madaraka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mabutu1835

    Tishio la walio na madaraka

    Hivi ni vitu vitatu vinavyotafuna viongozi wote duniani katika ngazi na maeneo mbalimbali. Vitu hivyo ni: 1: MAMLAKA: Viongozi wengi wanashindwa kutumia vyema nguvu na uhalali wa kuamrisha au kuagiza kutokana na nafasi walizo nazo kiasi cha kutumia isivyo sawa. Mfano mzuri utaona pale ambapo...
  2. chiembe

    Makonda, ukimalizana na GSM, kaisambaratishe kampuni ya WASAFI ya Diamond, ulikuwa mlezi wao, ulipokosa madaraka wakakufukuza

    Makonda alikuwa mlezi wa kampuni ya wasafi inayomilikiwa na mwanamuziki Diamond. Mara kadhaa alisikika akimkemea Harmonise asivute misokoto yake. Lakini tangu aukose ukuu wa Mkoa, Wasafi waliona kama wametua zigo la misumari, wakampiga chini. Nashauri Makonda asiwaache salama kwenye orodha yake...
  3. Kaka yake shetani

    Movie ya The Beekeeper ni dongo kwa viongozi wakubwa ambao utumia wanao au watu kujitafutia pesa haramu kwa ajili madaraka yao

    movie ambayo inamuonesha jason mzee wa ngumi za kutosha ambaye ni mtandao wa siri wasio julikana ndani ya serikali nyingi duniani. tuje kwenye mada: kiufupi ukiangalia hii movie iliyotoka 2024 unaoneshwa makampuni ambayo yapo nyuma ya vigogo kama za mikopo umiza,utapeli kwenye mitandao na n.k...
  4. R

    Wana CCM wanakerwa na Makonda ila wanataka madaraka; wamebaki kukimbizwa na misafara watoto wasikose ada

    Kanda ya Ziwa wanapiga kelele kuhusu Makonda na namna anavyolazimisha kila mtu atii na kuongozana naye kwenye misafara. Pamoja na elimu za viongozi wakiwemo wakuu wa mikoa na wilaya bado wamekuwa wakipeleka magari yao kwenye msafara kumpokea, kusimama jukwaa wapopolewe kisha wasindikize avuke...
  5. L

    Pre GE2025 CHADEMA wana uchu na Uroho wa madaraka ndiyo maana hawafanikiwi

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA ni watu wenye uroho na uchu mkubwa sana wa madaraka.ndio maana kwa kila jambo linalojitokeza mbele yao wao huangalia ni vipi watapata na kufaidika zaidi na kupata madaraka kiwepesi. kuliko kuangalia ni vipi wananchi watapata faida na kunufaika.ndio sababu huwezi...
  6. K

    SGR, JNHPP, daraja la Busisi na ndege 13 ni Matumizi mabaya ya madaraka ya Hayati Magufuli. Rais Samia achana navyo

    Mama Samia hongera kwa kazi nzuri. Kwa hayo niliyotaja hapo juu yalifanywa na Magufuli bila kutushirikisha private sector. Nakuomba ubinafsishe Kwa private sector ili Selikari ikusanye mapato na kulipana posho nzuri huku tukihakikisha wananchi wa vijijini wenye nyumba za ovyo wanalipia pango la...
  7. Mto Songwe

    CCM imeshindwa kutuendeleza. Ninyi mkitwaa madaraka mtafanya nini?

    Huu ni mtihani rasmi wa uongozi wa umma humu JF. Sote tuna kubaliana kuwa chama cha mapinduzi (CCM ) kimeshindwa kutuendeleza mahali kama Taifa tulipaswa kuwa. Sasa mtihani wa umma unaliza. • Wewe, chama chako au kikundi chako kinachosema CCM imeshindwa kutuendeleza pindi ukitwaa madaraka...
  8. Hismastersvoice

    Uroho wa madaraka wa CCM utaleta janga kwa taifa kwani unaunda kikosi cha wapiganaji wa dharura (RAPID FORCE)

    Jana Jumamosi nilikuwa Kigamboni ambako kulikuwa na tamasha la Kigambono Tamu tamasha ambalo lilirushwa hewani na Wasafi Tv tangu asubuhi mpaka jioni. Nilichojionea kwenye tamasha hilo ni uwepo wa mamia ya vijana wasichana kwa wavulana kumlinda mama Samia, kuna kikundi cha Ukimvaa Samia nasi...
  9. sky soldier

    Wabunge nchini Marekani wamepiga kura za kumwondoa Rais Biden madarakani kwa tuhuma za Rushwa na matumizi mabaya ya madaraka kuitajirisha familia yake

    Wabunge nchini Marekani wamepiga kura kukosa imani na Rais wao Joe Biden kwa malalamiko ya kwamba Rais anatumia madaraka yake kula rushwa, kutakatisha fedha na familia yake kuwa na utajiri wa mabilioni huku vyanzo vikitiliwa mashaka. Matokeo ya kura, Wabunge 221 wameunga mkono, wabunge 214...
  10. R

    Kama familia ya Sabaya imerejeshewa madaraka basi dhulma inalipa mapema kuliko haki

