maelfu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    Maelfu watii amri ya kuondoka Gaza huku Israel ikiandaa wanajeshi 300,000 kuanza fagia fagia

    Israel inataka kufanya operesheni ambayo haijashuhudiwa siku nyingine, wanajeshi 300,000 watafanya uvamizi ambao utahusu kufagia choko choko zote za huo ukanda. Raia waliamrishwa wahamie Kusini ili atakayebaki hapo ataonwa kama mpiganaji, hivyo itamhusu. Kitu wengi wasichokifahamu, hao...
  2. Erythrocyte

    Bunda: Kitimtimu cha Oparesheni 255 kimewaka, Lissu apokelewa kishujaa, Maelfu Wajitokeza

    Hakuna namna nzuri ninayoweza kueleza mapokezi ya Tundu Lissu Mjini Bunda , itoshe tu kusema haya ni mapokezi ya kifalme , watu ni wengi kuliko maneno yangu . Hakika kwa Chadema ni dhahiri sasa kwamba gari limewaka ! Si rahisi tena kuzuia Chadema kwa hali ilivyo , Uchawi na Fitna zote...
  3. Makonde plateu

    Maelfu ya watu wamuombea dua Rais Samia

    MAELFU ya wananchi mkoani Kagera, wamejitokeza kwenye Uwanja wa Kaitaba, mkoani Kagera na kushiriki hafla ya kumuombea dua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Dua hiyo imefanyika leo (Julai 28,2023) ikifanyika katika kipindi ambacho Rais Dkt. Samia anaungwa mkono...
  4. M

    Wakati ni maelfu ya wanafunzi hudahiliwa kila mwaka hapo Law School, ni mawakili 195 tu watakaosajiliwa rasmi. Nyomi huishia wapi?

    Hafla hiyo itafanyika katika ukumbi wa Karimjee tarehe 6/7/2023. Hii ni kwa mujibu wa tangazo la tume ya mahakama. https://www.judiciary.go.tz/web/index.php?r=announcements/pdf&id=204 Ila kwa kuwa Law school hudahili zaidi ya elfu moja kwa mwaka katika intakes zake zote mbili, ina maana wengi...
  5. Mto wa mbu

    Kulikoni Watanzania kushambulia DP World?

    Sahivi kwenye page ya DP world ya Instagram hapatoshi, Watanzania wanaporomosha matusi hatari kwenye page za Waarabu. DP world kazi wanayo.
  6. MK254

    Mkuu wa Wagner asema Urusi iache propaganda za kusema imeua maelfu ya wanajeshi wa Ukraine

    Huyu mzee hehehe eti ndiye tegemezi la Warusi na anavyofyatuka.... asema hizo ni ndoto za mchana Russia's claims that its military had inflicted massive casualties on advancing Ukrainian troops are "wild fantasies", the boss of Russian mercenary group Wagner said Tuesday. Moscow's defence...
  7. M

    COUNTER OFFENSIVE ya UKraine imeanza kwa kilio: Ukraine imepoteza maelfu ya askari na vifaa vingi vya kijeshi.

    ‘Large-scale’ Ukrainian offensive repelled – Russian MOD Kiev’s troops have unsuccessfully attempted to break through the front line in Donbass, the Defense Ministry in Moscow has said FILE PHOTO: Ukrainian soldiers on a tank ride along the road towards their positions in Donbass, May 23, 2023...
  8. MK254

    Maelfu ya Warusi wamekua wakimbizi baada ya Ukraine kushambulia Urusi ndani

    Dah! Supapawa alifika huku lini, raia wake wanakimbia makwao na kuwa wakimbizi.....tena kwenye ardhi ya Urusi. In the latest example of the war increasingly spilling into Russia, the Bryansk region came under fire overnight, according to a Russian official. Shells hit two villages close to the...
  9. JanguKamaJangu

    Uingereza: Maelfu ya madaktari waingia kwenye mgomo kudai malipo bora

    Maelfu ya madaktari wa ngazi ya chini waliojiunga hivi karibuni katika taaluma hii wapo kwenye mgomo kote Uingereza wakidai malipo bora, ambapo wameanza siku tatu za usumbufu mkubwa katika hospitali na kliniki za afya zinazofadhiliwa na Serikali. Madaktari hao wanaunda 45% ya madaktari wote...
  10. J

    KISONGO: Maelfu wakanyagana wakitaka kumwona Rais Samia Suluhu yeye awaombea kwa Mungu na kuwaahidi makubwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Wananchi wa Kisongo Wilaya ya Arumeru Magharibi alipokuwa njiani akirejea mkoani Dodoma baada ya kukamilisha ziara yake ya kikazi Mkoani Arusha tarehe 27 Novemba, 2022.
  11. MK254

    Maelfu Iran waendelea kuamsha popo, maandamano yako pale pale licha ya serikali kuwaua kisa dini

    Leo jumanne wananchi wa Iran wametikisa kote kote... Protesters in Iran led a fresh bout of demonstrations on Tuesday to commemorate 2019 Bloody November protests over fuel prices — protests which were ultimately put down by government force. It comes after more than two months of protests...
  12. Superbug

    Iliwezekanaje ulaya watu walikufa kwà maelfu kila siku kwà korona halafu kufumba na kufumbua watu wote wakawa hawafi tena?

