Kuna vijana unawaweka dukani unaona kabisa uwepo wao ndio unachangamsha biashara kuanzia kutafuta wateja, ku negotiate, kutangaza biashara, kazoeleka na wateja, n.k. yaani wewe kila ukienda kufunga hesabu unakuta daftari la mauzo linameremeta.
Sasa kijana kaiba lets say elf 5 au 10 kwenye kila...
Mbagala Rangitatu wenye maduka hawajafungua siku ya leo 26/06/24, huu ni mfululizo wa vuguvugu la wafanyabiashara kugoma wakipinga baadhi ya tozo zinazofanywa na serikali kupitia mkusanyaji TRA.
Tembo na jamii ya nyani wanaonekana kuomboleza wanapompoteza mwenzao pengine na dolphin kwa jinsi alivyo na akili huenda akawa anajua japo sina uhakika.vipi kwa wanyama wengine Kama Fisi,simba,ngamia,punda,kuku na wengineo huwa wana kaa na kufikiria kwamba kila nafsi itaonja mauti?yaani ukute...
Mugomo ulioanza Jana Dar es salaam sasa umefika jijini kwanza Leo maduka yote makubwa ya mefungwa. Jijini kwanza.
Kusema kweli huu si utamaduni wetu.watanzania wafanya biashara wanadai haki zao. Selikari nayoinatimiza wajibu wake swali ni Je Nani anawajibika kuleta suruhu la kudumu
Kuna Mgomo wa Wafanya Biashara unaendelea Mwanza sasa hivi, Mliopo Mwanza toeni update nini kinaendelea.
Video nimeweka hapa Chini.
************************************************************************************************************
Update Kutoka Mwananchi Digital
Siku moja baada ya...
Licha ya kuripotiwa kuwepo kwa suluhu kwenye baadhi ya madai ya Wafanyabiashara waliyowasilisha Serikalini na kufanyika kikao cha pamoja lakini mpaka kufikia Saa tatu Asubuhi hali ya mgomo inaonekana kuendelea maeneo ya Kariakoo ambapo maduka mengi yameendelea kufungwa.
Itakumbukwa kwamba jana...
Leo, wafanyabiashara wa Kariakoo wamesitisha shughuli zao kwa pamoja kwa kugomea kodi na ukaguzi mkali, hatua ambayo imesababisha maduka kufungwa na kuathiri biashara kwa kiasi kikubwa. Mgomo huu unakuja baada ya malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wafanyabiashara kuhusu ongezeko la kodi na...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefika soko la Kariakoo kutokana na Biashara kufungwa kuanzia leo Juni 24, 2024 na kuongea na wafanyabiashara.
Chalamila amesema wafanyabiashara wako wa aina kadhaa ikiwemo walioshiba, kati na wachanga na iwapo wataigana kuna watakaojuta leo...
Mnamo siku ya tarehe 21 na tarehe 22 mwezi huu, yaani ijumaa na jumamosi, jiji la Arusha lilitikiswa na mgomo mkubwa uliofanyika katika eneo la stendi ndogo, mgomo ambao ulisababisha maduka yote karibia 400 kufungwa.
Mgomo huu ulituathiri sana sisi wafanyabiashara halisi ambao tunafanya...
Wafanyabiashara wote wa viunga vya Kariakoo mnatakiwa kufunga biashara zenu zote ikiwemo maduka yenu, ofisi zetu na chochote unachokifanya kuanzia Jumatatu ya Juni 24, 2024 bila ukomo hadi pale changamoto zetu zote za kibiashara zitakapoweza kutatuliwa.
Mikoa ya Mbeya, Iringa, Mwanza, Arusha...
Habari zenu wakuu, nina uhitaji wa flash disk.
Wala sina mpango wa kuagiza nje ni emergency hivyo itabidi ninunue madukani, nipo mkoani brand zinazotamba ni Kioxera, Toshiba, Imation, Sandisk, n.k. ama unaweza kuongeza zako unazoziaona madukani
Mtu unachukua mdoli anawekwa nje ya maduka ya nguo unamvalisha kilemba na kitenge unakuja kutuambia ni robot, robot anatoa mkono utasema excavator ama grader ya kubebea mchanga.
Hivi mtu kweli unaandaa hafla ya kiserikali kabisa watu wakashangae mdoli.
Hivi mnashindana na Elon Musk ama? Kwenye...
Habari wadau
Kipindi hiki kumekuwa na tendency ya watu wengi kuuza maduka yao, Kila nnapotembelea Market place facebook kila baada ya post moja unakuta duka linauzwa.
Maduka mengi yanayouzwa ni ya dawa, nguo, chakula nk.
Je nini chanzo cha maduka mengi kuuzwa kipindi hiki?
Mwezi huu wa tatu nilienda kumnunulia mdogo wangu simu kwenye duka la tigo nilishawishika kununua simu Ile sababu ya ofa ya kupewa gb kadhaa kwa mwaka lengo langu zile GB zimsaidie kuongeza maarifa kwenye masomo yake ishu ikaanza pale pale kupewa gb pungufu nikauliza kwanini ila nikaambiwa kila...
Muda mrefu duniani imekuwa ikipita mabadiliko makubwa ya teknolojia kutoka mapinduzi ya mwanzo ya viwanda mpaka sasa kuelekea mapinduzi mapya ya viwanda ambayo yanaelekea kuja na taswira mpya na aina mpya ya uwekezaji hususani kwa sasa teknolojia inayozungumzwa ni teknolojia ya akili bandia (...
Serikali imesema kuwa ilibatilisha leseni za maduka ya kubadilisha fedha za kigeni yaliyokutwa na makosa mbalimbali yakiwemo ya kujihusisha na uhamishaji wa fedha nje ya nchi bila kuwa na leseni wala kibali cha Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.