madhara

Abu Ali al-Husayn ibn Ahmad al-Madhara'i, also known as Abu Zunbur ("the hornets' man"), was a member of the bureaucratic al-Madhara'i dynasty of fiscal officials, and served as director of finances of Egypt and Syria for the Abbasid Caliphate in the first decades of the 10th century.

View More On Wikipedia.org
  1. ndege JOHN

    Cream za hair removal zina madhara gani?

    Sijawahi kutumia hizo makitu sasa nashawishika nijaribu so Ningependa kujua kama hizo cream za kuondoa nywele za makwapani, ndevu ama sehemu za siri sina side effects yoyote?
  2. Mjanja M1

    Kuna madhara kufanya kufanya mapenzi kila siku?

    Binadamu tumetofautiana, kuna watu wanapenda kuangalia mpira na kuna wengine wanapenda kufanya mapenzi. Swali, Kuna madhara yoyote anapata mtu akiwa anafanya mapenzi kilasiku?
  3. Nigrastratatract nerve

    Reaction za mtu mkimya zina madhara sana tofautisha mtu mkimya na mpole, kuna jambo gumu na zito litatokea muda si mrefu stay tuned kuna upande utalia

    Ogopa Sana kuishi na mtu mkimya asiye na maneno mengi watu wa aina hii huwa ni wavumilivu Sana na pia huwa na mioyo ya upendo lakini huwa hawapendi dharau Watu hawa wakigundua una wadharau kitakachokuokoa usiwadhalilishe hadharani ila wakigundua kwamba unawadhalilisha hadharani na wakianza...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Madhara ya kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na Golikipa ni haya!

    MADHARA YA KUOA MWANAMKE AMBAYE HAJASOMA NA GOLIKIPA NI HAYA! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nimeona kuna vijana hapa wanadanganyana na kuwa na mawazo ya kizamani. Ati wao wataoa wanawake wenye elimu duni na wasiofanya kazi isipokuwa kazi za nyumbani (golikipa). Sasa kwa ninyi mliofanya...
  5. Mjanja M1

    Uchawa ukizidi sana ndio madhara yake haya

    Rais wetu mpendwa anatoa wapi hela za kusomesha watu wa nchi hii? Naamini Rais anachukizwa na hizi sifa mnazombebesha kila uchwao. UCHAWA UKIZIDI SANA NI AIBU!
  6. J

    LGE2024 Uchaguzi serikali za mitaa ufanyike 2026. Je, kuna madhara yoyote?

    Je, haiwezekani kuahirisha uchaguzi wa serikali za mitaa mpaka 2026? Hii itawezesha uchaguzi huo kusimamiwa na Tume Mpya Huru ya Uchaguzi badala ya Tamisemi. Nadhani Watanganyika tusiwaige Wazanzibari kufanya chaguzi zote kwa wakati mmoja. Nchi yetu ni kubwa sana ukilinganisha na Zanzibar.
  7. GENTAMYCINE

    Hivi tunajua Madhara ya Kuwahusisha Watoto katika Siasa mbovu za CCM na Chipukizi Taifa yake?

    Mnaacha Kuwahimiza Watoto wenu wajikite na Masomo ( Taaluma ) ili waje kuwa Msaada kwa Taifa nyie mko busy Kuwapigania waanze kuwa Viongozi huko CCM Chipukizi kama mlivyo nyie Wazazi wao Serikalini. Na kuna Mtoto Mmoja nae nimemwona ameshaanza kuwa Tapeli na Muongo Muongo kama alivyo Baba yake...
  8. B

    Kinywaji gani chenye kilevi lakini madhara yake si makubwa hapa Tanzania?

    Asilimia kubwa ya vitu vingi tunavyovitumia inasemekana vina madhara.Nasikia hadi soda eti zina madhara pengine kuliko hata baadhi ya pombe. Kwa lengo la kuwasaidia watanzania wenzetu,pombe ipi angalao madhara yake ni kidogo kuliko zingine? Je ni spirit,lager,light,red wine au ni ipi?Siyo...
  9. B

    Kinywaji gani chenye kilevi lakini madhara yake si makubwa hapa Tanzania?

