Abu Ali al-Husayn ibn Ahmad al-Madhara'i, also known as Abu Zunbur ("the hornets' man"), was a member of the bureaucratic al-Madhara'i dynasty of fiscal officials, and served as director of finances of Egypt and Syria for the Abbasid Caliphate in the first decades of the 10th century.
Baada ya watu kutoka lockdown iliyoshababishwa na corona kulipelekea watu kuwa na hela nyingi huku uzalishaji production ikiwa chini kilichotokea ni inflation kuwa juu karibia nchi zote dunia
Marekani kama taifa lenye uchumi mkubwa waliamua kupambana na inflation kwa kupandisha interest rate...
#SheriaZetu
Kwa mujibu wa Sheria ya Daawa "Law of Torts" - Mmiliki yoyote wa jengo huwajibika kwa kushitakiwa
na kulipa fidia kwa madhara yoyote yanayoweza kuwapata watumiaji wa jengo husika ikiwa
watapata madhara yanayotokana na hitilafu yoyote wakiwa ndani ya jengo husika
Samahani Mimi binafsi naamini hii idea ya chadema ni nzuri katika kukimbiza maendeleo ya Tanzania.
Japo wanaccm ni kama wanaipinga Kwa nguvu sana .
Embu naomba tujadiri Kwa kina faida na madhara aina hii ya utawala
Jamani, mimi binafsi naanza kuafiki idea ya chadema ya utawala wa kimajimbo.
Inaweza kuforce maendeleo Kwa kasi sana kulingana na ukubwa wa inchi yetu.
Lakini nimekutana na pingamizi, hacha wanaccm hawaafikiani na utawala huu.
Please tujadili faida na madhara yake humu.
NAWASILISHA.
Taharuki yaibuka mkoani Arusha baada ya mwanamke mmoja Ester ambae ni mzaliwa wa Singida, Baada ya kuvimba na kuoza kwa kwa vidole vyake vya mkononi kudai kwamba sababu ya tatizo lake hilo baada ya kuchomwa sindano ya U.T.I katika moja ya duka la madawa (pharmacy) linalopatikana mkoani hapo...
Mitandao ya kijamii imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya watu. Inawapa nafasi ya kuwasiliana, kusalimiana na kutengeneza uhusiano wapya. Ingawa ina faida nyingi, mitandao ya kijamii ina madhara kadhaa kwa afya ya akili ya watumiaji wake. Hapa chini ni baadhi ya madhara hayo.
Kuathiri kujiamini...
Kati ya wadada 10 wenye umri zaidi ya miaka 35 wanaotafuta wachumba basi wadada 7 wanatoka mikoa ya kanda ya kaskazini. Kikubwa zaidi wadada wa ukanda huu mpaka miaka 38 anakuwa hajazaa.Tofauti na nyanda nyingine ndani ya Tanzania pamoja na kuwa hajaolewa na anatafuta mchumba lakini ameshawahi...
Inafika mahala hii nchi inakera Sana, tuna mamlaka zinazolipwa na kuendeshwa na fedha za walipakodi lakini kazi yake haionekani, mfano hivi karibuni kumekuwa na matukio ya uingizaji wa bidhaa ya powder zenye viambata sumu zinazosababisha saratani lakini wao wapo tu, mpaka nchi zingine waamke...
Agizo la Waziri linafuatia chapisho la Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) lililoeleza mwananchi mwenye miaka 28 aliyekunywa chupa 5 za Kinywaji hicho na baada ya saa 4 akaanza kupata maumivu Kifuani kwa muda saa 8 mfululizo.
Baada ya kupelekwa Hospitali na kufanya vipimo, alibainika...
Madhara ya sigara:
Ocean road pale hospitali ya cancer wapo wagonjwa wengi wenye kansa ya mapafu, fizi, koo, n.k. kwasababu ya matumizi ya muda mrefu ya sigara. Cancer inaharibu koo kiasi kwamba wengine wamechomolewa makoo wanaongea kwa kuwekewa mashine, sauti inatoka kwenye spika
Watu zaidi...
Wajumbe habari za muda huu?
Niko njiani natembea kurudi zangu nyumbani kutoka kilimoni. Hatua mbili mbele kakatisha mjusi wa mistari mistari. Nilivyopiga hatua sijakaa sawa kapita nyoka huyo wa mistari katikati ya miguu yangu akaunga kule alipokimbilia mjusi.
Uongo mbaya niliishiwa nguvu na...
Wakati unajifunza kutongoza unaweza danganya. Utadanganya kwa vile vitu vinavyokufanya uonekane una thamani. Nyumba, pesa, gari au unajuana na watu wakubwa.
Lakini haina maana ndo ukalie njia hiyo hiyo miaka yote. Ni muhimu ujifunze kumvutia na kumtunza mwanamke kwa mfumo unaosema ukweli na...
Habari wapendwa,
Napenda leo tuzungumzie hili zao aina ya bangi ambalo kwa kiasi kikubwa limekuwa likioteshwa kwa siri maporini huko.
Bangi inakemikali hatari mno inayofahamika kwa jina la THC ambayo unapoitumia kwa wale wavutaji basi huleta hallucinations, ambayo ni hali ya kusikia na kuona...
Busha linaweza kupelekea mkusanyiko wa damu ndani ya korodani (hematocele), au mkusanyiko wa usaha ndani ya nafasi kati ya tabaka mbili za korodani (Scrotal pyoceles), mara nyingi huambatana na maambukizi ya mishipa ya kuhifadhia mbegu za uzazi (epididymo-orchitis).
Wakati mwingine Busha...
Kwa wakazi wa Dar, leo mvua imetandika kweli kweli na baadhi ya maeneo kupata athari kubwa na ndogo. Mada hii tutupie picha au video ili mamlaka waweze kuona sehemu zilizoathirika waweze kuchukua hadhari mara moja.
Kumbukeni Rais Samia ashasema huwa anapita pita JF kusoma maoni ya mwananchi...
Tayari kuna Mto Mmoja mkubwa na maarufu uko eneo fulani unaanza Kufurika na najua hadi Saa 10 Alasiri nitaitwa kwenda kusaidia Uokozi.
Na kuna Demu Mmoja ameninyima Nyama Tamu yake Chumba chake kipo Jirani na Kingo za huo Mto na kuna Uwezekano Chumba kikaondoka hivyo ngoja nijisogeze karibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.