MADARAKA NI KOTI
Madaraka ni koti ambalo mtu hulivaa au kuvalishwa na watu wakati fulani na koti hili haliwezi kudumu mwilini kwa aliyepewa madaraka hayo.
Mathalani huwezi kuoga huku umevaa koti, huwezi kulala na koti na kama una akili timamu huwezi kukaa kwenye jua kali huku umevaa koti...