maduka

John Maduka (born 27 September 1970 in Thyolo) is a retired Malawian footballer. He used to play for Bloemfontein Celtic until his retirement in 2009

View More On Wikipedia.org
  1. W

    Mabosi punguzeni unoko duka linavyostawi mauzo, Binafsi ninajua kijana ananiibia kiasi kidogo lakini nimepiga kimya, nikimtoa ni ngumu kupata mbadala

    Kuna vijana unawaweka dukani unaona kabisa uwepo wao ndio unachangamsha biashara kuanzia kutafuta wateja, ku negotiate, kutangaza biashara, kazoeleka na wateja, n.k. yaani wewe kila ukienda kufunga hesabu unakuta daftari la mauzo linameremeta. Sasa kijana kaiba lets say elf 5 au 10 kwenye kila...
  2. Mgomo wa wenye maduka uko Mbagala Rangitatu Dar es Salaam.

    Mbagala Rangitatu wenye maduka hawajafungua siku ya leo 26/06/24, huu ni mfululizo wa vuguvugu la wafanyabiashara kugoma wakipinga baadhi ya tozo zinazofanywa na serikali kupitia mkusanyaji TRA.
  3. Je,Wanyama huhisi Kama kuna kufa?

    Tembo na jamii ya nyani wanaonekana kuomboleza wanapompoteza mwenzao pengine na dolphin kwa jinsi alivyo na akili huenda akawa anajua japo sina uhakika.vipi kwa wanyama wengine Kama Fisi,simba,ngamia,punda,kuku na wengineo huwa wana kaa na kufikiria kwamba kila nafsi itaonja mauti?yaani ukute...
  4. funga maduka ingia barabarani na màbaango yenye kufikisha ujumbe

    watanzania mbafunga maduka mnabaki nyumbani kulia lia kwa mitandao. funga duka zama barabarani pigaa kelele mixer fujo isio umiza na mabango juu kufikishaa ujumbe kwaa uzito.
  5. Maduka kufungwa nani alaumiwe?

    Mugomo ulioanza Jana Dar es salaam sasa umefika jijini kwanza Leo maduka yote makubwa ya mefungwa. Jijini kwanza. Kusema kweli huu si utamaduni wetu.watanzania wafanya biashara wanadai haki zao. Selikari nayoinatimiza wajibu wake swali ni Je Nani anawajibika kuleta suruhu la kudumu
  6. Mgomo wa Wafanya Biashara Mwanza

    Kuna Mgomo wa Wafanya Biashara unaendelea Mwanza sasa hivi, Mliopo Mwanza toeni update nini kinaendelea. Video nimeweka hapa Chini. ************************************************************************************************************ Update Kutoka Mwananchi Digital Siku moja baada ya...
  7. Maduka mengi yaendelea kufungwa Kariakoo, Jumanne ya Juni 25, 2024

    Licha ya kuripotiwa kuwepo kwa suluhu kwenye baadhi ya madai ya Wafanyabiashara waliyowasilisha Serikalini na kufanyika kikao cha pamoja lakini mpaka kufikia Saa tatu Asubuhi hali ya mgomo inaonekana kuendelea maeneo ya Kariakoo ambapo maduka mengi yameendelea kufungwa. Itakumbukwa kwamba jana...
  8. Mgomo wa Kariakoo: Siri ya Maduka Kufungwa na Hali Halisi Inayowakabili Wafanyabishara

    Leo, wafanyabiashara wa Kariakoo wamesitisha shughuli zao kwa pamoja kwa kugomea kodi na ukaguzi mkali, hatua ambayo imesababisha maduka kufungwa na kuathiri biashara kwa kiasi kikubwa. Mgomo huu unakuja baada ya malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wafanyabiashara kuhusu ongezeko la kodi na...
  9. Chalamila awasili Kariakoo awaambia Wafanyabiashara “Fungueni maduka, Biashara sio Siasa”

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefika soko la Kariakoo kutokana na Biashara kufungwa kuanzia leo Juni 24, 2024 na kuongea na wafanyabiashara. Chalamila amesema wafanyabiashara wako wa aina kadhaa ikiwemo walioshiba, kati na wachanga na iwapo wataigana kuna watakaojuta leo...
  10. N

    Mgomo mkali katika maduka yaliyopo stendi ndogo Arusha uliofanyika siku ya Ijumaa na Jumamosi ulileta maumivu na hasara kubwa

