madereva bajaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Video ndefu ya kilichotokea Oktoba 21, 2026 kati ya Mbunge na Madereva Bajaji wa Mbeya waliofanya mgomo

  2. JamiiForums Tanzania Madereva na wamiliki wa Bajaj - Mbeya wasusia mkutano wa Mwenyekiti wao, wamwaga chakula

    Madereva Bajaji na wamiliki wa Bajaj Jiji la Mbeya wamesusia mkutano ulioitishwa na Mwenyekiti wao ndugu Lucas Mwakyusa kufuatia madai yao ya ukiukwaji wa katiba ya Chama cha Madereva Bajaj katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya pamoja na kudai hati miliki ya nyumba eneo la Ofisi za Bajaj Mbeya...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi wakusanya madereva bajaji Iringa kuwakumbusha kuhusu "amani"

    Wakuu Mahubiri ya amani yanaendelea nchini. Nimeona huko Iringa madereva bajaji wamekusanywa na Polisi na kuanza kupewa mawaidha kuhusu umuhimu wa amani Binafsi sijawahi kuona such stress kwenye amani nchini kama kipindi hiki, kwani kuna nini? =========================================...
  4. JamiiForums Tanzania Samia Mtaani Kwetu Kuwajengea Uwezo Madereva Bajaji Ili Wazitumie Fursa Zinazowahusu

    Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa, Komredi Debora Joseph Tluway Tarehe 28/12/2024 alikutana na madereva bajaji walioko Wilaya ya Mpanda ili kutekeleza dhima ya Program ya "SAMIA MTAANI KWETU" yenye lengo la kukutana na makundi yote ndani ya jamii yetu kwaajili ya kujenga Umoja...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Huyu Afisa anaichafua LATRA-Morogoro, anachukua fedha za stika na faini za Madereva Bajaji na kuanza kuwatisha

    Kuna Afisa mmoja wa LATRA Morogoro anafahamika kwa jina la Fadhili, huyu mtu ni hatari sana kwa Vijana wanaoendesha Bajaji, anatutesa sana sisi Vijana na kinachouma zaidi ni kuwa inavyoonekana Wakubwa wake wa kazi wanajua michezo yake lakini nao wapo kimya. Afisa huyu ana mtindo wa kulazimisha...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mchengerwa, leo hii bodaboda wamekuwa “Maafisa Usafirishaji”?

    Waziri Mchengerwa akiwa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salam, wakati akizindua sare maalum (uniform) na mfumo wa kidijitali (kanzidata) wa madereva Bodaboda na bajaji wa Jiji la Dar es Salaam. Waziri huyo ameonekana kuwatambua madereva bodaboda na bajaji kama Maafisa usafirishaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…