Kuna watu huwa wananishangaza kuwafananisha hawa viongozi wawili. Wanachofanana ni kitu kimoja tu, uroho wa madaraka. Huu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hakuna agenda nyingine bali uroho wa madaraka, lengo likiwa kutawala nchi mbili. Tukija kwenye ishu ya kupiga marufuku uchifu hakuna...
KUHAMA KWA HIYARI NGORONGORO NI PIGO KWA WASIOITAKIA HERI SERIKALI, WENYE UCHU WA MADARAKA
Tuhuma za kuunga unga zasambazwa kila kona kuichafua serikali, watendaji wake
Mitandao ya kijamii yatumika kusambaza uwongo
Watumishi wa NCAA wasio waaminifu watumia UDINI, UKABILA Kuhamasisha chuki dhidi...
Wakuu habari,
Miongoni mwa propaganda iliyopitwa na wakati lakini bado inatumiwa sana na wana CCM ni hii, kwamba upinzani ukichukua nchi utaleta machafuko.
Huwa najiuliza upinzani una nguvu sana na CCM wanalijua hilo ndio maana hutumia mbinu chafu dhidi ya upinzani Ili kujibakisha madarakani...
Siku Daktari wa Sheria na Spika wa bunge Mhe.Tulia aliposema CCM haitoacha dola kamwe , kwa mara ya kwanza nilishtuka lakini baada ya kujiridhisha na hotuba nzima, nakiri kusema nukuu ya kipande hicho kinatumika kupotosha.
Siku zote natumia kanuni ya Thomaso, kujiridhisha kwa kuona na baada ya...
Niende moja kwa moja.
Leo nikiwa ofisini na kiongozi wa kitengo chetu. Mkuu huyu wa kitengo katika uliza uliza yake alinighadhabisha sana.
Swali likanijia mamlaka za uteuzi kwamba wanawapa wapi mamlaka ya kuwaweka ukuu wa section watu wanaoshindwa kuwa na chembe ya hekma?
Kwanini nawaza...
Baraza la Waislamu BAKWATA lilikaa jana chini ya Mufti Zubery limfuta kazi Shekhe Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Alhaji Mussa Salumu kutokana na mienendo isiyofaa aliyoionesha tangu siku za nyuma na kufuatia kulumbana na baraza la Maulamaa kuhusu talaka ya mke wa Dk Juma Mwaka.
Juzi vyombo vya...
Nakumbuka humu JF hakukukalika, tuliambiwa huyu ndiye pasua kichwa, ndiye mwenye misifa yote ya kulipua mabomu hata uraiani, maana ameua watu wa Syria sana kule, akategemewa kuwaua raia wa Ukraine, na kweli kaanzisha kampeni kali ya kupelekea mizinga uraiani, akasifiwa sana humu......
Hatimaye...
Kama wengi mlivyofuatilia leo Januari 3, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) alifanya mkutano na viongozi na wawakilishi wa vyama mbalimbali vya siasa nchini Tanzania. Pamoja na hoja mbalimbali alizozungumza mojawapo ni kuondoa zuio...
KUTOKANA na Hali mbaya ya uchumi, pamoja na serikali kumiliki deni la Taifa la Trilion 91, Serikali imemshinda kuwalipa Posho za madaraka ya walimu wakuu,wakuu washule,vyuo,na maafisa elimu kata pamoja na ruzuku za shule Kwa kipindi cha Mwezi Novemba na Decemba 2022.
Hali hii imekwenda mbali...
Akitoa salamu zake wakati wa kusherekea Sikukuu ya Krisimasi amesema hali hiyo ndiyo inachafua Dunia, kicha ya kutotaja kwa majina lakini inaaminika alikuwa akizungumia vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine.
"Matukio ya vita ni mengi, waathirika wakubwa ni wanyonge na walio katika...
Dhana ya mgawanyo wa madaraka inaeleza kuwa utawala wa dola unapaswa kugawanywa katika vyombo vitatu ambavyo ni Serikali, Bunge na Mahakama. Kila chombo kina majukumu tofauti na chombo kingine.
Kwa mujibu wa dhana hii, mamlaka ya Serikali ni utendaji; mamlaka ya Bunge ni kutunga sheria na...
1.Summary
Katika ngazi ya wilaya, kuna viongozi wanne wazito. Mkuu wa wilaya, mkurugenzi na mwenyekiti wa halmashauri na Mbunge. Na mara nyingi Kumekuwa na Mikanganyiko ya kutofautisha nafasi hizi na umuhimu wa kila mmoja katika nafasi yake.
Daima swali linakuwa ni nani kati yao mwenye...
Kumekuwa na haka kamsemo ka kizembe kuwa lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka. Huu ni upotoshaji. kwanza chama cha siasa ni kitu gani? chama cha siasa ni umoja wa watu wenye mawazo(Sera) zinazofanana juu ya kuendesha nchi. Mwanachama wa chama cha siasa lengo lake kuu ni kuona sera...
Rais Samia: Watanzania tumezoea bure, kila kitu bure, kila kitu beiwauree, hakuna hiyo sasa. Tulipeni ili miradi tuweze kuitunza. Sawa ndugu zangu!
Pia Rais Samia ameongelea miradi ambapo amesema katika miaka miwili aliyokabidhiwa madaraka hakuna mradi uliosimama ambapo mengine imezinduliwa na...
Kafikia stage kusema watanzania wanapenda vya bure
Anikumbushe toka nyerere ameachia madaraka ni lini Tanzania Kuna kitu chochote Cha bure?
Elimu yenyewe hiyo mnayosema ya bure Kuna ndugu yangu mwaka huu katoa michango ya zaidi ya laki 2 mtoto wake aliyekuwa anaanza shule ya kata tena vijijini...
Mijadala mingi katika mitandao yetu ya kijamii inajikita katika kulinda madaraka ya baadhi ya watu.
Mwananchi wa kawaida anakosa majibu ya maswali anayokutana nayo kila siku.
Huyu ana mfukuza yule na yule ana msema yule katika tu kulinda madaraka au kuyapigania.
Maswala kama maji, umeme...
The power Game, Anaeweza kushika madaraka ndie yupo juu zaidi, Mfano kwa Nigeria kanda ya kaskazini wapo nyuma kielimu na kibiashara lakini linapokuja suala la Power wao ndio wameikamta na kuweza kuitumia kuwa juu ya kanda ya kusini mashariki walioshika biashara za nchi na kanda ya kusini...
humu kwenye hili jukwaa ukiweka uzi unaoelezea mazuri ya ccm,hata nusu saa haukai unaondolewa.! watu wamesahau kwamba ccm ni chama cha siasa kama vingine ila ndicho kimeshika dola.wivu wa madaraka unawafanya wapenzi wa ccm waonekane hawana haki ya kutoa maoni yao ! nyuzi zote zipewe haki sawa...
Maoni ya kikosi kazi, kilichokuwa kikiongozwa na Profesa Mkandala, kimewasilisha rasmi maoni yake kwa Rais Samia, iliyoyakusanya kutoka kwenye makundi mbalimbali ya wananchi.
Hata hivyo nimeshangazwa Sana na kauli iliyotolewa na Rais Samia baada ya kuyapokea maoni hayo, kuwa maoni hayo ya...
Wanazengo
Umofia kwenu.
Katika muhula wa awamu mbili zilizopita tulishuhudia wimbi la wanasiasa kambi ya upinzani hasa wawakilishi Bungeni wakihamia CCM kwa wingi. Yalisemwa mengi yakiwemo ya wapinzani kununuliwa na hata wengine kuda wananusuru maisha yao na familia zao kwa kuhamia CCM.
Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.