Tulioko Mwanza tumeshuhudia, Polisi wanatii maelekezo ya Rais Samia Suluhu anayetaka viongozi na wanachama wa upinzani wapewe ulinzi wa kutosha wakitimiza haki zao za Kidemokrasia.
Mika michache hapo nyumba tuliona viongozi wa upinzani wakikamatwa kila walipojaribu kusimama hadharani kufanya...