    Mnamo siku ya tarehe 21 na tarehe 22 mwezi huu, yaani ijumaa na jumamosi, jiji la Arusha lilitikiswa na mgomo mkubwa uliofanyika katika eneo la stendi ndogo, mgomo ambao ulisababisha maduka yote karibia 400 kufungwa. Mgomo huu ulituathiri sana sisi wafanyabiashara halisi ambao tunafanya...
  11. MGOMO: Wafanyabiashara Kariakoo kufunga biashara zao kuanzia 24/6/2024 mpaka changamoto zao zitakapotatuliwa'

    Wafanyabiashara wote wa viunga vya Kariakoo mnatakiwa kufunga biashara zenu zote ikiwemo maduka yenu, ofisi zetu na chochote unachokifanya kuanzia Jumatatu ya Juni 24, 2024 bila ukomo hadi pale changamoto zetu zote za kibiashara zitakapoweza kutatuliwa. Mikoa ya Mbeya, Iringa, Mwanza, Arusha...
  12. G

    Naombeni ushauri ninunue flash gani nzuri kwenye maduka kati ya kioxera, toshoba, sandisk, n.k. ntajuaje ni feki?

    Habari zenu wakuu, nina uhitaji wa flash disk. Wala sina mpango wa kuagiza nje ni emergency hivyo itabidi ninunue madukani, nipo mkoani brand zinazotamba ni Kioxera, Toshiba, Imation, Sandisk, n.k. ama unaweza kuongeza zako unazoziaona madukani
  13. Wafanyabiashara mnatoa bidhaa nje ya maduka hadi barabarani na kuziba njia, mnakera mno

    Nimekuwa nikiona wafanyabiashara mkitoa bidhaa na kuziba barabara mnakera mno . Mmeanza tabia za machinga . Ukifika Mwanza Mitaa ya Liberty barabara zimejaa vyombo madiaba, magoro, nguo Midori, n.k Unapanga bidhaa dukani unaona hazitoshi mnakuja kupanga njee barabarani na kuziba njia/ barabara...
  14. Yule ni robot au ni ile midoli inakaa nje ya maduka ya nguo.

    Mtu unachukua mdoli anawekwa nje ya maduka ya nguo unamvalisha kilemba na kitenge unakuja kutuambia ni robot, robot anatoa mkono utasema excavator ama grader ya kubebea mchanga. Hivi mtu kweli unaandaa hafla ya kiserikali kabisa watu wakashangae mdoli. Hivi mnashindana na Elon Musk ama? Kwenye...
  15. Utitiri wa Maduka kuuzwa nini chanzo

    Habari wadau Kipindi hiki kumekuwa na tendency ya watu wengi kuuza maduka yao, Kila nnapotembelea Market place facebook kila baada ya post moja unakuta duka linauzwa. Maduka mengi yanayouzwa ni ya dawa, nguo, chakula nk. Je nini chanzo cha maduka mengi kuuzwa kipindi hiki?
  16. Naomba kujua hii dawa ina matumizi gani na inapatikana maduka ya madawa Tanzania kwa bei gani?

  17. Simu za maduka ya tigo na utapeli wa ofa za mb

    Mwezi huu wa tatu nilienda kumnunulia mdogo wangu simu kwenye duka la tigo nilishawishika kununua simu Ile sababu ya ofa ya kupewa gb kadhaa kwa mwaka lengo langu zile GB zimsaidie kuongeza maarifa kwenye masomo yake ishu ikaanza pale pale kupewa gb pungufu nikauliza kwanini ila nikaambiwa kila...
  18. R

    Ni kwa namna gani teknolojia imeathiri biashara ya maduka ya viandikia (Stationery)

    Muda mrefu duniani imekuwa ikipita mabadiliko makubwa ya teknolojia kutoka mapinduzi ya mwanzo ya viwanda mpaka sasa kuelekea mapinduzi mapya ya viwanda ambayo yanaelekea kuja na taswira mpya na aina mpya ya uwekezaji hususani kwa sasa teknolojia inayozungumzwa ni teknolojia ya akili bandia (...
  19. Serikali yataja sababu za kufuta leseni maduka ya fedha

    Serikali imesema kuwa ilibatilisha leseni za maduka ya kubadilisha fedha za kigeni yaliyokutwa na makosa mbalimbali yakiwemo ya kujihusisha na uhamishaji wa fedha nje ya nchi bila kuwa na leseni wala kibali cha Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri...
  20. Uzi maalumu wa wenye maduka ya spare za pikipiki nchini

    Huu ni uzi wa wenye maduka ya spare za pikipiki jumla na rejareja,tupeane connections,uzoefu,changamoto Na faida ya biashara hii. karibuni kwa mdaharo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…