maelfu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I am Groot

    Wakimbizi wa Kiafrika wapigwa mpaka kifo huko nchini Hispania

    Wahamiaji 37 waliuawa na wengine 150 wakijeruhiwa vibaya na vikosi vya polisi katika mpaka wa Morocco na Hispania. Kulingana na shirika la kutetea haki za wakimbizi UNHCR linaeleza kuwa wakimbizi hao wengi wao wakitokea katika nchi za Chad, Niger, Sudan kusini wangetakiwa kuchukuliwa kama...
  2. M

    Jinsi mchina alivyowatapeli maelfu ya wa Kenya dollar million 10 na kuwatukana kwenye crypto currency

    Mzuka wanajamvi! Ukiitwa kwenye fursa juwa wee mwenyewe ndio fursa. "Bado naendesha Ferrari yangu na baadhi yenu hamuwezi hata kununua chakula." Iyo ndio ilikuwa ujumbe wa mwisho wa mwanzilishi wa Crypto currency alivyoandika kwenye group la telegram baada ya kuwatapeli shilingi billion moja...
  3. J

    Shaka awanyosha CHADEMA Kusini Maelfu ya Kadi, Bendera na nguo akabidhiwa kumrudisha Mbowe

    Ziara ya Katibu wa siasa na Uenezi CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka amekabidhiwa vifaa mbalimbali vya CHADEMA zikiwemo Kadi, flana, kofia pamoja na bendera sababu kubwa ikiwa wananchi wa kuseni wamemuelewa Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuwatumikia wananchi...
  4. Idugunde

    Tarime:Mwalimu jela miaka sita kwa kutafuna pesa shule Tsh mil tatu.

    Mahakama ya Wilaya ya Tarime imemuhukumu kwenda jela miaka mitatu aliyekuwa mwalimu mkuu shule ya msingi Mwege iliyopo wilayani Rorya mkoani Mara,Issaya Gwidana kwa makosa 6 ikiwemo la kughushi hundi za shule na kuchukua Sh. milioni 4.965 ambazo ni kwa ajili ya ujenzi wa madarasa...
  5. Balqior

    Private life ya mzee Mengi: Kumbe alikuwa anahonga wadada wengi wa mjini maelfu ya Dola za Kimarekani

    Nimeona video ya dokii YouTube alipelekwa na mzee Mengi hadi south Afrika kusomeshwa akapewa na u$d 8500 (tshs million 17) ya ada na matumizi achilia $2000(tshs milioni 4) au $4000(tshs milioni 8) zingine alizopewa kabla ya kupewa ada, baada ya kupewa izo hela dokii alisema mzee mengi alimsahau...
  6. MK254

    Video: Maelfu ya makomando wa kujitolea wanaingia Ukraine kila siku ili kusaidia kwenye mapambano

    Hali inazidi kuwa ngumu kwa Urusi kadiri wanavyoshindwa kuiteka Kiev, maelfu ya makomando wazoefu wa kivita wanazidi kutiririka Ukraine, ukizingatiia pia silaha nyingi zinapitishwa kuingia Ukraine kutokea kwenye mataifa ya NATO. Putin anazidi kuwa frustrated na hivi vita vitamsumbua muda mrefu...
  7. S

    Waziri mkuu wa Bulgaria akiri kuwa maelfu ya wanajeshi wa Ukraine wamekufa vitani

    Pamoja na jitihada kubwa za makusudi zinazofanywa na Ukraine, NATO na US kudogesha idadi ya wanajeshi wa Ukraine waliouawa na majeshi ya Russia nchini Ukraine, Waziri Mkuu wa Bulgaria kaamua kusema ukweli kuwa maelfu ya wanajeshi wa Ukraine wameuawa mpaka sasa. Ufafanuzi huo wa idadi ya vifo...
  8. MK254

    Maelfu ya Warusi waanza kujitokeza na kuandamana kupinga kinachofanyika dhidi ya ndugu zao Ukraine

    Ifahamike Ukraine na Urusi ni watu wamoja, na lugha inayotumika sana Ukraine ni Kirusi, maelfu ya Warusi hawaungi mkono huu uvamizi dhidi ya ndugu zao, ukiingia kwenye mitandao ya kijamii wengi wanatukana sana maana hawaelewi nini sababu za mauaji yanayoendelea au tija yake kwa Urusi, pia kuna...
  9. Tz boy 4tino

    Maelfu waandamana Addis Ababa kupinga propaganda za vyombo vya habari vya magharibi

    Maelfu waandamana mji mkuu wa Ethiopia “Addis Ababa “ kupinga propaganda dhidi ya nchi yao, wakivitaka vyombo hivyo kuacha kuitangaza vibaya nchi hiyo. Huku wengi wakiahidi kuwa wapo teyari kupambana na vikosi vya Tigray kama wataitaitajika kufanya hivyo kulitetea taifa hilo.
  10. kimsboy

    Israel: Hizbullah ina uwezo wa kutupiga kwa maelfu ya makombora kila siku

    Israel: Hizbullah ina uwezo wa kutupiga kwa maelfu ya makombora kila siku Nov 04, 2021 12:02 UTC Kamanda wa Operesheni za Kambi ya Ndani ya utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa, harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ina uwezo mkubwa wa makombora ambao unaiwezesha kuushambulia...
Back
Top Bottom