    Hili swali najiuliza sipati majibu ulaya na Marekani walikufa maelfu kwà maelfu kila siku iendayo kwà mungu halafu kufumba na kufumbua ugonjwa wa korona ukakoma hima? Italy kila siku walikuwa watu wanakufa 5000/day mpaka malori ya jeshi yakawa yanabeba maiti! Marekani jumla walikufa watu karibu...
  13. Shujaa Mwendazake

    Maelfu waandamana Italia kupinga upelekwaji wa silaha Ukraine

    Makumi ya maelfu ya Waitaliano wameandamana kwa ajili ya amani huko Roma Umati wa watu ulimiminika kwenye mitaa ya Roma siku ya Jumamosi kutoa wito wa amani nchini Ukraine. Waandamanaji hao pia waliitaka serikali ya Italia kuacha kuipatia Kyiv silaha na badala yake kushirikiana na Urusi...
  14. A

    Baada ya M/s Kalinda kuliza maelfu ya watu, ni nani afuata?

    Kuanzia siku ya jana, inasemekana M/s Kalinda aliamua kuzima mitambo yake ya kuchimba madini kwa kisingizio kuwa wajanja wame hack mitambo yake. Mitambo yake ilianza kupoteza nguvu taratibu tangu juzi na hatimaye kusimamishwa rasmi jana huku ikiacha kilio kikubwa kwa maelfu ya wadau waliokuwa...
  15. Mganguzi

    Msitu wa ajabu wenye Maelfu ya Mbuzi wa maajabu wasio na mwenyewe

    Sio hadithi ni ukweli na sio Ulaya ni Tanzania iliyojaa vivutio na neema za kufurahisha na kuogofya. Ukitoka Mbeya mjini panda gari zinazoelekea mkoa wa Songwe wilaya ya Ileje, bila shaka utachukua gari ya Moja Kwa Moja mpaka Isongole kupitia Mpemba. Ukifika hapo Isongole panda gari inayoelekea...
  16. sinza pazuri

    Hongera Diamond kwa kununua ndege na helicopter. Wasafi Airlines itazalisha ajira

    Natoa pongezi kwa msanii namba moja Afrika kwa sasa Diamond Platnumz kwa kununua vyombo vya anga. Biashara yake mpya anayokuja nayo ya Wasafi airlines itafungua milango ya ajira nyingi sana Tanzania na duniani kwa ujumla. Watu tutaacha kupanda emirates na klm tutaanza kupanda ndege za kijana wa...
  17. CM 1774858

    Rais Samia: Wakinizingua nawazingua. Jijini Mbeya maelfu wakanyagana kila mmoja akitaka kumwona mubashara

    Wasalaam, Akiendelea na ziara yake jijini Mbeya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameendelea kusisitiza uwajibikaji kwa viongozi wote wa Serikali kuanzia yule wa chini hadi yule ya juu, Rais ameenda mbali kwa kutumia msemo maarufu wa vijana "Wanikizingua...
  18. Abraham Lincolnn

    Awamu ya sita imedhulumu maelfu ya Watanzania

    Shujaa mashuhuri na kiongozi wa kijeshi na wa kisiasa nchini Ufaransa baada ya mapinduzi ya Kifaransa ,Napoleon Bonapatre aliwahi kutamka maneno haya; "The world suffers a lot. Not because the violence of bad people, but because of the silence of the good people.” Akimaanisha kwamba "Dunia...
  19. Lady Whistledown

    Kenya 2022 Kenya: Facebook yafuta maelfu ya machapisho kwa kukiuka sera zake kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Kampuni ya teknolojia ya Meta imeondoa maelfu ya machapisho yanayowalenga watumiaji wa Kenya kwenye mtandao wake wa kijamii wa Facebook kwa kukiuka sera zake. Facebook imesema kuwa imeondoa machapisho zaidi 37,000 yaliyohamasisha chuki na 42,000 kwa kukiuka sera yake ya ghasia katika muda wa...
  20. J

    Ukweli mchungu kama UVCCM tu wanaweza kukusanya maelfu haya kwenye ngome za Upinzani hali ni mbaya zaidi 2025

    Hebu angalia kwa makini video hizi kisha ufikirie Uchaguzi ujao wa 2025 katika angle ya Upinzani kupata hata jimbo moja tu, Huyu ndio Crde Kenani Kihongosi Mkt wa UVCCM taifa huko Mkoani Geita,
Back
Top Bottom