    Asilimia kubwa ya vitu vingi tunavyovitumia inasemekana vina madhara.Nasikia hadi soda eti zina madhara pengine kuliko hata baadhi ya pombe.Kwa lengo la kuwasaidia watanzania wenzetu,pombe ipi angalao madhara yake ni kidogo kuliko zingine?Je ni spirit,lager,light,red wine au ni ipi?Siyo lazima...
  10. Wizara ya Afya Tanzania

    Ujue Ugonjwa wa Malaria: Dalili, Madhara, Kinga, Tiba, Malaria kwa Wajawazito na Mpango wa Serikali katika kuzuia Malaria

    Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vinavyojulikana kama 'Plasmodium' ambavyo huenezwa na mbu jike aina ya Anofelesi. Ugonjwa wa Malaria huenea kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine pale mbu mwenye vimelea vya malaria anapomuuma mtu mwingine na kuacha vimelea mwilini mwake. DALILI...
  11. Mkongwe Mzoefu

    CCM mmetuaibisha Katesh kwa kutumia vifo na madhara yetu kama mtaji wa siasa

    Mimi na wenzangu raia wa Mkoa wa Manyara hakika mmetuaibisha sana sisi wakazi wa Kateshi kwa kutumia shida na machungu yetu kama mtaji wenu CCM katika harakati zenu za siasa kuelekea uchaguzi wa mitaa 2024 na ule mkuu 2025. Nini hasa kimepelekea nyie mjivishe jukumu la nani aje atupe pole na...
  12. BARD AI

    Serikali yapiga marufuku Askari wa Usalama Barabarani kutembea na Silaha za Moto ili kuepusha madhara kwa raia

    Zuio hilo limewekwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Japhet Koome baaada ya kuwepo kwa ongezeko la Malalamiko ya Wananchi kuwa baadhi ya Askari wa Barabarani wamekuwa wakitumia vibaya silaha zao ikiwemo kushambulia raia hata wasioweza kusababisha madhara. Uamuzi huo pia umechangiwa na kauli ya...
  13. benzemah

    Kikwete aonya Serikali kupuuza ushauri. Ataja madhara yake

    Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema Serikali ikikosa ushauri mzuri ama ikipuuza nchi itakwenda pasipostahili. Kikwete ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Novemba 22, 2023 alipokuwa akielezea umuhimu wa makongamano na mikutano katika kuishauri Serikali na Rais, kwenye mkutano wa nne wa...
  14. P

    Picha: Tupatie update ya eneo lako husika- El nino 2023/2024

    Wakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa. Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi hiki chote cha mvua. Mzazi, kama mtoto wako anasoma mbali na miundombinu ni mibovu ni bora...
  15. A

    Madhara ya matumizi ya super black kwenye nywele

    Matumizi ya super black dyes kwa ajili ya kupendezesha nywele yamekuwa maarufu sana hivi Sasa kwa Jinsi na Rika zote. Kwa ufupi yafuatayo ni madhara ya kutumia dye hizi ambayo ni vema tukafafahamu:- 1) Hupunguza uimara wa nywele na kufanya nywele kuwa laini zaidi. 2) Hupunguza uwezo wa nywele...
  16. Msanii

    Tume ya Haki za Binadamu na Bunge wachunguze tukio la wanajeshi kupiga raia Kawe. Madhara yapo

    Kupitia upashanaji habari wa sisi wananchi, tumegundua kuna ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu uliofanywa na JWTZ Kambi ya Lugalo dhidi ya raia. Siyo siri, tukio la kuuawa kwa Luteni Kanali limeacha pigo kubwa kwa familia yake, wanajeshi wenzake na serikali kupoteza asset yake muhimu. Ukweli...
  17. GENTAMYCINE

    Msaada wenu wa Kitaalam (Kisayansi) na ule wa Kiutamaduni (Kienyeji) wa namna ya kuondoa nyuki

    Msaada unawezaje Kuondoa Nyuki kwa njia ya Kitaalam au ya Kienyeji walioko Nyumbani Kwako na wasio na Madhara? Nitaushukuru.
  18. Heparin

    KWELI Chips ni chakula kisicho na faida kubwa kwa afya ya binadamu pia ni chanzo cha Magonjwa

    Chips ni chakula kinachotengenezwa kutoka kwenye viazi. Chakula hiki kimekuwa kinahusishwa na matatizo mengi ya kiafya ikiwemo magonjwa ya moyo. Wataalam, tusaidieni ni kipi hasa kinachofanya chips iwe mbaya kiasi cha kuhusishwa na mambo mabaya.
  19. Hakuna anayejali

    Kuna madhara gani kutumia mafuta yaliyopita muda wake?

    Haya mafuta yapo mengi madukani yameexpai, chukueni hatua wahusika.
  20. Rick16

    Je Mfumo wa Gesi una madhara gani kwenye gari?

    Habari wakuu. Kumekua na ongezeko la watumiaji wa system ya gas kwenye magari nchini... hofu yangu ni hamna elimu yoyote inayotolewa kuhusu matumizi ya nishati hiyo japo kua ni nishati cheap sana ukilinganisha na mafuta. Je, nishati hii haiwezi kua hatari kwa usalama wa chombo au hata uhai?
Back
Top Bottom