Mtafaruku wa kimahusiano kati ya muigizaji mashuhuri wa Bongo Movie, Chanuo Nchakali, na aliyekuwa mpenzi wake wa hivi karibuni, mwimbaji YJ bado waendelea.
Chanzo cha sintofahamu hii kilianza baada ya YJ kuandika barua ya wazi kwenye mtandao wa Instagram kwenda kwa baba watoto wa Chanuo...