maendeleo ya jamii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Ridhiwani Kikwete agawa pikipiki 14, vishikwambi na spika kwa maafisa Maendeleo ya Jamii ili kurahisisha kazi zao

    Ni mkakati wa kuhakikisha Wananchi wanafikiwa kirahisi kuhudumiwa. Halmashauri ya Chalinze yatenga Bilioni 2.2 kwa Wanawake, Vijana na Walemavu. Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani...
  2. M

    KERO Barabara ya kutoka Tengeru kuelekea Chuo cha mifugo(LITA), Chuo cha maendeleo ya jamii (TICD) ni kero

    Jamani barabara ya kutoka Tengeru kuelekea Chuo cha mifugo(LITA), Chuo cha maendeleo ya jamii (TICD) ni mbaya Sana. Hii ni barabara muhimu Sana kwani inaenda kwenye taasisi muhimu za serikali. Pia husaidia wakazi mbalimbali kuleta bidhaa zao hasa siku za soko la Tengeru jumatano na jumamosi...
  3. Msaada: Mimi nmesoma Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, hivi Kuna uwezekano wa kubadilishwa kutoka kwenye ualimu nikaenda ustawi wa jamii?

    Naomba msaada plz. Mimi nmesoma Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, hivi Kuna uwezekano wa kubadilishiwa muundo kutoka kwenye ualimu nikaenda kufanya kazi Uastawi wa jamii au maendeleo ya jamii? , na je maendeleo ya jamii scale yao ya mshahara ni zaidi ya ualimu? Naomba kueleweshwa kwa...
  4. Tunawasaidaje wanawake ambao wanapitia kwenye ukatili lakini hawaelewi kama wanachokipitia ni ukatili?

    Wakuu, Huyu mama ni tukio lililotokea Dec 27, mkoani Arusha ambapo mama huhu akiwa mjamzito alichezea kichapo cha mbwa koko kutoka kwa mume wake, na baada ya haya yote aliomba polisi wamkanye mume wake apunguze kumpiga kwakuwa bado anampenda. Uzi wa tukio hili uko hapa. Nimekutana na video...
  5. J

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Riziki Pembe Juma atembelea JamiiForums

    DAR: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, (Zanzibar) Riziki Pembe Juma ametembelea Ofisi za JamiiForums jijini Dar, leo Oktoba 28, 2024. Ziara yake ililenga kujenga mashirikiano katika maeneo anuai ikiwemo kuwalinda na kuwajengea uwezo Watoto na Wazazi wao hasa katika...
  6. G

    Usaili wa Afisa Maendeleo ya Jamii Msaidizi upoje?

    Naomba mwenye kujua interview za Afisa maendeleo ya jamii msaidizi dalaja la pili maswali yake yakoje ya written na oral?
  7. SoC04 Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wazee katika Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia wanawake na makundi maalum

    Wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na makundi maalum. Ningependa Tanzania niitakayo kupitia wizara hii ikajitathmini na kufanya maboresho katika maeneo kadhaa kutoka katika sera zake kwa mfano wazee, hawa wamekuwa hawaangaliwi ipasavyo hii ndio maana wazee wengi hali yao kiuchumi...
  8. SoC04 TASAF ianzishe benki ya maendeleo ya jamii

    Utangulizi. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilianza kutekeleza mradi wa mfuko wa maendeleo ya jamii yaani Tasaf, kuanzia mwaka 2000.Lengo ni kutokomeza umasikini kwa wananchi. Mpango ukawa ni kujenga kinga ya jamii kiuchumi,na katika katika maboresho ilipofika mwaka 2012 kama...
  9. Ridhiwani Kikwete: Ndani ya kipindi cha miaka miwili, Serikali imeshawaajiri Maafisa Maendeleo ya Jamii zaidi ya 2140

    SERIKALI YAONGEZA AJIRA KWA WATUMISHI WA USTAWI WA JAMII WANANCHI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KULINDA MAADILI Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Ridhiwani Kikwete ameliambia Bunge kuwa ndani ya kipindi cha miaka miwili serikali imeshawaajiri...
  10. Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa mwaka 2024/25

    Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imewasilisha Bungeni Bajeti ya Tsh. 67,905,259,000 inayotarajiwa kutumiwa na Wizara hiyo katika kipindi cha mwaka 2024/25 Katika wasilisho lake Bungeni, Waziri Dkt. Doroth Gwajima amesema Tsh. 47,487,079,000 kati ya Fedha hizo...
  11. Find me if you are Interested

