumie madaraka yao vibaya Chanzo : Mwananchi
  7. comte

    CHADEMA wananukuu kila kitu kutoka Ujerumani ambako habari ya kubadilishana madaraka ni nadra sana

    Kiongozi wa Ujerumani Angela Merkel amekuwa chancellor wa Ujerumani toka 2005 Jakaya Kikwete kamkuta kamuacha John Pombe Magufuli kamkuta kamuacha Samia Suluhu Hassan kamkuta Huko duniani kafanya kazi na:- Marais 4 wa Marekani, Mawaziri Wakuu 2 wa Canada, Mawaziri Wakuu 3 wa Japan, Marais 4 wa...
  8. beth

    Mali: Jeshi lawaachia Rais wa Mpito na Waziri Mkuu, wavuliwa madaraka

    Siku tatu baada ya kuwashikilia, Jeshi Nchini Mali limewaachia Rais wa Mpito, Bah Ndaw na Waziri Mkuu, Moctar Ouane huku likiwavua wadhifa walionao. Viongozi hao walishikiliwa muda mchache baada ya mabadiliko kufanywa Serikalini. Mzozo wa Kisiasa unalikumba Taifa hilo miezi tisa baada ya Jeshi...
  9. beth

    Mali: Makamu wa Rais wa mpito asema anashikilia madaraka. Adai Rais na Waziri Mkuu hawakumshirikisha katika kuunda Serikali mpya

    Makamu wa Rais wa Mpito Nchini Mali, Kanali Assimi Goita amesema amechukua madaraka baada ya Rais wa Mpito na Waziri Mkuu kushindwa kumshirikisha katika uundaji wa Serikali. Goita ambaye aliongoza Mapinduzi ya Kijeshi yaliyotokea Agosti 2020 amesema alielekeza kushikiliwa Viongozi hao baada ya...
  10. The Palm Tree

    Video: Hivi ndivyo aliyekuwa DC wa Hai, Ole Sabaya alivyotumia madaraka yake vibaya kuiba, kutesa na kuua. Kwanini asiende jela huyu...?

    Hawa ndiyo "vijana wa kazi"wa Mwendazake Magufuli... Waliitumikia LEO kwa kuvunja sheria na maadili ya Utumishi kwa kunyanyasa wanaowaongoza (wananchi) kwa sababu wana madaraka na kusahau kabisa kuwa kuna KESHO... Walitegemea KULINDWA NA MTU badala ya matendo yao ya HAKI.. Katika video hii...
  11. J

    Je, tatizo ni Biswalo Mganga au Sheria inayompa madaraka makubwa Mkurugenzi wa Mashtaka? Rugemalila mbona alimgomea?

    Tatizo hasa ni nini kwa sababu hata DPP Felleshi aliondolewa na sasa ni Jaji Kiongozi. Kimsingi sheria imempa madaraka makubwa DPP so hata DPP atakayekuja bado mtamlalamikia tu akiwa anatimiza majukumu yake kwa msingi wa sheria. Tunapaswa kutibu ugonjwa badala ya kutibu dalili. Ramadhan kareem!
  12. Miss Zomboko

    Mbunge: Matamko ya Kisiasa yanaharibu Elimu. Mtu mwenye Madaraka anaamka tu na kutoa tamko bila kusikiliza Wataalam

    Mbunge wa Viti Maalum, Tunza Malapo amesema elimu ya Tanzania inaathiriwa na matamko ya kisiasa. Tunza ameyasema hayo jana Jumatano Mei 5, 2021 wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2021/2022. Amesema kubadilisha mtaala...
  13. Nyankurungu2020

    Ninyi wanasiasa sio waaminifu kabisa mkipata madaraka mnawaza kufanya ufisadi,msipofanya mnajiona sio wajanja. Usikomae kuwaponda vijana

    Nimemsikia Spika Ndugai akidai kuwa vijana wengi wa kitanzania sio waaminifu, kwamba wakiajiriwa mahala popote lazima wamuibie muajiri wake hivyo asipokuwa makini lazima wamfirisi. Unachosema ni kweli lakini hii mentality ipo kwa kiasi kikubwa hata kwa wanasiasa. Wanasiasa wengi mpo kwa ajili...
  14. MALCOM LUMUMBA

    Shajara ya Madikteta

    UTANGULIZI Nawasalimu katika Jina la Bwana Yesu na Asalaam Aleykum ndugu watanzania wenzangu, Katika kusoma kwangu historia ya ulimwengu toka nikiwa kijana mdogo mpaka hii leo, nimetambua kwamba madikteta wote duniani huwa wanafanana: Awe katokea Ulaya, Asia, Amerika Kusini au Afrika wote huwa...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Kigogo2014 lazima awe mtu wa maana

    KIGOGO HUWEZA KUWA MTU YEYOTE WA MAANA Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Leo katika pitapita zangu mtandaoni niliona Tangazo linalotoa fursa kwa yeyote atakayewezesha kupatikana kwa mtu ajiitaye Kigogo2014 au Kigogo Kigogo basi angepatiwa donge nono. Kufikia hapo macho yakanitoka, si unajua tena...
  16. B

    Wana CCM wenzangu tukiendelea kuwa na kiburi cha uzima na madaraka Taifa litapasuka vipande

    Wengi wetu niwaumini wa dini mbalimbali na tumefikia hatua kila jambo baya au zuri tunamtaja Mwenyenzi Mungu, nipongeze kwa ilo. Lakini ni ukweli usiopingika kwamba tunamkosea sana Mwenyenzi Mungu na tunaweza tukawa tunamkasirisha sana kwa matendo tunayoyafanya hasa kwakuyafanya maisha yetu...
  17. The unpaid Seller

    Tutendeane wema, tuwe watu wa haki, tusidhulumu na kutumia madaraka vibaya

    Tuishi kwa wema maana dunia tunapita. Tuache unafiki tuwe wakweli tudumishe upendo na utu tuwe watu wa haki, tuache kiburi, ubabe, ulevi wa madaraka na kujikweza maana duniani tunapita. wengi walionewa waziwazi na aliejiona Mungu mtu akajiita kiongozi wa malaika na wengine wakamshangilia katika...
  18. MK254

    Watanzania siku mtapokezana madaraka baina ya vyama ndio mje mtutambie

    Watanzania naona mnafungua nyuzi nyingi nyingi za kututambia namna kwenu huko mna desturi ya kupokezana madaraka bila ugomvi, hiyo poa na hongera pia, ila bado sana maana siku mtapokezana uongozi baina ya vyama (kama sisi Kenya) ndio siku mje mtutambie kuhusu demokrasia. Kwenu huko chama kimoja...
  19. B

    DPP Biswalo Mganga umewatesa watu wengi kwa kiburi cha madaraka!

    Huyu kijana amebeba kilio Cha familia nyingi nchini, amewatesa watu kwakuwabambikia kesi huku akikusanya pesa za watu kwa mgongo wa uhujumu uchumi. Ofisi yake imeoza kwa kukosa hofu ya Mungu nakujitwalia roho ya kikatili, niombe ifike mahali watu wa aina hii wasipewe nafasi nyeti hivi. Haki...
Back
Top Bottom