Naipenda sana asali, hasa asali mbichi. Ni tamu, na ina faida za kiafya. Je! Kuna ubaya endapo nitatumia kiasi kikubwa cha asli mbichi?
Nimejiwekea utaratibu wa kutumia asali mbichi mara kwa mara. Mwanzoni nilikuwa nikitumia Kwa siku chache mfululizo, kisha naacha kipindi kirefu kipite bila...