    Tuliona danadana mahakamani siku siyo nyingi mara tukaambiwa ameshinda kesi. Wakati tunatafakari mara paap mzazi wa mtuhumiwa ni Mwenyekiti wa chama mkoa. Funzo kubwa tunalopata hapa nikuwatesa wasiojitambua hadi wajitambue kwa sababu ni wajibu wao kujua mema na mabaya. Hii siyo Ishara nzuri...
  11. BARD AI

    Prof. Tibaijuka: Mimi nilikataa Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi kujengwa Jangwani, Sikuwa na Madaraka ya Kuzuia

    Prof. Anna Tibaijuka amesema wakati akiwa Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, hakutoa Kibali cha Ujenzi wa Kituo cha Mabasi Yaendayo Kasi katika eneo hilo lakini ulifanyika kwa maamuzi yasiyo sahihi Tibaijuka amesema "Jangwani haina kibali changu kuwa pale. Mimi nilikataa...
  12. Chachu Ombara

    Zitto: Wanachama ACT Wazalendo wanataka kubadili katiba ya chama ili niendelee kuongoza. Nimewaambia naheshimu katiba

    "Sisi katiba yetu ipo wazi ina vipindi viwili na mimi ni muumini wa katiba na ukatiba kwahiyo nimeamua kuheshimu katiba, kumekuwa na shinikizo ndani ya chama kuwa tubadilishe katiba ili uweze kuendelea nimekataa kwasababu nisipo heshimu katiba naweka precedent mbaya kwa watu wengine watakao kuja...
  13. BARD AI

    Dar: Mtumishi wa Wizara ya Ardhi akutwa na hatia ya Matumizi mabaya ya Madaraka na Kughushi Nyaraka

    Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemkuta na hatia ya Matumizi Mabaya ya Madaraka pamoja na Kughushi Nyaraka, mtumishi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi aliyetambulishwa kwa majina ya Melchiory Rutayuga Mukandala. Keshi hiyo iliyowasiliswa na Jamhuri kupitia Taasisi ya Kuzuia na...
  14. Beberu

    Changamoto ya Palestina, Ugaidi duniani, sio issue ya Dini ya kiislam, bali uroho wa madaraka

    Wakuu katika nchi, Kuna hii issue ya HAMAS, na ugaidi duniani kote kupitia kwa vikundi mbalimbali, Kwa juu inaonekana hii issue chanzo chake ni dini ya uislam na waislam wanapenda hizo mambo, Lakini deep down ukifuatilia utakuja jua kuwa chanzo cha vikundi vyote vya ugaidi ni uroho wa madaraka...
  15. SHANTI

    KERO Waziri Mkenda umechemka, acha kutumia vibaya cheo chako kwa nidhamu ya woga

    Nimefuatilia maamuzi ya waziri Mkenda kwa wakuu wa shule na walimu waliohusika kwenye kucheza wimbo wa zuchu Binafsi naona maamuzi ya Waziri Mkenda ni ya kukurupuka na hofu ya kutenguliwa nyadhifa yake. : 1. Maadili ya mtoto yaanzia nyumbani, Hawa watoto huu wimbo wamjifunza makwao kupitia...
  16. Mhafidhina07

    Afrika akili za washika madaraka remoti ipo Ulaya

    Viongozi wa afrika kuwa wajinga sijui sababu ni akili ndogo,uvivu wa kufikiri au ubinafsi inafika wakati unashangaa umetawalia miongo kadhaa alafu anayekutawala bado anakuchongea ya kupita stil they are obeying order. Hatuna hata uthubutu wala utajiri hata kwenye lugha yetu licha kupata...
  17. Mto Songwe

    Watanzania wengi ni madikteta wasiokuwa na madaraka

    CCM kama navyo kitambua ni chama cha kidikteta kinacho ongoza nchi ya Tanzania. CCM imejifunua kuwa chama cha kidikteta kwa kipindi kirefu bila uficho wowote kwa maneno na matendo. Ila kuna kundi kubwa lililo saulika la Watanzania walio kinyume na CCM kiitikadi. Hili kundi kubwa la Watanzania...
  18. Lanlady

    Naomba kufahamu umuhimu wa ukasimishaji wa madaraka kiongozi wa nchi anapokuwa nje ya ofisi!

  19. Erythrocyte

    Jerry Slaa aanza kulewa madaraka , adai watakaoshindwa kutatua migogoro ya ardhi atawatatua wao

    Ndio kama tulivyosema hapo awali kwamba , usimpe mtu cheo kutokana na uchawa wake , ni vema ukiangalia rekodi yake . Aliyeshindwa Umeya unampaje Wizara ? Hata wiki haijaisha , kishaanza kashfa na matusi !
  20. R

    Africa bado sana mwanamke kushika madaraka makubwa kama ya Urais

    Tunaona mfano mzuri kwa wanawake walioshika nafasi hiyo , they could not deliver to anybody's expectation! Tulitegemea wangelifanya vema zaidi kuliko wanaume, maana wameshajua udhaifu mkubwa wanaume na hivyo wangelijitahidi kuonesha uwezo! Kumbe bado kabisa. HILI LA SAMIA KUMVUA SLAA HADHI YA...
Back
Top Bottom