Twendeni taratibu wana Simba muda bado upo. Fred ashauriwe kufungua matawi mengi Dar ili kuepusha msongamano.
Mtendaji mkuu wa klabu ya Simba SC,🦁 Babra Gonzalez 👸 amesema kuwa baada ya kuingiza jezi mpya za Simba 🦁 sokoni ndani ya masaa 8 jumla ya jezi 42,000 zilikuwa zimeshauzwa na mawakala...