    Nimehitimu Degree ya Uchumi wa maendeleo ya jamii(Community Economic Development) mwaka 2022. Experience: Nina uzoefu wa mwaka [1] kama Afisa maendeleo ya jamii katika shirika la WORLD VISION TANZANIA-DODOMA. Nimefanya majukumu kama: *Field Officer * Kuibua vikundi vya ujasiruamali na...
  12. SoC04 Vita dhidi ya Ujinga: Elimu kombozi kwa maendeleo ya jamii

    Ni nyumbani kwa mzee Masalu! Ubishi mkali unatokea kati ya mzee Masalu na kijana wake ambaye hataki Shule. Hataki shule kwa madai ya kua haoni mwanga mbele! Hali hii imeanza kuota mizizi katika jamaa nyingi za kitanzania, wazazi na vijana wameanza kuwa na wasiwasi na shaka juu ya dhana nzima ya...
  13. Msaada wa wa maswali ya interview kada ya mkufunzi maendeleo ya jamii

    Habari wakuu nimeitwa kwenye usaili wa kuandika secretariat ya ajira wa kada mkufunzi maendeleo ya jamii, kwa yeyote mwenye kujua ABCD kuhusu kada hii na ukufunzi kwa ujumla unaweza kishare experience, mawazo na ushauri, natanguliza shukran zangu
  14. Serikali Kutenga Fedha Ujenzi wa Vyuo vya Maendeleo ya Jamii Kwenye Mikoa

    "Je, ni lini Serikali itakipandisha hadhi Chuo cha Maendeleo ya Jamii Musoma ili kiweze kutoa Shahada" - Mhe. Juliana Didas Masaburi, Mbunge wa Viti Maalum (Vijana Taifa) "Ili Chuo kiweze kufikia elimu kwa ngazi ya Shahada kinatakiwa kiwe na ithibati kamili n vigezo stahiki ikiwemo miundombinu...
  15. Taarifa ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalum kwa Jamii Kuzingatia Sheria ya Mtoto kudhibiti Mmomonyoko wa Maadili

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, leo Septemba 12, 2023 amezungumzia wajibu wa familia na jamii kwenye kudhibiti mmomonyoko wa maadili dhidi ya watoto kupitia Sheria ya Moto, Sura ya 13 mahsusi kifungu cha 158 cha Katazo la Jumla. Dkt...
  16. M

    SoC03 Asilimia hamsini (50%) huduma za maji na umeme

    Maji na Umeme vimekuwa vitu muhimu katika maisha ya binadamu pia kwa maendeleo ya taifa kwa ujumla. Gharama ya Maji na Umeme ni kubwa sio tu katika usambazaji yaani serikari pia kwa mtu mmojammoja anapohitaji kufungiwa inakuwa ni kikwazo. CHANGAMOTO Gharama za mwanzo za ufungaji wa maji na...
  17. M

    SoC03 Maboresho ya kiutendaji idara ya ustawi na maendeleo ya jamii katika kukabiliana na vifo, ukatili pamoja na upotofu wa maadili ngazi ya familia

    Kumekuwako na hali ya kujitokeza kwa matukio ya ukatili wa kijinsia na watoto, upotofu wa maadili pamoja na vifo vya wanafamilia, mke, mume, Watoto ama wanandugu wakati mwingine bila sababu zinazofahamika na ama pia kwa sababu zilizo wazi jambo linalopelekea kuibuka kwa tafrani, simanzi na hata...
  18. SoC03 Utawala Bora na Uwajibikaji Katika Kuimarisha Maendeleo ya Jamii

    Utawala bora na uwajibikaji ni misingi muhimu katika kujenga jamii yenye maendeleo thabiti na ustawi. Utawala bora unahusu mfumo wa uongozi uliojengeka kwa msingi wa uwazi, uwajibikaji, ushirikishwaji, na haki za binadamu. Uwajibikaji, kwa upande mwingine, ni wajibu wa viongozi na taasisi...
  19. A Place of Hope for Recovering Addicts

    African Man Dem has 17 young people, all drug addicts, who receive free social services. They are provided with food, clothing, medical care, and given payments. There are chicken farming, vegetable farming, and dog breeding projects, and for each of these projects, the caretaker receives a...
  20. Mlioomba nafasi za Afisa Maendeleo ya Jamii tupeane mbinu

    Mnaojiandaa na usaili wa utumishi nafasi ya Afisa Maendeleo ya Jamii, tupeane mbinu za kutoboa usaili. Una uzoefu wa hizi saili share tujue zinakuweje, eneo gani la kusoma sana wakati wa kujiandaa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…