Wakati shughuli za uokozi wa jengo la ghorofa kuporomoka zikiingia siku ya tatu leo Jumatatu, Novemba 18, 2024, maduka yaliyo eneo la Msimbazi na yale ya Mchikichini, Kariakoo jirani na jengo hilo yamezuiwa kuendelea na biashara.
Mbali na maduka, usafiri wa umma yakiwamo mabasi ya mwendokasi...